Kuna mtu anakuwa na hurka ya kuchakalika kutafuta kwa namna yoyote na kwa mahali popote. Unakuta anaijua science kuzifukuzia fursa na kuzivumbua nyingine ila ikija sasa katika usimamizi wa kile alichopata, anatetereka.
Kuna mtu yeye usimamizi na menejimenti ya mali, funds na resources ndio...
Dalali dalali sheria gani inakupa mamlaka kuchukua service charge 20,000 hadi 30,000 kuona chumba au nyumba na hapo hapo unataka hela ya mwezi mmoja ya kodi yangu bila kutoa jasho yaani unachukua hela kiulaini bila stress na mtu akikuomba umsaidie hiyo mwezi iwe free tayari unampiga service...
Kama usimamizi madhubuti ukitekelezwa na zoezi likawa endelevu. Mzawa anaweza kuona matunda ya rasilimali na fursa zilizomo nchini kwake anaweza kunufaika. Siyo haya yaliyokuwa yanaendelea mchina kuhodhi kila kitu na mzawa kujikuta ni mtazamaji.
Pia soma > Aina za biashara zilizopigwa marufuku...
Ni kweli!
Pesa Ina uhusiano mkubwa na umri kwa maana muda wa kuitafuta wakati ukiwa mzima. Pesa ni namba ambazo huongezeka kila unapotafuta na kufanya saving, hivyo basi kama umeanzisha kampuni au biashara jinsi siku zinavyosonga ndivyo unazidi kupata matokeo na kukua kibiashara
Inashangaza...
Kila kazi hata kama mshahara ni laki mbili KWA mwezi yupo mtu analia maisha magumu wakati huohuo hapohapo Kuna mtu anamshukuru Mungu KWA mshahara huo na anendesha familia KWA furaha kubwa.
Kuna bodaboda kijana anaishi kwao na muda wote analia njaa, Kuna bodaboda mtu mzima anafamilia, amejenga...
Kuna ulazima mtu yoyote Hadi uchafuke unuke uwe rafu ndio tuone utafutaji umepamba moto?
Kuna watu wakiwa katika harakati za kutafuta Pesa wlwanataka Kila mtu ajue. Hawajijali na hiyo ndio inakuwa kama kauli mbinu ya utafutaji.
Je Kuna ulazima wowote mtu usijijali katika utanashati na...
Katika maisha unapokuwa unayaanza usije ukaudharau mwanzo mdogo / humble beginning au huitwa baby step.
Hii tafsiri yake ni kuwa hata Kama umepata Kazi ya kufuta meza , hakikisha unaifuta hiyo meza vizuri kwakuwa hauwezi kujua kesho utaambiwa ukafute meza ya nani labda ya Rais , hauwezi kujua ...
Watu wengi wawe ndugu,jamaa,marafiki ,serikali,ccm mpaka wapita njia ukiwa unatafuta hakuna mwenye mda na wewe.
Ila ukifanikiwa unaweza kusikia yule kazi wa maimum hata kama we ni mtoto haramu kama dini zetu zilivyo kwa ajili ya maskini ukapata haki.
Mafanikio ya mtu kwenye utafutaji yana...
Naomba Kuulizia Kwa Hapa Bongo ni Kweli Kuna Watu Wanauza Nafasi zao Ili Kupata UTAJIRI na Je Wanamwuzia Nani Au Wote Wameishia Kutapeliwa na Wajanja wa Mjini??
Habari
Hopefully wote mko salama. Leo nipo hapa kushare nanyi research yangu niliyoifanya baada ya kumaliza chuo na kuwa jobless kwa miaka kadhaa.
Muda namaliza chuo mpaka napata ajira ya kudumu kuna kitu nimejifunza sana ambacho ningependa kushare na wahitimu mbalimbali wanaotafuta ajira...
Kiswahili kimekuwa kati ya Lugha 15 za Afrika zilizoongezwa kwenye huduma za 'Voice Search', Kuandika kwa Sauti kwenye Gboard pamoja na huduma ya Kutafsiri Lugha nyingine kupitia 'Google Translate'.
Nchini Kenya na Afrika Mashariki, Google inasema inapanua toleo lake kwenye Utafutaji wa Sauti...
WATU WENGI WAMEFERI MAISHA KWA KUSIKILIZA USHAURI WA WALIOFERI MAISHA
KWA KUSOMA HUU UJUMBE MFUPI NI BAHATI KWAKO KAMA UNAHITAJI KUFAULU MAISHA NISIKILIZE MIMI NILIEFAULU
MIMI NIMEFANIKIWA KUPITIA FOREX WALE WALIOFERI KWENYE FOREX WANAWEZA KUSHANGAA KIASI NINACHOPATA KILA SIKU
SIRI YA...
MKURUGENZI hapo Kitaa ambaye unapambana sana kuhakikisha huyo Mwanamke anakupenda, fikiria muda unaopoteza wenzako wanafanya nini kwa ajili ya kesho yao!
Amua sasa wakati unahangaika kumjazia texts na kumpigia wapo wanao wanakimbizana na michongo, hisia za mapenzi wamezizika na nyota ya...
Ni siku nyingine tena Mwenyezi Mungu katujalia uhai ,ikiwa na maana tumepata wasaa pia wa kutafuta pesa -ikiwa ina maana ukiwa na pesa itakusaidia kupata suluhu ya mambo mengi sana .
mimi ntakupa wimbo mmoja tu zamani wazazi waliuchukia sana sababu ulihusishwa na dawa za kulevya lakini ukaja...
Nimeishi kanda ya kaskazini miaka minne nilikuwa ninaishi Moshi mjini lakini nafanya kazi mkoa wa Arusha...Na hizi ndio point tatu muhimu Na moto wa gesi zinazowatofautisha watu wa kaskazini na watu wa kanda ya ziwa katika utafutaji wa pesa.
( 1)Ujuaji yaani kujifanya kujua Kila kitu, watu wa...
Habari wana JF
July 2021 nilikuja humu kwa wana JF nikiwa natafuta kazi Click here for the reference. Nataka kushare na nyie wadau mambo niliyojifunza katika utafutaji wangu wa ajira, pengine kuna mtu itamsaidia hasa sisi tusiokuwa na connection.
Kuna post ya mdau hapa JF niliiona ilikuwa...
Maombi 2648 ya utafutaji wa madini yafutwa katika kipindi cha kuanzia mwezi Oktoba 2023 hadi Julai 2024 kutokana na kutokidhi vigezo vilivyowekwa kwa mujibu wa Sheria ya Madini Sura 123.
Hayo yamesemwa leo Agosti 14 , 2024 na Waziri wa Madini Anthony Mavunde wakati akiwasilisha taarifa kwa...
N:B..Vipimo ni wastani / Average katika kundi kubwa, hatuangalii moja moja kwamba Kuna mzaramo flani ulimkuta hapendi ngoma, kuna wachaga uliwakuta nyumba flani hawapenda pesa, n.k.
Pisi kali – Ni kweli nchi ina pisi kali kila kona lakini komesha ipo kwa Wanyaturu wa Singida, Wa iraqw tuliozoea...
Wakuu ni takribani wiki kadhaa nilkuja na uzi wa kuhamia mwanza, niseme tu ukweli tangu nimefika hapa jijini sijawahi kupaelewa katika harakati zangu.
Mbaya zaidi sehemu nilipokuepo mwanzo nishaondoa rasilimali zote nikahamishia huku.
Kila kitu naona hakiendi, mtaji niliokuja nao naona unazidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.