utabiri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cartoon ya The Simpsons na utabiri wa 2024

    Tunatoka mwaka 2023, tunaingia mwaka 2024. Huu ni mwaka ambao hao watawala wa dunia hii wanakwenda kufanya mambo makubwa sana, wanasema haijawahi kutokea. Kutakuwa na matukio makubwa ya vifo, hasa kwa viongozi wakubwa, kutakuwa na mambo mengi mabaya kuliko miaka mingine. Nilikuwa naangalia...
  2. M

    UTABIRI: Yanga Sc kuishia na alama 5 tu katika makundi ya CAF Champions league

    Nimeweka uzi huu kuwakumbusha wana Yanga kuwa ule muda wa kucheka umekwisha marabaada ya kupata ushindi kwa mara ya kwanza ktk hatua ya makundi ya klabu bingwa barani Africa ndani ya miaka 88 toka kuanzishwa kwa klabu hiyo. Vituo vinavyofuata ni Al Ahly na CR Belouizdad ambao bila ya shaka...
  3. FT: Young Africans SC 3 - 0 Medeama FC | CAFCL | Benjamin Mkapa Stadium | 20.12.2023

    ๐Ÿ”ฐ๐Œ๐€๐“๐‚๐‡๐ƒ๐€๐˜๐Ÿ”ฐ ๐Ÿ† #CAFCL โšฝ๏ธ Young Africans SC Vs Medeama SC ๐Ÿ“† 20.12.2023 ๐ŸŸ Benjamin Mkapa ๐Ÿ•– 4:00pm Mungu Ibariki Tanzania!! Mungu ibariki Yanga!! #DaimaMbeleNyumamwiko# Kikosi cha Yanga kinachoanza. Kikosi cha Medeama Kinachoanza. Dakika ya 33' Yanga wanapata goli, kupitia kwa Pacome. Yanga 1 -...
  4. Tabiri hapa matokeo ya mechi ya marudio kati ya Simba SC dhidi ya Wydad Casablanca

    Binafsi naamini Mnyama hatari wa mwituni Simba atapata ushindi mnono wa goli 2-1. Baleke na Kibu watatupia siku hiyo. Karibuni wadau kwa utabiri wenu.
  5. Tujiandae na Vita ya Tatu ya Dunia

    Habari wakuu zangu, Kuna msemo unasema "Jela hakuna mateso ila wanao leta mateso jela ni wajelajela wenyewe." Hivyo hivyo duniani ni mahala salama, pana maji, vyakula ardhi nzuri, na vyote Mungu alitoa bure. Yaani ule bure, unywe bure, ujenge popote bure, uwinde bure, uvue samaki was baharini...
  6. Utabiri: Simba Sc na Young Africans hawana uwezo wa kufuzu Robo fainali Club bingwa Africa msimu huu

    Simba Sc na Young Africans hawana uwezo wa kufuzu Robo fainali Club Bingwa Africa Msimu huu. Wajipange msimu ujao waje kivingine
  7. S

    Utabiri wa Hali ya Hewa: TMA ipewe maua yake

    Sipendi sana kutumia huo msemo, ila kwakuwa ndio uko kwenye chati, wacha niutumie kuwapongeza Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini kwa kutoa utabiri wenye viwango. Wote ni mashuhuda wa utabiri wa mvua za mafuriko kutoka TMA japo wako watu waliobeza ila muda umethibitisha. Waliochukua tahadhari...
  8. Wanaotangaza utabiri wa hali ya hewa (TMA) wawe wanatangaza ukweli

    Kwanza niipongeze sana idara inayoshughulika na ukusanyaji wa data za hali ya hewa na mwisho kututangazia hali ya hewa inayotarajiwa kuwepo. Binafsi ni mdau mkubwa wa kutazama hali ya hewa, kwa uchache kutwa mara tatu. Habari ya mwisho kuu waliyotutangazia watabiri wetu ilikuwa ni kututaka...
  9. Utabiri: CAFCL up to final

    Habari wana jf,,,, natumai mko pw kwa waliobahatika kuona ule utabiri wangu wa group stage ambayo imetoka leo,, Niliitabiri wiki moja before jinsi makundi yatakavyokuwa na ndivyo hivyo yametokaeo hiiiii.. Natabiri from group stage up to final yaani nani atapita makundi na nan ataingia robo na...
  10. Utabiri wa Makundi ya CAF CL ya Mwandishi wa Habari MickyJr

    Naona ibaki hivi hivi: ๐†๐ซ๐จ๐ฎ๐ฉ ๐€: โ€ข Mamelodi Sundowns ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ โ€ข CR Belouizdad ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฟ โ€ข Al Hilal ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฉ โ€ข Medeama ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ญ ๐†๐ซ๐จ๐ฎ๐ฉ ๐: โ€ข Wydad AC ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ โ€ข Simba SC ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ โ€ข ASEC Mimosas ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ โ€ข Jwaneng Galaxy ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ผ ๐†๐ซ๐จ๐ฎ๐ฉ ๐‚: โ€ข Al Ahly ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ โ€ข Petro de Luanda ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ด โ€ข Yanga SC ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ โ€ข FC Nouadhibou ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ท ๐†๐ซ๐จ๐ฎ๐ฉ ๐ƒ: โ€ข ES Tunis ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ณ โ€ข Pyramids...
  11. B

    Utabiri: Wakili Msomi Boniface Mwabukusi ndiye yule ajaye

    Wapendwa wana JF, ni matumaini yangu mko vizuri. Nimeota mara kadhaa kwamba Wakili Msomi Mwabukusi atakuja kuwa kiongozi mkubwa kabisa katika nchi yetu. Atakuwa ni Rais mpole na mnyenyekevu kuliko wote waliomtangulia. Lakini wakati huo huo, atakuwa ni Rais mkali zaidi kuwahi kutokea...
  12. Unabii wa mchungaji Moses Kulola wa mwaka 1997 kuhusu vita ya Urusi watimia mwaka 2023

    Katika mahubiri yaliyofanyika huko Mwanza, mchungaji Moses Kulola alitoa unabii juu ya vita ya Urusi ambao chanzo chake ni Nato na akasema kutakuwa na Vita kubwa chini ya Urusi. Na pia akasema Urusi imeandikwa ndani ya Biblia, na kiuhalisia biblia ni kitabu kilichojaa matukio mengi yanayotokea...
  13. Tupia utabiri wako Bayern Munich Vs Man Utd, Allianz Arena leo

    leo kuna mtanange kabambe wa UCL pale Allianz Arena ni Bayern Munich Vs Man Utd. Utabiri wako upoje?
  14. Tupia utabiri wako kuelekea weekend ya Kimataifa kwa Simba & Yanga zilizopo ugenini

    Simba na Yanga zote ziko nje ya nchi katika majukumu ya michuano ya vilabu Afrika. Simba watashuka dimbani pale Levy Mwanawasa Stadium kuwakabili Power Dynamos huku watani zao wakishuka dimbani pale Pele Stadium kuwavaa El Merreikh ya Sudan. Weka utabiri wako timu ipi itapata matokeo yapi?
  15. Kila kitu kuhusu Kesi ya mkataba wa Bandari (DP World na Tanzania) kati ya Mawakili wanne dhidi ya Serikali

    Ni siku kadhaa sasa tangu Kesi ya kubatilisha mkataba wa Bandari ipelekwa mahakamani ,na Tarehe 7/8 tulitegemea kusikia maamuzi ya mahakama juu ya .mkataba huo(Judgment) kwa bahati mbaya Judgment imesogezwa mbele. Siko hapa kutabiri judgment jamani bali natamani ni wajuze vitu vichache kuhusu...
  16. Tetesi: Utabiri 1977: Waalimu wa UPE wanaenda kutengeneza Taifa la wajinga na sasa miaka 50 imepita. Je sisi tuna akili au sisi ni wajinga?

    Je hili ndio Taifa la wajinga lililotabiriwa mwaka 1977 wakati walipoanzisha sera ya Elimu ya Universal Primary Education UPE? Katika sera ya nchi ya kutoa elimu kwa wote. Serikali ilipanga kutoa elimu kwa watanzania wote bila ubaguzi wowote. Serikali ilikuja na mpango elimu ya msingi iwe ni...
  17. Utabiri: Yanga itafungwa na Azam katika mechi ya ngao ya jamii

    Ikiwa imebaki wiki moja kabla ya mechi ya Yanga Vs Azam katika mchezo wa ngao ya jamii, ubashiri wangu unaonesha Yanga atatolewa na Azam katika mtanange huo. Azam Fc iliyosajili vizuri itacheza na Yanga iliyoondokewa na mastaa wake tegemezi. Baada ya dakika 90โ€™ ubao utakuwa unasoma hivi Yanga...
  18. Kule TMA huwa wanatazamanaje siku utabiri ukienda kinyume?

    Kazi ya utabiri wa hali ya hewa ni muhimu kwa maendeleo ya taifa ndio maana serikali ikaanzisha idara maalum ya utabiri wa hali ya hewa. Ni wazi kuwa kazi ya idara hii ni kutabiri tu na wala si kutoa amri hali ya hewa iweje kwenye maeneo tofauti ya taifa letu.Mimi tu kama mwanadamu huwa napenda...
  19. S

    Unabii kuhusu Rais mwanamke aliyepo Afrika Mashariki (ulitolewa 2021)

    Mwaka 2021, Mchungaji Ian Ndlovu kutoka Zimbabwe alisema kuwa Roho wa Mungu amemwambia kuwa awaambie kuhusu Raisi mwanamke kutoka Afrika Mashariki. Aliambiwa kuwa, wote wanaompenda Raisi huyu mwanamke wanapaswa wamwombee sana maana aliona atapitia matukio mawili huko miaka ya mbele ambapo...
  20. Utabiri wangu kuhusu Rais Samia kabla ya 2030

    Salamu, huu ndio utabiri wangu kumhusu mama kabla ya 2030. Haya yote anayoyafanya ni calculated issues. Haya Mambo yanaenda kwa mpangilio ufuatao 1) 2025 Rais Samia atashinda Mama atashinda uchaguzi wa 2025. Atashinda uchaguzi kwa sababu hakutakua na katiba mpya wala tume huru ya uchaguzi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ