Mambo yameshakuwa Yamoto, Sasa baada ya Wizara, TFF na bodi ya Ligi kuushindwa mfupa wa Vigogo na mashabiki wa Yanga na Simba, sasa ni wakati wa Raia namba moja , mwenye nchi yake, kuingia na kutuliza mihemko ya wapenzi wa Soka.
Naamini Busara za Rais Samia , Zitatumika kuliokoa hili, na...