utabiri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Unajimu na Nyota : 29 October predictions

    Kuelekea 29 October. Kwanza Je, Tanzania kama nchi nyota yake ni ipi? 26 April 1964, Tanzania ilizaliwa. Baadani ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Hii inaifanya nchi, wananchi, uongozi wa juu kuwa na sifa za nyota Taurus /Ngombe. Sifa zake kuu ni kupenda vitu vya thamani, ufahari...
  2. JamiiForums Tanzania Utabiri wa Nyota Siku ya 29/10/2025. {Kila kitu kiko wazi}

    Hello habari! mimi sio mwanasiasa na silipwi na kikundi cha mtu au watu kwa njia yoyote nipo hapa kutoa ujumbe wa nyota siku ya Tar 29/10/2025. Mjumbe hauwawi!! Nimetazama nyota zitakavyokuwa tarehe husika 29/10/2025 kuhusiana na suala la Uchaguzi pamoja na harufu ya maandamano na vurugu...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Utabiri wa Ndugai

    https://youtu.be/pK4Uq9CvIkY?si=unUxxicIY6p9sr9M
  4. JamiiForums Tanzania Utabiri: Miaka mitano ya rais Samia: Usipojipanga saaa, sahau kabisa kufanikiwa baadaye

    Mambo vipi wanajf jobless nakuja tena kutabiri,,,ukiangalia mwelekeo wa maendeleo ya taifa chini ya uongozi wa Rais Samia katika miaka mitano ijayo, ebu ngoja nigusie vitu vifuatavyo watu au wenye mfumo wanaenda kutengeneza vitu vifuatavyo kwenye mfumo wao👇👇👇 Watu watatengeneza mifumo yao...
  5. JamiiForums Tanzania Utabiri wa huyu Mchungaji umeniogopesha. Ni nani huyu?

    Wakuu, Huyu Mchungaji ni nani. Hapa wamesema ametokea Zimbabwe maana huu utabiri wake umenishtua sana.
  6. JamiiForums Tanzania Utabiri wa chatgpt AFCON katukataa Tz

    Kwa kuangalia form ya timu na historia ya hivi karibuni, hizi ndizo nafasi zinavyoonekana kwa robo fainali za CHAN 2025: 🔥 Robo Fainali 1. Kenya 🆚 Madagascar Kenya wako kwenye kiwango kizuri sana baada ya kushinda Group A. Madagascar nao wana kasi, lakini Kenya wanaonekana na nafasi kubwa...
  7. JamiiForums Tanzania Huu ni utabiri wangu wa EPL msimu huu wako ni upi?

    BINGWA: liverpool MFUNGAJI BORA: halaand GK BORA: donnaruma YOUNG PLAYER OF THE YEAR: sesko MCHEZAJI BORA WA MWAKA: palmer TOP SIX: liverpool Man city Arsenal Man Utd Chelsea Tottenham
  8. JamiiForums Tanzania UTABIRI: Simba itakandwa 4 bila, ngao ya jamii

    Njia pekee ya kuinusuru ni TFF kubadili hii ratiba (haijatoka hadharani bado ila nimeiona kwa njia nyingine). Iko hivi, Simba ndio itaanza kucheza dhidi ya Azam siku yakwanza, then itafuata mechi ya Yanga dhidi ya Singida (sijui ni kwanini imepangwa hivi) Kwa nongwa ya yanga, ikitokea Simba...
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 Mtandao wa Bloga Tanzania yawaonya wanaotabiri majanga, "wanaleta taharuki"

    Mtandao wa Bloga Tanzania (TBN) umekemea vikali tabia inayoshamiri ya watu kujinadi kufanya utabiri kwa watu na taifa kupitia mitandao ya kijamii, ukisema vitendo hivyo vinakiuka Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi. Kauli hiyo imetolewa kama azimio katika kikao kazi cha mafunzo ya mabloga...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Utabiri wa Godbless Lema juu ya Ndugai

  11. JamiiForums Tanzania Weka utabiri wa top four yako kabla ya ligi hazijaanza kutimua vumbi

    Ligi kuu nchini Tanzania inatarajiwa kutimua vumbi mwezi september ambapo atakuwa anatafutwa bingwa mpya ya NBC premire league kabla ya ligi kuanza nimeona isiwe na shaka nije na moja ya top four yangu kabla ya ligi kuanza kutimua vumbi ..licha ya hivyo hii pia nimetabiri top four kwa baadhi ya...
  12. JamiiForums Tanzania Huu utabiri wa Sheikh Yahya utatimia?

    HUU UTABIRI WA SHEIKH WETU UTATIMIA KWA HALI YA KISIASA YA SASA AU NDIO MASWALA YA IMANI
  13. M

    JamiiForums Tanzania Natabiri Tulia Ackson atakuwa Waziri Mkuu baada ya Kassim Majaliwa

    Mimi Mdogo ake the BOLD leo tarehe 05.08.2025 natabiri next PM will be TULIA ACKSON MWASANSU "Amtumaniae Bwana ni kama mlima SAYUNI"
  14. JamiiForums Tanzania Utabiri: Uchaguzi kufanyika mwakani February 2026

    Ulimwengu wa roho umenionyesha hili jambo mara kadhaa Kuna sababu za msingi na zisizo za msingi zitatokea na kivyovyote uchaguzi utasogezaa mbele Sababu hizo zitasababisha mgawanyiko baridi ndani ya CCM uishe na chadema watashiriki uchaguzi
  15. JamiiForums Tanzania Utabiri: Yaliyotokea 2015 yakiongozwa na Lowasa yanaweza kutokea 2025 yakiongozwa na Polepole

    Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kwa siasa za nchi yetu, upinzani wa kweli utaanzia na kutatokea (originate from) ndani ya CCM yenyewe na si vinginevyo. Tulishuhudia Lyatonga Mrema alipomeguka ktoka ccm na kutua NCCR- Mageuzi mwaka 1995. CCM waliponea chupuchupu katika uchaguzi mkuu wa mwaka huo...
  16. JamiiForums Tanzania Hatimae utabiri wa mwaka 1995 umetimia, muda ni rafiki wa kweli

    Wasalaam. Mwaka 1995 Baba wa taifa hayati mwl J.K. Nyerere akiwahutubia wajumbe wa CCM alisema, nanukuu "CCM inapomtangaza mgombea urais katika uchaguzi wa rais, ni kwamba wanamtamka rais ajae wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lakini huyo anataka urais asiutake kwa siri bali aje aseme mbele ya...
  17. JamiiForums Tanzania Utabiri wangu umetimia Hersi kugombea ubunge mwana FA ajipange hapo kwenye uwaziri

    Wakuu mpo! Mwaka 2024 nilitabiri Hersi atagombea ubunge mwaka 2025 https://www.jamiiforums.com/threads/anguko-la-yanga-limechangiwa-na-eng-hersi-mwenyewe-na-gsm-kuwa-na-tamaa-ya-madaraka-ya-kisiasa-mwaka-2025.2286008/ Leo nmeona taarifa kachukua fomu. Niwaambie tu wajumbe kuwa hata msipo...
  18. JamiiForums Tanzania Utabiri wa nyota leo jumatano 18/6/2025

    UTABIRI WA NYOTA LEO JUMATANO 18/6/2025 Kumbuka kwamba nyota zina athari ya moja kwa moja katika maisha yetu na yeyote asiyefuata nyota yake hawezi kamwe kusonga mbele kwa maana anaishi nje ya asili yake♐ Ikiwa unavutiwa na utabiri huu basi jiunga nasi whatsapp kwa kubonyeza link ya group letu...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Utabiri uchaguzi Mkuu 2025

    Ufunuo wa Rohoni (Tazama kwa Macho ya Kiroho): Nilipouliza rohoni, ikaja picha ifuatayo: "Ninaona mti mkubwa wa kijani wenye mizizi nene katikati ya nchi, juu yake kuna mama aliyeshika taa, nyuma yake kuna upepo mkali wa manyunyu ya mvua, lakini taa yake haizimiki. Pembeni, kuna kundi la...
  20. C

    JamiiForums Tanzania CCM wanapambana by hooks or crooks utabiri wa sheikh Yahaya usitimie

    Hicho ndio kinachowatisha CCM...hawatakuwa submissive hata siku moja...Hawatakubali kufanya any reforms hata siku moja.. Uzi tayari
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…