Moderator naomba sana uzi huu uwe huru ni muhimu kiafya. Mdau wangu Usijaribu kutumia Unga wa Mlonge ambao Umeanikwa JUANI. Ni muhimu sana kutumia Unga ambao Umeanikwa Ndani ya nyumba kwa muda angalau siku 5 na kuendelea bila Jua na kisha kutwangana au kusagwa na kuchekeshwa. . Tazama rangi na...
Bidhaa inapotengenezwa hasa ya afya huambatana na tafiti na uthibitisho wakutosha kabla ya kuruhusiwa kutumika katika shughuli maalumu iliyokusudiwa. Kubadilisha matumizi ya bidhaa ya afya sio jambo linaloshauriwa hata kidogo mara nyingi ni hatari na huweza kuambatana na madhara makubwa...
KUWA MWEMA ISIKUFANYE USITUMIE AKILI.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
1. Wema usio na akili ni uovu. Ni upumbavu.
2. Unapomfundisha mtoto wako mambo Mema yaani kuwa Mwema usiache kumfundisha kutumia Akili katika Wema Wake.
3. Elewa watu wema wasiotumia akili ndio huonewa na kutumika vibaya...
Tumia muda wako kufanya kazi na siyo kuhangaika na mapenzi.
Unakutana na pisi kali unaomba namba unaanza kuwa busy nae we unadhani ameonekana na wangapi kabla yako na ni wangapi wanaomtaka . Punguza kupenda sana watu wana watu wao, unayempenda sana naye ana mtu wake anayempenda sana.
Cheza...
Mchambuzi wa masuala ya kisiasa,uchumi na kijamii, Onesmo Mushi, amewasihi watanzania kutoshiriki kupiga kura kwenye uchaguzi wa mwaka huu kwani itakuwa kama ni kuhalalisha upumbavu.
Mchambuzi huyo ameonesha kuwa tangu turejee kwenye mfumo wa vyama vingi vya siasa, wagombea wa Urais Kwa mwaka...
Tafadhali mheshimiwa rais tunaomba sana usitumie fedha nyingi za walipa kodi maskini kwa ajili ya kushinda uchaguzi. Watanzania wanahitaji maji ya kunywa, barabara angalau za vumbi, vituo vya afya, elimu ya msingi, nk.
Inasikitisha mno kuona mabilioni ya fedha ambazo zingetumika kuwasaidia...
Waswahili wanasema "Kata mti panda mti!".
Huu msemo usiulete kwenye mapenzi utakuja kufa ulimi nje!.
Baada yakubwagana na mpenzi wangu chapchap kuuponya moyo,roho na nafsi yangu nikaamua kutafuta mpenzi harakaraka ili ku cover nafasi iliyoachwa wazi!.
alikuwa binti fulani hivi ndembendembe...
Watu wengi hujikuta wanawaacha wachumba ambao wanawapenda na ambao wanaendana kwa kigezo cha dini.
Dini haina uhusiano wowote na kumfanya MTU kuwa na hofu ya MUNGU, utu hekima wala maarifa.
Jambo kubwa na la msingi unabidi kuangalia MTU Kama mnaendana, kifikra, kimtazamo n.k.
Watu wengi wapo...
Mstahiki Meya dhamana uliyopewa kuiongoza manispaa ya Tabora usiigeuze fimbo ya kuwachapia wakazi wako. Mkazi mtu mzima alikuuliza swali kuhusu wale mnaowaajiri kwa kujuana na kuwapa kazi mishahara na vifaa vya usafi wa mitaro wako wapi mpaka muwalazimishe wakazi kufanya kazi hizo pasipo na...
Tangu saa nane kasoro kumi nimetoka Gongo la Mboto, mpaka sasa nimefanikiwa kufika Banana Ukonga ndio nimenasa hapa.
Kama huna safari ya lazima, usitumie Nyerere/ Pugu ROAD tafuta njia mbadala.
Chanzo cha foleni hakijulikani, nadhani labda mzimu wa Gongo la Mboto umekasirika, watu...
Usafi wa uke ni jambo muhimu sana kwa afya ya wanawake. Mambo usiyostahili na unayostahili kufanya ili kutunza afya ya uke
Usiingize kidole ndani ya uke kwa lengo la kujisafisha hiyo huondoa asidi ya asili ya uke ambayo ni muhimu kwa sababu huzuia bakteria kukua. Aidha usitumie sabuni kuosha...
Salaam!
Hakuna jambo baya kama ushabiki au ufuasi katika dunia hii ya leo. Tumeshuhudia wengi wamefariki, wamejeruhiwa na kupoteza heshima kwa jambo linaloitwa itikadi, dini na siasa, imekuwa ni changamoto kubwa katika dunia yetu.
Nakuomba uhubiri amani kama ilivyo jinsia yako na lea kila...
Waziri Makamba mie nakuomba sana huu mtego wa kulazimisha matumizi ya Gesi ya kupikia wakati hata sio Raslimali ya nchi yetu yaani inaletwa kutoka nje ni hatari sana kwa Ustawi na Usalama wa Taifa letu.
Ingekuwa hiyo gesi tunachimba wenyewe na tungeweka hata bei ya chini sana ambayo ingewafanya...
Usitumie nguvu kubwa sana katika kumtongoza mwanamke, unaweza ukamkosa ukapoteza mda wako. Ila unaweza ukampata ukapoteza mda na pesa zako.
Usimtongoze mwanamke kwa mategemeo ya kumbadilisha ni kweli wapo wanawake ambao wanabadilishika ila kama mwanaume usifanye hiyo kazi utapoteza mda wako...
KAMA UPO CHINI YA MIAKA 40 USITUMIE PESA KUYAPATA MAPENZI YA WANAWAKE
Anaandika, Robert Heriel
Andiko hili ni Kwa utambuzi vijana, kuwafanya wajiamini na kujielewa.
Wakati wanawake wakihamishana Kupenda wanaume wenye pesa na kuwabagua wanaume wachanga ambao wapo kwenye umri wa utafutaji...
Mkuu
Pole KWA majukumu
Nimepata malalamiko kutoka KWA wakuu wa shule za secondari hapo mkoani Tabora kwamba maandalizi ya mitihani ya mock kidato cha nne na cha pili hayakuridhisha!
Kuna kasoro nyingi kama hizi;-
1.Mitihani ilichapiwa kule Mwanza matokeo yake ikachelewa kufika mashuleni KWA...
Kwa Tanzania hasa kwenye miji mikubwa hili limekuwa tatizo kubwa. Wafanyabiashara wadogo tena wanaoanza biashara utakuta wanatumia hela nyingi za mtaji kuwekeza kwenye mwonekano wa duka badala ya bidhaa anazouza.
Vijana wengi hasa kwenye biashara ya nguo wamejikuta wanafunga biashara zao chini...
Salaam Wakuu, natumai nyote mpo salama.
Nywila (Pasword) imekuwa ni sehemu muhimu ya ulinzi wa akaunti zetu za mitandao ya kijamii pamoja na vifaa vyetu vya kidijitali. Katika kuendelea kuhakikisha matumizi ya mitandao ya kijamii inakuwa salama, wataalamu wa mitandao wanahimiza kuunda password...
Wadau wote hamjamboni
Niwatahadharishe
Ni makosa makubwa kutumia neno " Farijika" kwani linaleta maana mbaya
Tumia Neno " Farajika" au "nimepata faraja"
Aksanteni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.