usiku wa manane

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pdidy

    Nguvu ya maombi ya usiku wa manane

    cc  D2 C2 B2 A2 🔥 POWERFUL MESSAGE: WHAT HAPPENS WHEN YOU PRAY CONSISTENTLY AT MIDNIGHT 🔥 Beloved, There is something about midnight. It is not just a time on the clock — it is a spiritual gateway. It is the crossing between yesterday and tomorrow. It is the hour when destinies shift quietly...
  2. Binti wa zamani

    Pishi la usiku wa manane: Nimepata hamu ya kitumbua kilichojaa mafuta

    Usiku huu hapakaliki wala hapalaliki kila nikijaribu kupumzika nashindwa kisa hamu ya kitumbua. Kuna hamu ya kawaida halafu kuna ile ambayo mie inanishika nikikitaka kitumbua. Saa tano hii nimeanza kuvipika 😎😅 Vipi wewe hamu ya kitu gani ikikukaba haitulii mpaka upate kile kitu nafsi...
  3. CHAGOSI GERALD

    3. Kifo cha Dira ya JKT: JKT ilitakiwa kuwa sehemu ya kutengeneza uchumi

    Ehee, sikilizeni sasa, enyi wana wa ardhi hii. Mmekaa kimya sana kama mifupa ya kaburini, mkisubiri siku ya kufufuliwa bila hata kujua mlizikwa lini. Ngoja niwaambie siri moja ambayo imefichwa kwa miaka 60: JKT haikuwahi kuwa kambi. Ilikuwa taasisi. Lakini usiku mmoja, bila kelele, bila duru...
  4. Carlos The Jackal

    GE2025 Endeleeni kuzika watu kwa makundi makundi usiku wa manane, huo ulikuwa ni mwanzo, mchakato rasmi umeanza leo

    Tuendelee Kuishi !!. Chalamila Chalamila Chalamila, Nimekuita Mara Tatu. Sio lazima uongee ili Uonekane, baadhi ya wakati ruhusu akili na Mungu azungumze Ndani yako. Shauri yako, endelea kupatiliza Uovu kizazi chako, Mungu akikupa Mapigo, usije kumlaumu MTU.
  5. babukijana

    Kuota unakula usiku wa manane

    Hizi ndoto zinasumbua sana sana, Huwa naota nakula masive food,iwe stew,nyamachoma,wali ugali.pilau etc Na kunakuwepo chakula kingi sana Na watu wote nawaona tunajuana kabisa hata jana nimeota nakula tilapia choma mkubwa tu. Na best friend. Problem nikiamka,sijiskii kula Chochote ,tumbo limejaa...
  6. Genius Man

    Ni Usiku wa manane nchi ikiwa kwenye majozi na giza nene kuhusiana na matukio ya kutisha

    Ni Usiku wa manane nchi ikiwa kwenye majozi na giza nene kuhusiana na matukio ya kutisha.
  7. P

    Naomba niwape kisa cha kweli kilichonitokea jana

    Habri gan ndugu zangu? Naomba niwape kisa cha kweli kilichonitokea jana. Usiku wa saa moja nilitoka mizunguko yangu bila mafanikio yaani jana sikuingiza hata mia, nikaingia ndani nikavuta kiti nikajiegesha nikashtuka saa nne basi nikakimbia kujilaza ninapolala usingizi ukakubali maana...
  8. DuaZaMama

    GE2025 Mwenyekiti wa CCM Aongoza kikao Cha kamati ya Maadili saa 8 Usiku Jijini Dodoma

    Kikao cha Kamati ya Maadili ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kimefanyika majira ya saa nane usiku chini ya Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kupitia na kuchuja majina ya wagombea Jijini Dodoma tarehe 28 Julai, 2025.
  9. M

    Makelele ya ngoma usiku wa manane

    Wakuu habari zenu. Hii ni saa nane kama kasoro dakika 10 usiku, Nimehstuka usingizini,Nimeshtuswa na makelele ya NGOMA .yaani ni kama kakikundi cha watu. wanapita na wanaongea na wanapiga hiyo NGOMA. Hiyo ngoma inakelele sijawahi sikiia.Ni kama wanapiga debe hivi. Baada ya...
  10. Nikola24

    Nusura nife kwa tatizo la moyo kisa matumizi ya smartphone hadi usiku wa manane!

    Habari ndugu na dada zangu. Kama mnavyojua starehe ya kutumia smartphone Iko amazing hivi. Wiki iliyopita nili zidisha dozi ya kutumia kifaa hiki. Unakuta naperuzi hadi usiku wa saa 9 na dakika kibao kisha nalala .Kuamka saa moja asubuhi.Aisee! Basi wiki hii nineshtukia afya yangu haiko...
  11. Bwege2030

    Kila unachokijua sasa ni uongo,ulidanganywa... Ukweli wenyewe ulifichwa na sasa upo kwenye njozi nzito za usiku wa manane

    MIAKA 500 ZA UDANGANYIFU Miongo Mitano ya Udanganyifu: Mabadiliko ya Ramani na Biblia Kama Silaha ya Wokovu Katika historia ya wanadamu, kuna matukio mengi ambayo yameathiri kwa kiasi kikubwa jinsi tunavyojua dunia na sisi wenyewe. Moja ya matukio hayo ni mabadiliko ya ramani na majina ya...
  12. W

    baadhi ya makombora ya masafa marefu ya Iran yametua Israel muda huu, Israel yajiandaa kufanya shambulio zito zaidi usiku wa manane

    Baadhi ya makombora ya masafa marefu kutoka Iran yamefanikiwa kutua Israel huku mengi yakidakwa angani na mitambo ya ulinzi wa anga. Mashambulio haya yamelenga maeneo yenye wakazi wengi, lakini hadi sasa hakuna taarifa za vifo, kwani watu wamekuwa wakitafuta hifadhi kwenye vyumba maalum vya...
  13. Royal Son

    Hivi ipo siku Tanzania tutatembea Usiku wa manane bila shida?

    Habari wakuu hivi ipo siku Tanzania na viunga vyake tutatembea usiku wa manane iwe kwa shida au raha bila kukutana na vibaka/tatu mzuka?
  14. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    "Huwa anaamka usiku wa manane anapigiwa sim yenye namba 70 pekee na kuongea kwa kunong'ona akiwa matiti wazi akijifunga kikoi chekundu"

    "Ana tabia ya kuamka na kukaa kwenye Giza totoro Kwenye kitanda kingine,hufungua madirisha usiku was kiza kinene Hadi pale sim inapopigwa kwa namba 70,ndio huamka na kuipokea huku akisimama na kwenda katikati ya mlango wa nyumba kutokea nje akiwa ameufungua mlango huanza kuongea Kwa kunong'ona...
  15. VOICE OF MTWARA

    Mabasi ya Mikoani na TV usiku wa manane

    Wahudumu wa Mabasi ya mikoani yanayofanya safari usiku hebu jiongezeni tafadhali. Unakuta imeshafika saa 5 au 6 usiku, abiria wamelala lakini wao wataendelea kuacha TV zikiwa ON. Abiria wanashindwa kulala kwa utulivu kutokana na kelele na mwanga wa TV unaoumiza macho. Hivi ni nani akiwa...
  16. Poor Brain

    Fanya hivi usiku wa manane

    Hi ni mara ya pili natoa elimu ya Angel number lakini mod wamekua wakifuta kila siku its oky.. Leo natoa somo moja ambalo kama una roho nyepese usije jaribu hata kidogo. Ikifika sa nane usiku jifungue chumbani kwako kama upo na mwenzako mwambie akupishe maana hilo jambo ni pasua kuchwa kidogo...
  17. R

    Israel yatoa onyo, yaua viongozi watano wakuu wa Hamas waliokataa kuwaachia waisrael waliotekwa

    Hamas imekuwa ikikataa kuaachia mateka na maiti za waisrael na watu wa mataifa mengine waliowateka 7 October 2023, Israel imetoa onyo kwa kuua viongozi watano wa juu kwenye idara za Hamas. Viongozi 5 wa Hamas waliopigwa target. Mkuu wa Kamati ya Ufuatiliaji wa Serikali - Essam al-Dalis. Mkuu...
  18. Carlos The Jackal

    Inasikitisha Inaliza, inaumiza, Video ya Mke wa Mgombea Uenyekiti CHADEMA Akisimulia Jinsi Polisi walivyomuua Mumewe Kwa Risasi usiku wa Manane!!.

    Ni katikati ya Mkutano wa Wanawake wa BAWACHA , anapewa nafasi ya kuzungumza Mke wa Marehemu. Mjane wa watoto Wanne, anakiri Mumewe kuuwawa na Jeshi la Polisi Kwa kufyatuliwa Risasi nne mbele ya macho yake na mbele ya watoto wake. Mjane anahoji, Angekua ni Rais Samia ameuliwa Mume wake...
  19. Leonce jr

    Nimeacha pombe na sigara lakini napata taabu sana, sipati usingizi hadi usiku wa manane

    habari wakuu. Weekend nyingine ya mwanzo wa mwezi february sasa. mimi ni kijana (me) wa umri wa miaka 27 nilianza kuvuta sigara mwaka 2016 nikiwa advance. NImevuta miaka sasa pamoja na kunywa pombe japo sikuwa addicted sana nilikua naweza kupitisha hata week bila kuvuta wala kunywa...
  20. Mkalukungone Mwamba

    Tabora: Wajasiriamali wa Kachoma walaumu kuvunjwa kwa vibanda usiku wa manane na kupoteza mali zao

    Wajasiriamali wadogo waliopewa eneo la gati la maji nje ya soko la Kachoma, Kata ya Chemchem Manispaa ya Tabora ili wafanyie biashara zao kwa muda huku serikali ikiwatafutia maeneo mapya na sahihi ya kufanyia biashara, wamelalamikia kuvunjwa kwa vibanda vyao usiku wa manane pasi na kutafutiwa...
Back
Top Bottom