ushoga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Rais Putin: Wao wabaki na Ushoga wao, wasitulazimishe

    Hii inaweza kuwa Hotuba yake ya Pili inayovunja Rekodi ya Hotuba yake ya Kwanza ya Munich 2007, hotuba Makini, yenye utulivu inayohitaji Utulivu kumuelewa. Kuna Nchi zina Marais bwanaa, watu wenye Uwezo wa akili wa Ziada, Mtu anaielezea Dunia mithili kama kaichora yeye mwenyewe. Wengine...
  2. JamiiForums Tanzania Kukua kwa Soko la Muziki, na Kuongezeka kwa Ushoga

    Muziki una ushawishi mkubwa Duniani kisiasa (wakati wa kampeni na ziara ),kiuchumi na kijamii. • Takwimu zinaonyesha kwa wastani mtu mmoja ana tumia masaa 961 kusikiliza muziki kwa mwaka. • 66% ya wasilizaji wa nyimbo hizi ni vijana kuanzia miaka 18 na 34+ • Pia takwimu zinaonyesha Ma...
  3. JamiiForums Tanzania Waziri Uingereza atimuliwa kazi kwa tuhuma za ushoga!!!

    Conor Burns, kushoto, akiwa na Boris Johnson aliyekuwa Waziri Mkuu Uingereza. Waziri wa Biashara, Conor Burns wa Uingereza ambaye vile vile nalikuwa Chief Whip wa chama chake cha Conservatives, katimuliwa kazi. Kisa na mkasa inaelekea alianza kumtongoza mwanaume mwenziwe akiwa amelewa katika...
  4. JamiiForums Tanzania Waziri Nape Nnauye aonya wanaohamasisha ushoga kupitia WhatsApp

    Waziri wa Habari Nape Nnauye ametoa onyo kwa viongozi wa makundi ya WhatsApp (Admin), wazazi na wanaohusika kusambaza mitandaoni jumbe na video zinazohamasisha vitendo vya usagaji na ushoga na wengine wakitumia maudhui kwa njia ya cartoon ambazo hupendwa na watoto. ---- Serikali imetangaza...
  5. JamiiForums Tanzania Ufafanuzi juu za shutuma ya DStv kurusha vipindi vinavyohamasisha ushoga

    Tafadhali tuwekane sawa, DStv haijihusishi na kurusha maudhui yasiyofaa katika jamii. Malalamiko haya yanatakiwa kupelekwa moja kwa moja kwenye channel husika. DStv wanarusha channels tofauti, sio kosa lao pale yanapotokea mambo ambayo yanahusiana na maudhui mabaya. Kinachotakiwa kufanyika...
  6. JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa TCRA: DStv wanarusha vipindi vya kuhamasisha ushoga kwa watoto?

    TCRA Please take note. Kuna ujumbe wa malalamiko kuwa kuna vipindi wanavyovipenda watoto vya NICKELODEON, vinavyorushwa na DsTV, vimeleta taharuki kwa wazazi. TCRA kama mhusika tafadhali chukua hatua. Ujumbe: Dear Parents/Guardians. This is to bring to your notice that the cartoon channel...
  7. JamiiForums Tanzania SoC02 Fahamu ushoga na usagaji ulivyo na unavyozidi kuenea nchini, sababu na athari zake katika jamii

    Leo tunakutana tena kuzungumzia jambo ambalo si geni kwenye maskio ya walio wengi japo halifahamik sana chanzo,sababu na athari zake kwa jamii. Tuondoe dhana ya kusema kuongelea dhambi ni kufanya dhambi na haifai na kujiweka nyuma katika kufatilia mambo kama haya ndio chanzo kingine cha huu...
  8. JamiiForums Tanzania SoC02 Dhana ya ushoga na sintofahamu iliyopo juu ya wahanga wa ukatili wa kihisia, kijinsia, na kimaumbile Tanzania

    DHANA YA USHOGA NA SINTOFAHAMU ILIYOPO JUU YA WAHANGA WA UKATILI WA KIHISIA, KIJINSIA, NA KIMAUMBILE TANZANIA UTANGULIZI: Kuna vilio vingi chini ya hiki kivuli cha woga. Kuna mambo jamii inaogopa kuzungumza. Familia nyingi zinasubiri muujiza; hali ya kuwa ziko katika sintofahamu juu ya namna...
  9. JamiiForums Tanzania Mbona wanawake hawakemei Usagaji kama sisi tunavyokemea ushoga?

    Mada ni kwa mtindo wa swali. Nguvu inayotumiwa na jamii ya Kiafrica kukemea ushoga inaridhisha. Ni kikundi kidogo sana kinaunga mkono ushoga. Kwa sasa ukienda gest hamruhusiwi kulala wanaume tupu labda mlazimishe kwa kumpanga mhudumu. Lakini suala ya wanawake kulala chumba kimoja ni ruksa...
  10. JamiiForums Tanzania Wasanii Bongo Fleva na ajenda za ushoga

    Bila kumung'unya maneno, Hii trend ya hawa wasanii wetu hasa wa muziki wa kizazi kipya kupush hili suala la ushoga lionekane la kawaida tusipolipigia kelele itafika siku jamii nzima itaharibika na tutakosa wa kumlaumu. Najua kwa wasanii sometimes mnalazimika kusukuma hizi ajenda pasipo wenyewe...
  11. JamiiForums Tanzania Viongozi wa G7 washerekea miaka 50 ya USHOGA

    Pro NATO mambo yenu ya usagaji na kufirana haya
  12. JamiiForums Tanzania Kacha hii ndio ishara ya mapenzi ya jinsia moja au biashara ya ngono?

    Habari? Kumeibuka mtindo mpya wa urembo. Wadada wengi wamekuwa wakivaa kacha aidha yenye alama ya bendera ya Tanzania au moja iko na ishara na alama za upinde wa mvua. Wakati mwingine wanavaa zote mbili kwa pamoja. Je, wanavaa kama mapambo pasi na dhumuni lolote au ni ishara ya mapenzi ya...
  13. JamiiForums Tanzania Hapa ndio ujue watu hawataki USHOGA

    A man has been arrested after two people were killed and more than a dozen injured in a mass shooting in Oslo. This morning, a city official confirmed the incident was being investigated as a possible act of terrorism. The shooting happened early on Saturday outside London Pub, a popular gay...
  14. JamiiForums Tanzania Mtoto wa Elon Musk aliyebadili jinsia na kuwa binti, ataka kubadili jina kuepuka uhusiano na baba yake

    Binti wa tajiri Elon Musk aliyebadili jinsia yake amewasilisha ombi la kubadilisha jina lake kulingana na utambulisho wa jinsia yake mpya na kwasababu anasema "Siishi au nisingependa kuwa na uhusiano na baba yangu mzazi kwa njia yoyote ile, kwa umbo au muundo." Ombi la kubadilisha majina yake...
  15. JamiiForums Tanzania Ni upi msimamo wa Wanawake kuhusu Suala la Ushoga?

    Kwa muda mrefu nimekua nikijiuliza hili swali bila kupata majibu muafaka. Kila linapoibuka swala la ushoga, mara nyingi nimeona wanawake ama wakiwa hawaonyeshi kukerwa nalo, au wakilitetea. Na pia mara nyingi nimeona mashoga wengi marafiki zao wakubwa ni wanawake na wanawake hao huwa hawaoni...
  16. JamiiForums Tanzania Epuka kuvaa / kumvalisha mwanao nguo zenye rangi hizi unaweza kuta unasapoti ushoga bila wewe kujua

    Mapema leo wachezaji wa Norwich city wakati wakicheza mchezo wao wa mwisho, england premier league dhidi ya totenham. Wamevaa tishert zenye rangi za kishoga wakimsapoti mchezaji wa Blackpool fc inayoshiriki ligi ya daraja la tatu huko wingereza aliyejitangaza kuwa ni shoga. Wapo wengi tu...
  17. JamiiForums Tanzania Pesa ni Shetani; Mchezaji aliyekataa kuvaa jezi ya kuunga ushoga alazimishwa kuchagua kati ya mshahara wa milioni 200 kila wiki ama kurudi Afrika

    Katika hali kama hii ndipo unapoona wazi wazi bila kificho kwamba pesa zina elements kubwa sana za ushetani. Mchezaji wa PSG (timu hii inamilikiwa na shehe tajiri) wiki iliyopita alikataa kuvaa jezi yenye rangi za kuunga mkono ushoga, usagaji na kubadili jinsia, sababu yake kuu ni kwamba ni...
  18. JamiiForums Tanzania Namuunga mkono mchezaji aliekataa kuvaa jezi za kuhamasisha ushoga licha ya wenzake kuzivaa

    Hapo majuzi, timu kubwa ufaransa ya PSG ilienda kucheza mechi huku wachezaji maarufu wa dini kuu mbili wakiwa wamevaa jezi za kuhamasisha na kuutetea ushoga na usagaji lakini kuna mchezaji moja Idrissa Gueye alikataa kuvaa hizo jezi akilalamika ni kinyume na anachoamini Hili suala si la kidini...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Huyu spider Man wa Bongo achukuliwe hatua kwa kuhamasisha ushoga akikata viuno barabarani

    Kuna video imekuwa maarufu kwenye mitandao ya kijamii ikimuonesha kijana wa kiume aliyevalia mavazi ya spider Man akikata mauno barabarani kwenye zebra akicheza taarabu. Mamlaka husika yapaswa imchukulie hatua kwa tabia mbaya alionesha akiwa kwenye zebra ya kuhamasisha ushoga. Kijana huyu...
  20. JamiiForums Tanzania Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

    Ni ndefu kiasi ila jitahidi umalize. Natumaini Wote Mu wazima wa afya, kwa walio wadhaifu basi Mungu awaponye na awatie nguvu tena. Modes nimeamua kutumia ID tofauti na ambayo huwa natumia kwa sababu za privacy tu sababu ID nayotumia nafahamika personally na baadhi ya watu, kwa hivyo naomba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…