ushirikiano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ushirikiano wa umeme wa upepo kati ya China na Afrika wahimiza mageuzi ya nishati ya kijani barani Afrika

    Hivi karibuni, Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed, Rais wa Djibouti Ismail Omar Guelleh, na Rais wa Somalia Hassan Sheikh Mohamud walihudhuria hafla ya uzinduzi wa mradi wa umeme wa upepo wa Aysha, uliojengwa na kampuni ya China katika Mkoa wa Somali, mashariki mwa Ethiopia. Kwa muda mrefu...
  2. H

    Waziri Mkuu asisitiza amani, maadili na ushirikiano na taasisi za dini

    WAZIRI MKUU ASISITIZA AMANI, MAADILI NA USHIRIKIANO NA TAASISI ZA DINI ▪️Asema taasisi za dini nguzo ya maadili na amani nchini ▪️Aonya migogoro ya ardhi inaweza kuvuruga mshikamano wa Taifa WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali itaendelea kushirikiana kwa karibu na taasisi za...
  3. H

    Tanzania na Uganda Zasisitiza Utekelezaji kwa Vitendo katika Kukuza Ushirikiano wa Uwili

    Tanzania na Uganda Zasisitiza Utekelezaji kwa Vitendo katika Kukuza Ushirikiano wa Uwili Tanzania na Uganda zimethibitisha tena dhamira yao ya kuimarisha ushirikiano wa uwili, kuharakisha utekelezaji wa miradi ya maendeleo ya pamoja, na kuibua maeneo mapya ya ushrikiano Akifungua kikao cha...
  4. Balozi CC Kaganda akutana na Balozi wa Ethiopia kujadili ushirikiano kati ya Tanzania na Ethiopia

    Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe, Kamishna wa Polisi (CP) Mhe. Suzan Kaganda, amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Ethiopia nchini Zimbabwe, Mhe. Rashid Mohammed Abdulwahid, ambapo wamejadiliana masuala mbalimbali ya kuimarisha ushirikiano kati ya Tanzania na Ethiopia. Katika...
  5. H

    Nduva aaga, amshukuru Rais Samia kwa ushirikiano na uungaji mkono wa mtangamano wa EAC

    Nduva aaga, amshukuru Rais Samia kwa ushirikiano na uungaji mkono wa mtangamano wa EAC Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Mhe. Veronica Nduva, ametoa shukrani za dhati kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa ushirikiano wa karibu alioupata...
  6. Puma Energy Tanzania Yaongeza Nguvu ya Ushirikiano Kupitia Futari ya Ramadhani

    Na Mwandishi Wetu Dar es Salaam, Februari 27, 2026: Kampuni ya Puma Energy Tanzania imeandaa futari maalum kwa wateja na washirika wake ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuimarisha mahusiano na kuonesha shukrani katika mwezi mtukufu wa Ramadhani. Mkusanyiko huo uliwakutanisha wateja, wadau pamoja...
  7. Thinking Aloud Kwa Maslahi ya Taifa: Ikitokea Umeitwa Mbele ya Tume ya Jaji Chande, Je Utatoa Ushirikiano?, Na Ukifika Mbele ya Tume, Utoe Hoja Gani?

    Wanabodi, Hii ni mada ya Thinking Aloud Kwa Maslahi ya Taifa, kukuomba ushirikiano wako kwa ushirikishwaji, kutoa maoni yako na mawazo yako kumshauri mwana jf mwenzenu, ikitokea ni wewe umeitwa kufika mbele ya Tume ya Jaji Chande, Je Utatoa Ushirikiano?, Na Ukifika Mbele ya Tume, Utoe Hoja Gani...
  8. Anthony Mavunde Apongeza Ushirikiano wa CRDB Bank na Tume ya Madini, Wachimbaji Wadogo Kupata Nguvu Mpya

    Dar es Salaam, 23 Februari 2026 — Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, amepongeza kwa ushirikiano wa kimkakati kati ya Benki ya CRDB na Tume ya Madini, akieleza kuwa mpango maalum wa kifedha uliozinduliwa leo kwa ajili ya wachimbaji wadogo ni hatua ya kihistoria itakayobadili kabisa mfumo wa...
  9. L

    Ushirikiano kati ya China na Tanzania Waendelea kwa Kipaji cha Mafunzo kwa Wafanyakazi wa Reli

    Kwa miaka mitatu na nusu, Amina Ally Sauko amesaidia kuratibu operesheni za treni za Shirika la Reli la Tanzania (TRC) kutoka kwenye Kituo chake cha Usimamizi wa Operesheni kilichoko jijini Dar es Salaam, ambako uhakika na kufanya kazi pamoja kama timu ni muhimu. Amina, ofisa usafiri wa TRC...
  10. H

    Makamu wa Rais azindua mpango wa ushirikiano kati ya taasisi za elimu na viwanda

    TAARIFA KWA VYOMBO HABARI MAKAMU WA RAIS AZINDUA MPANGO WA USHIRIKIANO KATI YA TAASISI ZA ELIMU NA VIWANDA Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi ametoa wito kwa sekta binafsi kushirikiana na Vyuo, kuwekeza katika tafiti hususan za sayansi na...
  11. Dkt. Nchimbi: Mpango wa Ushirikiano kati ya Vyuo na Sekta ya Viwanda ni Hitaji la Lazima

    https://www.youtube.com/live/PjZMsQ0hrxU Akizungumza katika uzinduzi wa Mpango wa Ushirikiano kati ya Taasisi za Elimu na Sekta ya Viwanda uliofanyika leo, Februari 9, 2026, jijini Dar es Salaam, Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, amewahimiza Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia...
  12. DC Kilosa: Kuna Diwani ameingia madarakani ataka kutapeli ardhi akiomba ushirikiano kwa DC

    Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Shaka Hamdu Shaka amesema wapo baadhi ya Viongozi katika Wilaya hiyo wanatumia vibaya madaraka yao na kujimilikisha ardhi kinyume na utaratibu. DC Shaka amesema hayo katika muendelezo wa ziara yake kuzungumza na Wananchi na Viongozi ambapo amesema yupo Diwani baada ya...
  13. W

    Fursa ya ushirikiano wa biashara (Partnership Opportunity)

    Habari wadau. Natumaini wote wazima. Twende kwenye mada moja kwa moja, Natafuta mtu au kampuni iliyo sajiliwa Tanzania kwa ajili ya ushirikiano wa kibiashara katika kuingiza na kusambaza bidhaa za vinywaji kutoka nje ya nchi (international beverage brand) kwenye soko la Tanzania. Kwa sasa niko...
  14. Ushirikiano baina ya wakristo na waislamu ni muhimu kuliko hata vyama vya siasa

    Ni bora pasiwepo na vyama vya siasa lakini ukawapo ushirikiano wa dhati baina ya waislamu na wakristo kwani kila siku,tunashirikiana kwenye mambo mengi mno.Angalia baadhi ya mambo tunayoshirikiana japo kwa uchache: 1.Kuzikana 2.Kusafiri pamoja 3.Kufanya biashara 4.Kufanya ngono 5.Kucheza michezo...
  15. L

    Ushirikiano Kati ya China na Afrika waweka mwelekeo sahihi wa kuboresha kilimo barani Afrika

    Moja kati ya maeneo yanayotajwa kuwa na uwezekano mkubwa wa kuliondoa bara la Afrika kwenye changamoto za umaskini na usalama wa chakula ni kuboresha sekta ya kilimo. Kutokana na bara la Afrika kuwa na ardhi kubwa inayofaa kwa kilimo, idadi kubwa ya watu wanaojishughulisha na sekta ya kilimo, na...
  16. H

    Waziri Kombo akutana na Jonathan L. Jackson, Mbunge wa Bunge la Wawakilishi la Marekani ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Ndogo ya Afrika ya Bunge hilo

    Katika mwendelezo wa mazungumzo na wadau mbalimbali muhimu katika kukuza uhusiano baina ya Tanzania na Marekani, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki alikutana kwa mazungumzo na Mhe. Jonathan L. Jackson, Mbunge wa Bunge la Wawakilishi...
  17. L

    Uhusiano wa China na Afrika waweka mfano mpya wa ushirikiano wa Kusini na Kusini

    Uhusiano wa China na Afrika umeweka mfano mzuri wa kuigwa wa ushirikiano wa Kusini na Kusini, na kuchukua nafasi muhimu sana katika kuendeleza mfumo wa usawa na jumuishi zaidi wa usimamizi wa dunia. Rais na mkurugenzi mkuu wa Taasisi ya Sera ya Afrika yenye makao yake makuu jijini Nairobi...
  18. Ushirikiano Kitanzani: Kodi ya Ushuru wa Bidhaa ya Tanzania na Nafasi ya Mahakama ya EACJ

    Na Dkt. Kirimi Wanjagi Mivutano ya hivi karibuni mpakani mwa Kenya na Tanzania, ambapo malori yalilazimika kusimama kwa saa nyingi kufuatia vurugu za Oktoba 29 nchini Tanzania zimefufua tena wasiwasi wa muda mrefu katika jumuiya ya wafanyabiashara eneo Afrika Mashariki kuwa hali mbaya kuliko...
  19. S

    PostGE2025 Samia, hukuna ushirikiano atakaoupata kuandika Katiba mpya, kuleta maridhiano na hata Tume aliyoiunda itasusiwa na wananchi wengi

    Huo ndio ukweli mchungu. Mambo hayo yanaweza kupatikana ai kufanikiwa tu wakati Samia na watuhumiwa wenzake wakiwa wanajitetea ICC au teyari ni wafungwa katika magereza mbalimbali duniani na si vinginenyo.
  20. Sweden kusitisha Ushirikiano wa Kimaendeleo na Tanzania ifikapo Agosti 31, 2026

    Serikali ya Sweden imetangaza kusitisha ushirikiano wake na Tanzania. Taarifa iliyotolewa na Ubalozi wa Sweden nchini inasema Sweden itasitisha ushirikiano wa maendeleo na Tanzania kufikia tarehe 31 Agosti 2026. Kwa sasa ushirikiano utaendelea hadi wakati huo. Sweden imesema uamuzi huu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…