ushawishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. I

    Kundi la Kigaidi la IRGC laanza kupoteza nguvu na ushawishi.

    https://www.instagram.com/p/DWBl55OjFgp/?igsh=aXUxcTRuMHFkZDdj
  2. R

    Tanzania abroad: watu wenye ushawishi na Nguvu Tanzania

    Watu wenye nguvu na ushawishi kwenye Jamii ya Tanzania 1. Tundu Lissu 2. Father Kitima 3. Anthony Mtaka 4. Askofu Bagonza 5. Heche 6. Ongeza
  3. kiredio Jr

    Njia au mbinu Gani salama kuepuka ushawishi wa mahusiano kazini?

    Let's be short and clear... Kama kijana, unawezaje kukabiliana na wimbi kubwa la ushawishi wa wanawake wa Rika zote eneo lako la kazi, hasa ukiwa mgeni kazini? Unawezaje kuepuka bila kuvunja heshima na uhusiano wa kikazi? Nipeni mawazo yenu, nipo njia panda mzigo huu umenielemea.
  4. Manyanza

    Siku ya Wanawake Duniani 🌸, Kwa Wanawake mliopewa nafasi zenye ushawishi

    Leo dunia inaadhimisha nguvu, busara na mchango mkubwa wa mwanamke katika kujenga jamii na mataifa. Mwanamke si tu mzazi wa kizazi, bali pia ni nguzo ya maadili, dira ya jamii na tumaini la taifa. Mwanamke anapokuwa imara katika maamuzi yake na kusimamia haki kwa ujasiri, jamii hupata utulivu...
  5. H

    Watu wenye ushawishi nchini kujitokeza hadharani na kusema wanayoyasema mbele ya media ni sahihi ? Wamewakosa chemba viongozi husika?

    Watu wenye ushawishi wanapoongea hadharani na kutumia maneno yenye kuleta taharuki mara nyingi wanaonekana kuzungumza moja kwa moja kwenye media badala ya njia rasmi. Je, hii ni kwa sababu hawajui njia sahihi za kufikisha malalamiko kwa viongozi husika, au tayari wamejaribu njia hizo na...
  6. Mhaya

    El Mencho ndiye bosi wa dawa za kulevya anayeogopwa zaidi na mwenye ushawishi mkubwa zaidi duniani kwa sasa.

    Nemesio Oseguera Cervantes, anayejulikana zaidi kama El Mencho, alizaliwa Juni 17, 1967 katika kijiji kidogo cha Michoacán, Mexico. Alikulia katika familia maskini, akikabiliana na ukosefu wa fursa na mazingira magumu ya vurugu na umasikini, ambayo yaliunda msingi wa akili yake ya kibiashara na...
  7. Rijali jandoni

    2030 na baada ya hapo, kuna uwezekano wa kuundwa Chama kipya chenye ushawishi au serikali ya mseto

    Salam wanajamvi, kwa namna mambo yalivyo ni wazi ushiriki na imani ya wananchi kwenye mambo ya siasa umepungua, nikiwa na maana ni ngumu kwa mwananchi wa kawaida kuamini nini viongozi wanacho eleza wakiwa kwenye majukwaa na hii ni kutokana na timing ilio fanyika katika mambo yalio tokea hapo...
  8. DR HAYA LAND

    Aliyesema vijana mtoke Jeshi litawalinda mnamjua?

    Kuna MTU mmoja alisema historia huwa inajirudia . History tends to repeat itself MTU MMOJA AKASEMA VIJANA TOKENI JESHI LIPO NA NYIE LITAWALINDA yaani huyu aliamua kufanya Manipulation kubwa Sana ambayo haijatofautiana na Majimaji war KIJANA LINDA UHAI WAKO HAKUNA MTU YUPO KUHAKIKISHIA...
  9. Common Folk

    Nitashangaa kama serikali haijaandaa "VIONGOZI WA MAANDAMANO". Gwajima au Polepole wangefaa sana. Hao ndiyo wana ushawishi pande zote

    Ulishajiuliza kwa nini Kenya Gen Z walikuwa wanaandamana huku wakiwa na viongozi ila serikali haikuwa inawakamata hao viongozi (wanaharakati)?. Kenya kwa sasa iko shwaaariii! Jibu ni kwa sababu ni rahisi ku-contain maandamano yenye viongozi kuliko yasiyo na viongozi. Leaderless demonstrations...
  10. M

    Muungano umeshapitwa na wakati; Ulishinikizwa na Wamarekani na mabepari wakiogopa kuenea kwa ushawishi wa Urusi kuigeuza Zanzibar iwe kama Cuba

    Muungano uliingiwa kwa hofu, baada ya vita vya pili vya dunia kulikuwa kunanukia vita ya tatu Maandalizi ya kimya kimya ya vita ya tatu ilikuwa na pande mbili Mabepari - nchi kama Marekani, Uingereza, Ufaransa, n.k. wasoshalisti - mataifa makubwa kama Urusi na China waliokuwa wakieneza mfumo...
  11. Yoyo Zhou

    Ongezeko la uwekezaji halimaanishi ongezeko la ushawishi wa Marekani barani Afrika

    Takwimu zilizotolewa katika ripoti ya Mpango wa Utafiti wa China na Afrika iliyotolea na Chuo Kikuu cha Johns Hopkins cha Marekani zinaonyesha kuwa, mwaka 2023, uwekezaji wa moja kwa moja wa Marekani barani Afrika ulifikia dola bilioni 7.8, ukizidi dola bilioni 4 za China. Hii ni mara ya kwanza...
  12. Ghayo El Yehudi

    Kwa nini wenye majina ya "Ayo" wengi wanakuwa na vipawa , mvuto , akili na ushawishi ?

    Mzuka Wana Jamvi Huu ni utafiti nilioufanya tukuanzia hapa JF unamkuta Genius Maghayo Utangazaji MillardAyo Muimbaji DullAyo Kwenye Bible ZebedAyo Kabila WakaldAyo Mchezaji mpira AdebAyo Mfanya biashara ChivAyo Je una maoni yapi ? Uzi teyari
  13. Mkalukungone Mwamba

    Rose Mayemba: Rais Samia, umemfunga Lissu na kuzuia CHADEMA, umepoteza ushawishi

    Mjumbe Kamati Kuu ya CHADEMA Taifa, Rose Mayemba amemjibu Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu baada ya kusema kwenye kampeni zake kuwa CHADEMA wameweka mpira kwapani, yaani wamekimbia uchaguzi unaotarajiwa kufanyika...
  14. T

    Kukosekana kwa upinzani madhubuti wa Chadema na Tume Huru ya Uchaguzi. CCM inachukua mgombea yoyote hata asiye na ushawishi kwa wapiga kura.

    CCM imeamua kuwaacha wagombea wenye ushawishi kwa wananchi kwa kuwakomoa kwa kuamini yeyote ikimuweka anapata ubunge. Hata walioachwa hawana pa kwenda kwani wakifanya hivyo visasi vitawafuata. Kukosekana kwa mfumo huru wa uchaguzi na CCm kumiliki vyombo vyote vya dola ( mahalama na bunge) na...
  15. GENTAMYCINE

    Nitaidharau sana Serikali yoyote ile duniani ambayo inapewa 'Ultimatum' na Raia tu wa kawaida au Kikaragosi yoyote mwenye Ushawishi katika Jamii

    Serikali lazima itishe na kamwe isikubali kupewa Masharti na Raia au Kikaragosi. Serikali ya aina hii GENTAMYCNE nitaipenda sana tu. Tangia lini hata katika Ngazi za Familia Mtoto au Mtu wa Nje ya Familia akampa Masharti Baba mwenye Nyumba? Kama kuna Serikali yoyote ile duniani imepewa Masharti...
  16. GENTAMYCINE

    Taifa lolote lile duniani likiongozwa na Mtawala mwenye Mshauri Hawara ambaye nae ana Ushawishi sahau kuona Uwajibikaji sana sana Chuki itazidi

    Tafadhali tuzingatie zaidi neno Taifa lolote lile Duniani nikimaanisha hapa inaweza kuwa ni nchi yoyote kama vile Malawi ya Kaskazini, Venezuela, Sudan Kusini na hapa Kisiwa cha Puerto Rico ambapo ndiyo makazi yangu tukuka GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE.
  17. Zanzibar-ASP

    Uchambuzi wa Press ya Kwanza ya Polepole: Amevuta ushawishi, ameweza kujenga hoja, amefungua mjadala

    Hayawi hayawi sasa yamekuwa, hatimaye Polepole ameweza kufanya press yake ya kwanza na kwa hakika mambo matatu muhimu amefanikiwa kuyafanya. Jambo la kwanza Polepole amefanikiwa kuvuta ushawishi wa maelfu ya watu kupitia mitandaoni kumfuatilia. Huenda huu ni ushindi mkubwa sana kwake kisiasa...
  18. Zanzibar-ASP

    Uchambuzi wa press ya kwanza ya Polepole: Amevuta ushawishi, ameweza kujenga hoja, amefungua mjadala

    Hayawi hayawi sasa yamekuwa, hatimaye Polepole ameweza kufanya press yake ya kwanza na kwa hakika mambo matatu muhimu amefanikiwa kuyafanya. Jambo la kwanza Polepole amefanikiwa kuvuta ushawishi wa maelfu ya watu kupitia mitandaoni kumfuatilia. Huenda huu ni ushindi mkubwa sana kwake kisiasa...
  19. hamis77

    Ushawishi wa wayahudi katika mifumo ya kiuchumi na kisiasa duniani

    Katika mjadala wa nguvu za mataifa na udhibiti wa rasilimali duniani, jamii ya Kiyahudi huibuka mara kwa mara kama kundi lenye ushawishi mkubwa sana hasa katika masuala ya kifedha, kisiasa, na kiteknolojia. Ingawa hoja hii mara nyingine huibua mijadala mikali, ukweli wa kihistoria, takwimu, na...
  20. funaku

    Mnataka tuamini kuwa mahubiri yamekosa ushawishi kwa jamii na hivyo kila mmoja awe mwanasiasa kuivuta jamii?

    Hilo ni swali linaloenda kwa wanazuoni wa dini yaani maaskofu ,mashekhe,wachungaji na wote tuliotarajia watufundishe aya na maandiko ya dini. Leo hii kinachopostiwa mitandaoni kutoka mimbari za dini sio rejea za maandiko ya Vitabu vitakatifu bali mawazo ya kibinadamu kutoka wavaa kanzu . Hii...
Back
Top Bottom