ushawahi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ushawahi zurura kweny simu yako ukakuta neno "NFC" au watumia infinix okay

    USHAWAHI ZURURA KWENY SIMU UAKO UKAKUTA NENO "NFC" 🥲 AU WATUMIA 😂 INFINIX okay NFC NI KIFUPI CHA (Near Field Communication) NFC ni teknolojia ya wireless communication inayoruhusu mawasiliano kati ya vifaa viwili vilivyo karibu (karibu cm 4–10). Inatumika wapi? Kufanya malipo (e.g...
  2. JamiiForums Tanzania Phishing Link ni Nini? Hivi ushawahi kuona zile link zinakuja WhatsApp zinasema: "Tazama nani anakupenda," "Bonyeza upate GB 50 za bure," au "Tazama

    Phishing Link ni Nini? Hivi ushawahi kuona zile link zinakuja WhatsApp zinasema: "Tazama nani anakupenda," "Bonyeza upate GB 50 za bure," au "Tazama nani anakuchukia kwenye group." Zile link nyingi huwa mtego – zinaitwa phishing links. Ni link zinazotengenezwa kuonekana kama halali, lakini...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Je, umewahi kujisaidia vichakani?

    Me juzi juzi tu hapa nilikua nasafiri,tumbo la kuhara likanishika ghafla..nikapaki ka mkweche kangu pembeni,nikachukua maji niliyokua nimeyanunua kwa ajili ya kunywa nikaingia kichakani nikaendesha wee mpaka nikamaliza,ila muda wote niliokua nimechuchumaa nilikua na mawazo ya itakuaje...
  4. JamiiForums Tanzania Ushawahi kusikia kitu kiitwacho Trojan Horse?

    Huyu alikuwa farasi mkubwa wa mbao wa kutengenezwa. Alitengenezwa na jeshi la Ugiriki. By then kulikuwa na vita baina ya Wagiriki na Troy. So baada ya kupigana sana, mwisho wa siku Wagiriki wakatengeneza huyu farasi wa mbao. Wakampeleka mpaka nje ya mji wa Troy halafu wao wakasepa. Sasa watu wa...
  5. JamiiForums Tanzania Ushawahi kung'atwa na ng'e au tandu?

    Soma hapa kufahamu namna ya kudhibiti maumivu na sumu ukiwa nyumbani. NGE-- Maumivu yake ni ya masaa 24 na sumu inadumu kwa muda mfupi, Na Ukumwona ukimuua hapo mwisho wa sumu yake. Au wanasema kata kimkia chake. TANDU-- Sumu yake kali inakimbilia kifuani na kooni mpaka kichwani sumu yake...
  6. JamiiForums Tanzania Ushawahi jipatia likizo/Mapumziko ya namna hii?

    "Kuna wakati unakuwa unafanya kazi hadi inafika hatua unahisi ni kama ulizaliwa kutopumzika", "kuna wakati changamoto zinakuwa ni nyingi kiasi kwamba unaona kama una laana". "kuna wakati stress zinakuzidi kiasi kwamba huwezi ata kutoa chozi wala kucheka". Kuna namna nyingi za kujipa mapumziko...
  7. JamiiForums Tanzania Je ushawahi kulala lock up? Ilikuwaje mpaka ukalala?

    Habari, Je ulishawahi kulala lock up au selo? Ulikuaje mpaka ukalala? Karibuni wajumbe ili tuelimike
  8. S

    JamiiForums Tanzania Je ushawahi kutapeliwa, Kuibiwa au kudhurumiwa tuambie Ulifanye?

    Je ushawahi kutapeliwa, Kuibiwa au kudhurumiwa tuambie ulifanikiwa kulejesha, Hatua zipi ulizochokuwa au Ukasamehe. Binafsi nilishawahi kuibiwa Piki Piki kipindi nipo Chuo kikuu, Nilimpa kijana mwezangu kwa Siku Lejesho elfu 7 akaleta kama miezi miwili badae akasema ameibiwa ,hakuwa na jelaha...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Hivi ushawahi jiuliza kwa nini taasisi za Bank tunaziamini kutuwekea/hifadhia mahela yetu, ila huduma ndogo tu kama kuchimba dawa hawawezi kukupatia!?

    Hallo wana JF!? Ulishawahi patwa na dharura ya kutaka kuchimba dawa pindi uwapo Bank unataka Ku deposit muamala wako!? Je! Kuna Bank yoyote iliyowahi kukupa hii huduma hata kama wewe ni VIP wao!? Kingine, kinachoniudhi, ni pale unaweza ukawa upo Bank, unapigiwa na mtu ambaye mnataka ku...
  10. JamiiForums Tanzania Timiza malengo yako kwa kutumia njia hii hapa

    Fanya kazi kwa bidii Ndo njia yote hakuna nyingine kijana Kwenye kufanikiwa hakuna njia za mikato Ukitaka njia njia za mikato labda uwe jambazi na mwizi
  11. B

    JamiiForums Tanzania Wanaume, ushawahi pewa sharti la "no sex hadi ndoa" na mdada? Uli-deal nalo vipi, na matokeo yalikuaje?

    Habarini, Wanaume, katika harakati za kutongoza unakutana na mdada, unamtongoza, anaonesha kuwa kakubali, ila mkiwa kwenye story ukigusia swala la mzigo anakwambia sex ni hadi ndoa..au atakuuliza unaonaje swala la no sex till marriage (aki hint kwamba ukitaka u-sex nae ni hadi umuoe).. wadada...
  12. JamiiForums Tanzania Hivi ushawahi kukosea kutuma Ujumbe wa simu? Mimi nilimtumia dada yangu kimakosa "Nimekumisi Baby nina hamu sana nawe"

    Nikamwomba msahama hakuelewa kikao kikakaliwa nikaomba msamaha nikasingizia kuwa siku hiyo nilitumia bangi. Wewe ilikuwaje?
  13. JamiiForums Tanzania Kwa Wanaume: Ulijuaje kama hiyo Style yako ya kunyoa inakupendeza? Ushawahi take risk kujaribu Style nyingine?

    Kwa Wanaume. Unajuaje kama iyo style ya kunyoa inakunoga? Unaambiwaga na watu au unajiona mwenyewe kwenye kioo au ulimuachia kinyozi akuchagulie? Ushawahi jaribu nyoa para? Pank? Ushawahi jaribu acha ndevu?
  14. JamiiForums Tanzania Je, ushawahi kukutana na mwanamke anaeteseka na sonona kwa sababu amekeketwa bila hiari yake?

    Tuanze na wanawake wa Mikoa kama Manyara, Singida, Mara, Kilimanjaro, Arusha na Dodoma. Makabila Wambulu, Wamangha'ti, wagogo, wanyaturu, wakurya, wajaluo wajita, wanyiramba, wapare, wachagga, wamaasai, Wambugwe, Wadatoga, wasonjo etc. Karibu kwa wenye visa kadhaa kuhusu kadhia ya sonona za...
  15. JamiiForums Tanzania Je, ushawahi kufanya kazi za usiku?

    Usiku una mambo mengi mno Mda huu wa usiki kila mtu anautumia kivyake, kuna wale wa kulala. Kuna wale wa kuwanga, kuna wale mafundi ila kuna sisi wengine ambao keyboard ndo chakula chetu. Kwangu mimi hizi kazi za usiku zimekua too much mpaka nasema hivi ni.lini takua na mpenzi ambaye anaelewa...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Ushawahi kujichanganya kimapenzi mpaka ukawa unawaza hapo nyuma ulikosea wapi?

    Wakuu natumaini wote mpo salama na mnaendelea vyema kusherekea sikukuu hizi Dah, kwa upande wangu mimi sipo sawa kabisa hapa najiona mkosefu sana na sijui hata jamii itanielewa vipi, nimekuja huku naamini kuna wakubwa na watu wenye busara naweza pata ushauri.. Nayopitia kwa sasa na jinsi...
  17. JamiiForums Tanzania Ushawahi kukuta baadhi ya majina na namba kwenye contact list yako huyajui kabisa?

    Vipi wakuu, mimi hapa napitia contact list yangu Kuna baadhi ya contacts sizijui kabisa na sikumbuki nilizipata vipi na wapi. Kuna mmoja nimekuta nimemsave "muuza madela" ila sielewi chochote.
  18. JamiiForums Tanzania Ushawahi kupendwa na familia nzima?

    Habari za mda huu wakuu Poleni watanzania kwa msiba wa Dkt. Faustine Ndugulile mwana CCM pekee aliyekuwa amebaki mwenye akili Hii familia sijui wananipendea nini, anyway naamka na simu ya dada yao tulieachana miaka mingi japo sitaki kurudi Unatoka hiyo inaingia ya mdogo wao wa kike ka first...
  19. JamiiForums Tanzania Ushawahi kula viagra alafu mtoto hakuja

  20. B

    JamiiForums Tanzania Wanaume ushawahi kuwa na girlfriend ambaye unaona aibu hata kumtambulisha mbele za watu

    Habarini, Katika harakati za kutongoza kama mwanaume unaeza jikuta wanawake wa type yako hawakutaki, unaishia kupata ambao sio type yako. Ili kutoa ukame, una date na mdada asie type yako, ila hata kumtambulisha kwa ndugu na marafiki kama huyu ni girlfriend wangu, unaona aibu, hata kuongozana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…