ushauri kwa serikali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ushauri Kwa SERIKALI kuhusu FOLENI ZA dar! Mkipuuzia hii basi nyie wendawazimu

    1. Wenye ICD za DAR wapewe VIZIMBA HUKO KWALA halafu ICD za mjini zoote zitoke SERIKALI aifanye biashara ya ICD ikusanywe Kodi Kwa kukodisha! 2. Kuna NJIA ilikuwa inatumiwa na SGR wakati wa ujenz wake! Iwekewe LAMI iwe ya maroli ya mafuta na ya KUBEBA visivyopelekeka ICD ijengwe mpaka chalinze...
  2. JamiiForums Tanzania Ushauri Kwa serikali na hitajio la uhakikisho wa usalama Kwa watoto wetu kuhusu kufungua shule

    Naishauri serikali isifungue shule TAREHE 6/7/2026 iache hii wiki ipitie hakuna chakupoteza. Wiki hii mpaka TAREHE ya hayo maandamano ni kipindi Tete kiusalama serikali isilazimishe unnecessary movements ni Bora makundi nyeti na maalumu kama ya wanafuñzi yaachwe yatulie nyumbani. Kama...
  3. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Serikali kupitia TANROAD, ni afadhali kutokujenga barabara za lami zenye kiwango cha chini mpaka pale budget kubwa itakapopatikana

    Ushauri kwa Serikali kupitia TANROAD, ni afadhali kutokujenga barabara za lami zenye kiwango cha chini mpaka pale budget kubwa itakapopatikana Kujenga barabara za lami zenye kiwango cha chini cha ubora ni kuingiza hasara kwasababu italazimu kurudia kwa mara nyingine kwasababu ya kushindwa...
  4. JamiiForums Tanzania Ushauri Kwa Serikali Yetu, Ili Kuisafisha Tanzania Kimataifa, Tumieni Dekio la Scapegoat Mop, Kusafisha Madoa ya Damu ya October 29!.

    Wanabodi, Huu ni muendelezo wa ushauri wangu kwa serikali yetu, anzia hapa Ushauri kwa Serikali: Tangazeni hata idadi ya uongo ya waliofariki. Gazeti la “The Sun” limeiita Tanzania HOUSE OF BLOOD Ili kuisafisha nchi yetu Tanzania Kimataifa, dhidi ya kadhia ya kile kilichotokea kwenye yale...
  5. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ushauri: Tangazeni idadi ya Vifo, na Ikibidi Hata Idadi ya Uongo tuu ili Wanyamaze!. Gazeti la “The Sun” limeiita Tanzania HOUSE OF BLOOD

    Wanabodi Angalieni jinsi Tanzania tunavyo bagazwa kimataifa Mada hii ni kwa hisani ya wana jf hawa Na HOUSE OF BLOOD: Gazeti la "The Sun" la Uingereza lilivyomuita Rais Samia mchinjaji na juu ya ukatili uliofanyika kwa raia wake ambapo hapa ndio makala yote iko full Kitendo cha kutotangazwa...
  6. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa serikali

    Selikali iongeze tsh 500 kwenye Kila bidhaa ili afya na matibabu yote yawe bure. Asante
  7. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ushauri kwa serikali: Muungwana akivuliwa nguo huchutama

    Za asubuhi Sisi wengine umri wetu ni mdogo sana na tunapenda maendeleo na amani kwenye nchi yetu itawale na tupate mafanikio na kutimiza ndoto zetu kama nyinyi wazee na viongozi vijana mliopo serikali na popote pale mnapotoa huduma na kujipatia ridhiki. Kwahali inayoendelea kwasasa nchini sio...
  8. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa serikali kupunguza aya mateso ya UDART waruhusu njia hizo kuwe na daladala

    Ushauri kwa serikali kuhusu mfumo wa biashara hii ya mabus uwepo ushindani na mabasi ya daladala yawepo alafu mwananchi ataamua mwenyewe apande lipi tofauti na sasa
  9. K

    JamiiForums Tanzania NINA USHAURI KWA SERIKALI ZETU ZINAZOCHANGIA MAJI YA ZIWA VICTORIA

    Serikali ya Tanzania, Uganda na Kenya wote ni wanufaika wa maji ya Ziwa Victoria. Mito yote ya Kanda ya Ziwa na mito yote ya Uganda na Kenya inamwaga maji yake Ziwa Victoria na hatimaye maji hutiririka kupitia Mto Nile hadi Mediterranean Sea. Maji yanayotoka Ziwa vcictoria hupita nchi ya...
  10. JamiiForums Tanzania Walimu wasio na ajira; ushauri kwa Serikali

    WAKUU, AMANI NA IWE NANYI. Ni lengo la sera ya elimu ya mwaka 1995 na 2014 kuwa na Mtanzania aliyeelimika, mwenye maarifa, stadi na mtazamo chanya katika kuchangia maendeleo endelevu ya Taifa la Tanzania. Nikiri tu kwamba, Serikali imefanikiwa kuwaelimisha kwa kuwapa maarifa na stadi walimu...
  11. JamiiForums Tanzania Maswali yangu kumi kwa sekta ya elimu. Tukiyajibu kwa vitendo tutakua tumewajibu NETO kwa usahihi

    Leo asubuhi nilichapisha uzi hapa kwenye jukwaa la siasa kuhusu Interview za walimu, wengi waliunga mkono hoja ya kuwa interview ziendelee lakini wachache waliendelea kuweka msimamo kua interview ziondolewe kabisa. Bado msimamo wangu mimi mwalimu SADATY H. DAUDI ni kwamba tusiingize siasa...
  12. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa serikali: Wajibu wa kikatiba katika kutoa huduma za afya na kusaidia nhif kwa ruzuku

    USHAURI KWA SERIKALI: WAJIBU WA KIKATIBA KATIKA KUTOA HUDUMA ZA AFYA NA KUSAIDIA NHIF KWA RUZUKU 1. UTANGULIZI Serikali ya Tanzania ina wajibu wa kikatiba kuhakikisha kwamba kila raia anapata huduma bora za afya. Kifungu cha 30(1) cha Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kinaitaka serikali...
  13. JamiiForums Tanzania Je, Tanzania kwa sasa haina Baba au Mama wa Taifa hususani Wastaafu ambao kwa nia njema wanaweza kusema neno la dhati bila hofu na bila hila?

    Je, Taifa halina wenyewe kiasi kwamba Rais wa nchi ndivyo anakuwa final, na nchi imekosa Wastaafu wa dhati kabisa kusema kauli njema zenye kuakisi tunu ya hekima na busara za Taifa hili, seriously? Are we in a dead state? Like serious? The state is torn to that extent? Uhuru wa maoni ya...
  14. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa serikali wa namna ya kudhibiti ukwepaji kodi bila kutumia mabavu.

    Mheshimiwa rais, natumaini unaendelea vema na majukumu yako ya kuongoza serikali. Niende moja kwa moja kwenye ushauri wangu. Tengeneza sera ya kubadili mfumo wa manunuzi nchini kuondoka kutoka kwenye matumizi ya cash na kuwa wa kieletroniki. Na jambo hili lisifanyike kwa kutunga sheria ya...
  15. JamiiForums Tanzania SoC04 Ushauri kwa Serikali, Wazazi, vijana kuhusu kupunguza tatizo la ajira

    Suala la ukosefu wa ajira hapa nchini Tanzania limekuwa sio stori tena ni suala ambalo linaonekana ni kama changamoto sana kutokana na sababu mbalimbali, lakini andiko langu nitagusia sana katika ujifunzaji wa lugha za kigeni hususani lugha ya kichina katika kupanua soko la ajira kwa vijana...
  16. S

    JamiiForums Tanzania SoC04 Ushauri kwa Serikali juu ya kuongeza na kuboresha huduma za Ofisi za NIDA

    chanzo ni; yotube Hata sasa kwa Nchi ya Tanzania , Huduma ya upatikanaji wa namba za nida au vitambulisho vya nida bado imekuwa changamoto na mfumo huo kusumbua. Ofisi inayohusika na namba za nida utaikuta ipo wilayani tu au mkoani tu , yaani ofisi hizi za nida zinapatikana katika halmashauri...
  17. JamiiForums Tanzania USHAURI KWA SERIKALI YA MKOA WA DAR ES SALAAM KUHUSU KUBADILISHA MATUMIZI KWA STAND YA MABUS MAGUFULI MBEZI.

    Baada ya Serikali kupitia pesa za walipa kodi kuweza kujenga stand kubwa ya mabus ya magufuli mbezi mwisho, na pia Serikali tumehamua kwa makusudi shughuli zote za mabus na abiria kuruhusu zifanyike Urafiki/shekilango, ifike hatua sasa tubadilishe matumizi ya Stand ya Bus na iwe Soko, eneo la...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Serikali kuhusu uzalishaji mkubwa wa zao la mpunga msimu huu

    Kwanza tunamshukuru Mungu kwa uzalishaji mkubwa wa zao la mpunga kwa msimu huu. Kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha wananchi wamepata mavuno makubwa ya mpunga. Kwa sasa bei ya mchele inazidi kuteremka na ninaambiwa kuwa maeneo ya Katavi kilo moja ya mchele umefika Tshs. 600. Pia...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali iwekeze kwenye ujenzi wa barabara za kiwango cha lami

    Wadau Mimi nilikua nawazo kwa Serikali kuhusu miundombinu ya Barabara Nchini. Barabara ndio kila kitu kwa mwananchi Ili afike pale anapotaka kufanya shughuli zake. Wazo langu nikuwa Serikali inatakiwa iangalie sehemu zenye watu wengi au makazi waweke Barabara zenye kiwango cha Lami Ili...
  20. JamiiForums Tanzania Barua ya Wazi kwa TMDA: Kushughulikia Dawa Zilizoainishwa Kutofaa kwa Matumizi ya Binadamu

    Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) S.L.P 1253 Dodoma / 77150 Dar Es Salaam. Barua pepe: info@tmda.go.tz Tovuti: www.tmda.go.tz Yah: PENDEKEZO LA UTARATIBU WA KUSHUGHULIKA NA DAWA ZISIZOFAA KWA MATUMIZI NCHINI Baadhi ya tafsiri: Dawa zisizofaa kwa matumizi: Ni zile bidhaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…