Ilikuwaje mpaka ukafikiria kulitumia hilo jina? What was the motive behind it?
Na je, kuna namna yoyote linaakisi maisha yako yalivyo, yalivyokuwa au yatakavyokuwa?
Mimi binafsi hili jina langu ni kwasababu naupenda sana mchezo wa poker na pia sipendi kutabirika sana kutokana na mchezo wenyewe...