usaliti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 My side: Hali jinsi ilivyokuwa tarehe 29. Maandamano, usaliti, uhalifu na mauaji

    MY SIDE: HALI JINSI ILIVYOKUWA TAREHE 29. MAANDAMANO, USALITI, UHALIFU NA MAUAJI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Kulikucha vizuri. Hali ya hewa ya jiji la Dar ilikuwa tulivu. 2. Saa moja unusu nilikuwa nje kijiwe ninapokaaga siku ya jumapili(offday) lakini siku hiyo ya jumatano...
  2. JamiiForums Tanzania Nimegundua mke wangu ananisaliti. Niko njia panda

    Wakuu habarini za siku nyingi, poleni sana kwa yaliyotokea. Kijana mwenzenu nilifunga ndoa mwaka 2021, lakini kutokana na mambo ya ajira mimi na mke wangu tunaishi mbali mbali. Hapo mwanzo sikuona changamoto yoyote, lakini baada ya miezi kama mitatu nikaanza kuona utofauti. Ukipiga simu...
  3. JamiiForums Tanzania Polepole bado yupo tunataka ashuhudie usaliti wa watu wake. Alifanya kazi na nyoka

    Badobado! Yule shujaa wenu ataendelea kuwepo mpaka mtu wa mwisho kwa watu wake atakapomwona akimsaliti. Hayo maumivu yake ndio yatafanya ajutie venye ametumiwa kama chambo na wajanja. Alianza yule mzee Buti la kuku, yupo wali wa oda, kuna yule mjeshi aliyejiita Kapteni aliyewaingiza watanzania...
  4. JamiiForums Tanzania Ndugu Polepole, kumbuka kuwa Mwana CCM kumpinga mgombea wa CCM, unaitwa USALITI

    Ukweli waweza kuwa mchungu, lakini ndio ukweli hata kama hatuupendi. Na ukweli mchungu mojawapo kwa Balozi Polepole na wenzake, ni kuwa Dr. Samia ndio mgombea wetu wa urais. Mwalimu alituasa wana CCM, kuwa akishapatikana mgombea wa CCM, wana CCM wote lazima tumtetee. Katiba ya CCM imeenda mbali...
  5. JamiiForums Tanzania Mwenezi CCM Zanzibar: Zitto na wenzake wanavuna usaliti walioufanya kwa Dorothy Semu kumlazimisha ajitoe kuwania Urais

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimekitaka ACT Wazalendo kisimtafute mchawi katika sakata la kuenguliwa mgombea wao wa Urais, badala yake wajue kinachopandwa ndicho kinachovunwa. Pia kimemtaka Kiongozi Mstaafu wa chama hicho Zitto Kabwe kuacha kutoa shutuma zisizo na sababu wakati Luhaga Mpina...
  6. R

    JamiiForums Tanzania CHAUMMA ni vigumu kuungwa mkono na wananchi maana wametokana na usaliti. Baada ya uchaguzi nao wanaishia

    Uchaguzi ukiisha tu, nao wanapotea maana hawana mtu hata mmoja nyuma yao. Na watu wana hasira ya kuwa wasaliti wa chadema ya kweli! Watakuwa toilet papers as put by Kipanya
  7. JamiiForums Tanzania Misukosuko ya William Ruto, ni matokeo ya itikadi yake ya usaliti

    Uchambuzi wa Kisiasa wa William Ruto: Msururu wa Usaliti? Maisha ya kisiasa ya William Ruto nchini Kenya yamekuwa na alama ya miungano ya kimkakati na migogoro mikubwa ya kisiasa, mara nyingi ikitafsiriwa kama usaliti kwa wale waliokuwa washirika wake. Hapa chini ni uchambuzi wa jinsi vitendo...
  8. JamiiForums Tanzania Kupitia Rapa wa Marekani, Fetty Wap ni wazi kuwa kwenye maisha ya kila siku hapendwi mtu, inapendwa pochi

    Rappa wa Marekani, Fetty Wap, alipata utajiri mkubwa wa dola milioni 22 ($ 22 Million) wakati wa maisha yake ya muziki. Aliutumia kwa marafiki zake, akiwalipia mavazi, tiketi za ndege, kodi ya nyumba, na maisha yao kwa ujumla. Lakini pesa zilipoisha, marafiki hao walitoweka. Sasa yupo...
  9. JamiiForums Tanzania Chanzo cha malipizo ni maumivu yaliyopuuzwa

    "Usaliti, umbeya, hujuma, na dhuluma ni moto wa ndani unaowasha kiu ya malipizo katika nafsi za walioumizwa, si kwa sababu wanapenda kulipiza, bali kwa sababu maumivu yao yamepuuzwa kwa muda mrefu." — Alloyce, P.R.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ukiangalia movies za Kituruki zilr za Azam utajua ugumu wa Iran kushinda vita. Waarabu huongoza kwa usaliti na unafki

    Hii ni tamaduni ya kiarabu kuongoza kwa usaliti na unafki...Ni rahisi sana Baba wa kiarabu kumzalisha mkwe wake... Ni rahisi sana kuwagombanisha familia za kiarabu kupitia mali... Ndio maana uoana wenyewe kwa wenyew kwenye familia ili tu kwa ubinafsi waliona.. Ndio maana kwenye ya kiislamu...
  11. JamiiForums Tanzania Bila Mchepuko, Ndoa Nyingi za Sasa ni Ngumu Kudumu – Unahitaji “Catalyst” ya Mahusiano

    Kwa mtazamo wa sasa juu ya ndoa na mahusiano ya kimapenzi, kuna ukweli mchungu ambao wengi hawataki kuukubali hadharani: bila mchepuko, ndoa nyingi za siku hizi hazidumu kwa amani wala furaha. Kabla hujanihukumu au kunishambulia, tafadhali nielewe vizuri. Sipromoti usaliti, bali najaribu...
  12. JamiiForums Tanzania Mchoro wa usaliti katika hekalu la nafsi

    "Akatupa vile vipande vya fedha hekaluni, akaondoka; akaenda akajinyonga." (Mathayo 27:5) Ni mstari mfupi, lakini wenye kishindo cha kimya kinachopasua nafsi. Yuda hakusaliti kwa ujinga,alisaliti kwa kumeza ahadi ya muda na kupuuza kilio cha ndani. Na leo, kivuli chake kinatembea katikati yetu...
  13. JamiiForums Tanzania Je, ndani ya kamati kuu ya CHADEMA taifa kuna usaliti, uasi au hujuma dhidi ya Tundu Lissu anaesota korokoroni pekee?

    Kwasababu my friends ladies and gentlemen let's face it, Ukitazama kwa makini mienendo ya viongozi waandamizi wa kamati kuu ya chadema Taifa, ukisoma kwa makini body languages zao, facial expressions na hata ukiskiza tones za baadhi ya viongozi waandamizi wa kamati kuu ya chadema Taifa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kwa nini wanaoondoka CHADEMA ni kwa staili moja na sababu zilezile. Ni usaliti au hujuma au ni kutumika?

    Nimekuwa nikifuatilia kuondoka kwa wanachama CHADEMA wote wasema sababu ya ubaguzi, uongozi wa kiimla au kunyanyaswa na hatimaye wakiondoka hawasemi waendako eti wote wanapumzika tu. Je mtu akisema wanatumika utasemaje? au u kaskazini au walizoea kutafuna tulitegemea kila mmoja na staili yake...
  15. JamiiForums Tanzania Ukhulukutabu, usaliti na uasi ni maneno yenye maana moja, ambayo ukiyafanya dhidi ya nchi yako yanaitwa uhaini

    Kila raia aka mwananchi anawajibika kuzijua sheria za nchi yake. Kutokujua sheria hakukubaliki mahakamani kuwa utetezi wa kuvunja sheria husika. Ignorance of the law is not an excuse ie ignorantia juris non excusat. Ignorance of law excuses no one ie legis reminen excusat. Wananchi ndiyo...
  16. JamiiForums Tanzania Usaliti ni mbaya sana

    Ninasema kila aliyesaliti Tanzania atapata majibu yake kabla ya kifo atateseka Sana!! Kila msaliti wa mageuzi Tanzania atalipwa usaliti wake Leo mbowe ni wa kusaliti mageuzi kuwa kiungo wa mafisadi na wanyonyaji ? Mbowe ameenda kumtembelea Lissu keko wameshindwa kuelewana mpaka Lissu imebidi...
  17. JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Siku ya usaliti wa Yuda Iskariot, Kujifanya huna upande (neutral) katika mazingira yenye dhuluma na uonevu. Ni usaliti

    Na Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza (PhD) == SIKU YA USALITI WA YUDA ISKARIOT JUMATANO ya mwisho katika kwaresima ndiyo hutukumbusha usaliti wa Yuda Iskarioti kwa Bwana Yesu. Tukisoma Mathayo 26: 14-16, tunasikia Yuda “aliwaendea” wakuu wa Makuhani na kuwauliza wamlipe kiasi gani ili...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kwa huu usaliti unaofanywa na genge la Mbowe iwajulishe wananchi kuwa Mbowe alikuwa ni kikwazo kikubwa cha mabadiliko ya kweli nchini.

    Genge la aliyekuwa mwenyekiti wa chama bwana Mbowe limeamua kujilipua. Limeamua kuukwamisha uongozi halali wa chama ili usifanye kazi yake. Litashindwa! Hii iwaonyeshe Watanzania kuwa Mbowe kwa miaka yote hii alijenga chama huku akiwa na mawazo ya udalali wa kisiasa kwa maslahi binafsi...
  19. JamiiForums Tanzania Kosa la usaliti: Nani mwenye Makosa Rafiki au Mkeo? : VIDEO

    Ngosha kasalitiwa na Mke wake, kulingana na tukio linavyoonekana ni kwamba hata Mtoto si wake.. Analalama kwa uchungu sana.. KATAA Ndoa wanachukua points 3 za wazi. Inaonekana Binti pia hana aibu kabisa.. (Jeuri). Mbaya zaidi hasira za mtu aliyesalitiwa (Ngosha) anazihamishia kwa Mke msaliti...
  20. JamiiForums Tanzania Mimi sitambui tume huru kama tume itakayoenda kufanya haki au kama tume iliyopo kihalali hivyo kushiriki uchaguzi ni usaliti wa taifa

    Unajua watanzania Katika uhalisia watanzania tuliomba tume huru tukapewa jina la tume pekee na kuitwa "huru" wakati jina haliwezi kuifanya tume iwe huru, hii ni kama wenye mamlaka wamekwepa uwajibikaji, demokrasia na haki ili kusalia zaidi madarakani kwasababu jina haliwezi kuleta demokrasia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…