usalama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mfumo dhaifu wa uajiri askari ndani ya vyombo vya usalama unaweza kupitisha majambazi na wauwaji hali inayoweza kuhatarisha usalama wa taifa

    Mfumo dhaifu wa uajiri askari ndani ya vyombo vya usalama unaweza kupitisha majambazi na wauwaji hali inayoweza kuhatarisha usalama wa taifa. Badala ya vyombo vya usalama kulinda raia vinakuwa vinajihusisha na ujambazi
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Mauaji ya raia hayakuwa vitisho na yatakuwa na matokeo mabaya katika siku zijazo

    Mauaji ya raia hayakuwa vitisho bali ni kuwajaza chuki wananchi na visasi dhidi ya vyombo vya usalama. Tutarajie nini baada ya watanzania kupoteza ndugu zao kama sio machafuko zaidi
  3. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tuone nani atapelekwa ICC kati ya Mange, Maria Sarungi Vs Viongozi wa Usalama

    Tuone nani atapelekwa ICC kati ya Mange, Maria Sarungi Vs Viongozi wa usalama Ni muda tu tutajua lakini kama mimi ni kiongozi wa ulinzi na usalama Tanzania mambo si mazuri
  4. JamiiForums Tanzania GE2025 Ni vyombo vya Ulinzi na Usalama vya Tanganyika tu vinavyomchekea Kiongozi anayeua raia wao

    Jeshi la Misri walimshughulikia Anwar Saddat kwa kuingia makubaliano na Israel baada ya vita vilivyoua raia wengi wa nchi yao. Israel walimshughulikia Isaac Rabin kwa kuingia makubaliano baada ya vita vilivyoua raia wao wengi Tanganyia Rais asiye Mtanganyika ameua mamia Watanganyika tena kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Nina wasiwasi na usalama wa watu waliotekwa kama Polepole

    Kuwaachia wawe huru ni vigumu sana maana wanaogopa watawataja. Na mtu kama Polepole hawezi kaa kimya. So, option inayobaki kwa hawa madhulmati ni kuwamaliza watu wetu na kuwaficha kabisa wapotee moja kwa moja. Tuwaombee sana aisee. Wako hatarini
  6. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 DC Kigamboni, Dalmia Mikaya: Hali ya usalama ni shwari wananchi waendelee kujitokeza kupiga kura

    Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Dalmia Mikaya akizungumzia hali ilivyo katika wilaya hiyo hususani muamko wa watu kujitokeza kupiga kura na hali ya utulivu iliyopo hadi sasa "Hali ya Usalama ni nzuri, watu wamekuwa na amani na utulivu mkubwa. Niendelee kuwasisitiza na kuwahimiza kwa wale ambao bado...
  7. JamiiForums Tanzania GE2025 Mkoa wa Dar es Salaam: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2025 kama yanavyotujia

    Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Dar es Salaam. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa Dar es Salaam una jumla ya majimbo ya uchaguzi (12) ambayo ni Jimbo la Kinondoni Jimbo la...
  8. JamiiForums Tanzania GE2025 Msemaji wa Polisi: Hakuna tishio lolote la kiusalama lililobainika hadi sasa

    Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini, David Misime, amethibitisha kuwa hali ya usalama nchini ni shwari na salama, akiwahimiza wananchi kujitokeza kwa wingi katika vituo vyao vya kupigia kura ili kutimiza haki yao ya kikatiba. Akizungumza leo, Oktoba 29, 2025, kwenye kipindi cha Jambo Tanzania cha...
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 Polisi wanaendelea na vitisho kwa raia, huko tabora wamefanya mazoezi wakidai kuimarisha usalama kwenye uchaguzi

    Maafisa wa Jeshi la Polisi mkoa wa Tabora wakiongozwa na SACP Richard Abwao, Kamanda wa Polisi mkoani humo wamefanya mazoezi ya kawaida ya mwendo wa pole na haraka katika viunga vya Manispaa ya Tabora yakilenga kujiweka tayari kulinda amani na usalama kwa wananchi hususani kuelekea uchaguzi mkuu...
  10. JamiiForums Tanzania Haki itashinda na Vyombo vya usalama kuwa upande wa haki

    INSPEKTA WA POLISI AMWAGA MAZITO YA KUHAKIKISHIA RAIA USALAMA NA USHIRIKIANO OKTOBA 29 Hello, important plz. Mimi ni police rank ya inspector, naomba nikujuze kwamba tumeshajipanga vizuri kuikomboa nchi, wa Tanzania wasiogope kutoka ndani na wala wasiogope hayo magari hivyo ni vitisho tu...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Heche ukirudi usalama wako nina mashaka nao

    Hawa siyo watu. Siyo watu kabisa. TAKE CARE PLEASE
  12. 4

    JamiiForums Tanzania Ombi mahalumu la kukutana na IGp , CDF , mkuu wa usalama wa taifa ikiwapendeza sio lazima.

    Wakuu kwema katika jina yule atupatiae mkate wa kila siku. Mimi ni mtanzania tena maskini tu wa kutupa ila najivunia nao maana vidole siku zote havilingani. Rejea mada tajwa hapo juu natamani kukutana na wakuu tajwa hapo juu sio kwa nia mbaya bali kutoa ushauri wangu binafsi juu ya uchaguzi...
  13. JamiiForums Tanzania Baada ya CDF kuhongwa Uwaziri Mkuu, Wanajeshi wa Madagascar waungana Rasmi na Wananchi

    https://x.com/marxistJorge/status/1976999644975841453?s=19 "Watoto wetu wanahangaika sana , hayupo hapa Kuwaua wala kuwpaiga .Na sisi pia tunatipitia kile kile wanachopitia watoto wetu.Ni lazima tuwaunge Mkono " . TUSIKUBALI KUHADALIWA KWA PESA AU NAFASI ". Haya ni Maneno ya Hasira na Uchungu...
  14. JamiiForums Tanzania GE2025 Viongozi Serikalini Wanataka Wananchi Mkinukishe Kwanza ili Wawaunge Mkono

    Ukifanya upembuzi yakinifu utagundua viongozi wengi serikalini sio kwamba hawaoni yanayotendeka. Shida inakuja ni kuwa wenye uwezo wa kusema hapana ni wananchi wenyewe. Hivyo viongozi wengi wanasubiri kuona nguvu ya umma ikifanya maamuzi. Fuatilia kwa umakini tu huko maofisini utagundua...
  15. JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea ubunge Mafinga mjini: Usalama utaimarishwa, nendeni mkapige kura tumeshajieleza sana

    Mgombea ubunge wa Jimbo la Mafinga Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dickison Lutevele maarufu kama Villa, amewahimiza wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura ifikapo Oktoba 29, akiwahakikishia kuwa hali ya usalama itaimarishwa ili kila mtu ashiriki uchaguzi kwa amani. Akizungumza...
  16. JamiiForums Tanzania Tahadhali Kabla ya Hatari, Vitisho vya Usalama, Intel analysis

    Sitaki kuamini kwamba siasa za ndani ndio zimetufikisha hatua hii... Ila inawezekana Taifa linapokea vitisho vya kiusalama vinayopelekea kua na hari hii tuliyonayo na watawala hawana namna bali ni kutii Kama sio tatizo ni nini!? Mbona mambo mengi yanaepukika, tuache upumqavu/upu-uzi huo mara...
  17. JamiiForums Tanzania Kuna usalama hapa? Mbona kama kikohozi ni kingi, haumwi kweli?

    Hapo jijini Mwanza wakati akitoa hotuba yake alianza kulalamika kikohozi kihozi dadeki tupo naye mpaka october 29 hafiki mbali huyu amini nawaambia afiki mbali.
  18. JamiiForums Tanzania GE2025 Hivi unawezaje kuongoza nchi ambayo Jeshi, Polisi na Usalama wa Taifa vimegawanyika?

    Bado nawaza Rais wa nchi yeyote anawezaje kuongoza Taifa ambalo jeshi limegawanyika? Yaani watu unategemea walinde mipaka halafu wanakuwa wamegawanyika!! Unawezaje kutoboa? Kawati huo huo wananchi hasa vijana ambao ni nguvu kazi wamekukataa? Najiuliza nchi Kama hiyo unawezaje kuiongoza?R
  19. JamiiForums Tanzania Kihongosi: Watu wengi kwa kuwa wamezaliwa wamekuta lami zipo, shule zipo hawajui taifa limetoka wapi

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenani Kihongosi, amewataka Watanzania kudumisha mshikamano na kulinda umoja wa kitaifa kwa kuheshimu vyombo vya ulinzi na usalama. Akizungumza leo Oktoba 05, 2025 katika ukumbi wa White House jijini...
  20. JamiiForums Tanzania Swali kwa JWTZ: Vyombo vya usalama kufanya gwaride mitaani kipindi hiki cha kampeni za uchaguzi siyo siasa?

    Mbona kozi zingine za majeshi huwa hamfanyii mitaani, huwa mnaenda kwenye maeneo maalumu yaliyojificha mnafanya kozi zenu huko kimya kimya bila kuleta bughudha kwa raia wa kawaida? Kwa nini kipindi hiki cha uchaguzi mkuu mnafanya magwaride mtaani, tena mmeungana majeshi yote, na hiyo yote baada...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…