usalama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Arusha: Polisi waua majambazi watano. RC Gambo atoa pongezi

    Kamanda wa Polisi mkoani Arusha, Jonathan Shanna amesema kikosi cha jeshi la polisi Mkoani humo kimewaua majambazi sugu watano wakati wakijibizana risasi na polisi na kuwakuta na silaha aina ya Shotgun Pump Action 32265,Chinese Pistol,Bastola 1 bandia,risasi 11 pamoja na simu 2 & pikipiki 3...
  2. JamiiForums Tanzania Watu wengi Kusini mwa Afrika wanakabiliwa na ukosefu wa usalama wa chakula kutokana na athari za mabadiliko ya tabianchi

    Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) limetoa wito wa fedha zaidi kwa ajili ya juhudi zake za kupambana na njaa katika nchi za kusini mwa Afrika ambazo watu wengi wanakabiliwa na ukosefu wa usalama wa chakula kutokana na athari za mabadiliko ya tabianchi na hali mbaya ya kiuchumi. Taarifa...
  3. JamiiForums Tanzania Je, Rais Magufuli anajua kuwa wajibu namba moja wa Jeshi letu la Polisi nchini ni kulinda usalama wa raia na mali zao?

    Nilishangazwa mno na vitisho alivyotoa Rais Magufuli majuzi kwenye sherehe za mapinduzi kuwa wale wote wanaovishutumu vyombo vyetu vya ulinzi nchini, kwa kupotea watu mbalimbali, wakamatwe na walete ushahidi! Hivi katika mazingira haya yanayotokea nchini chini ya utawala huu wa awamu ya tano wa...
  4. JamiiForums Tanzania Vijana kutoka Zanzibar wanapendelewa ajira ndani ya vyombo vya ulinzi na usalama wawapo JKT

    Habari wakuu! Linapokuja suala la nafasi za kazi kwenye Vyombo vyetu vya ulinzi na Usalama na kuhitaji vijana walioko makambini(jkt) vijana wa Zanzibar huwa wanabebwa kana kwamba yatima, hapa sisemi kuwa hawa vijana kutoka Zanzibar waachwe la bali ni vyema watazamwe kama vijana wengine kutoka...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Zitto ataka ripoti ya Kamati ya Bunge ya Ulinzi na Usalama inayohusu shambulio la Lissu iwekwe wazi

    Pia ( 2) kama Mbunge Tundu Lissu shambulio lake la risasi haliwahusishi TISS basi Ripoti ya Kamati ya Bunge ya Ulinzi na Usalama iwekwe Wazi kwa Umma. Pia Watanzania waonyeshwe juhudi zozote za Polisi kuchunguza tukio lile la kikatili kufanyiwa Mbunge nchini. Mimi ninalaumu TISS Chanzo:Twitter...
  6. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi: Tanzania ipo salama dhidi ya vitendo vya ugaidi

    Jeshi la Polisi nchini limewahakikishia raia wa kigeni wakiwemo watalii, kuwa nchi ipo salama dhidi ya vitendo vya kigaidi; na linaendelea kuimarisha ulinzi katika maeneo yote ya nchi. Kauli hiyo imetolewa na Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania, David Misime. Alisema hayo wakati akizungumzia...
  7. JamiiForums Tanzania Nape Nnauye atishishiwa Bastola na kusukumizwa kwenye gari

    Ni aibu kwa taaluma nzima ya usalama,kwa mwanausalama kumvamia kiongozi bila ya kujitambulisha na kuonyesha kitambulisho na kuanza kumtisha kwa bastola ili atii amri yako. Nakushauri kamanda Sirro umrudishe uyu kijana akasome vizuri sheria za usalama kuliko kulitia aibu jeshi la polisi. Haapa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…