usalama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Amani, utulivu na usalama wa uhakika Tanzania ndio kichocheo na kivutio kikuu cha utalii, biashara na uwekezaji wote mkubwa unaoendelea nchini.

    Hongera serikali sikivu ya CCM, chini ya Rais shupavu na mchapakazi hodari, Dr.Samia Suluhu Hassan, kwa kazi kubwa na nzuri sana ya kudumisha umoja, amani na usalama wa waTanzania, na kutengeneza mazingira mazuri, rafiki na bora zaidi ya kuchochea na kuvutia watalii, wafanyibiashara na...
  2. JamiiForums Vyombo vya Usalama Vinapaswa Kulinda Taifa, Siyo Kulinda Mtu Mmoja | Kwa Nini Usimamizi wa Kikatiba ni wa Lazima

    Katika historia ya nchi nyingi duniani, tatizo kubwa zaidi la vyombo vya usalama halijawahi kuwa ukosefu wa uwezo, ni swali la uwajibikaji, Yaani vinawajibika kwa nani. Hatari ni Pale inapokuwa Vinapokuwa chini ya mtu mmoja pekee, bila usimamizi wa nje, vinaweza kutumika kwa urahisi kulinda...
  3. JamiiForums Ukweli ni silaha kali, hata Wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama wanaukimbia

    Biblia na hata Qoran vinasema mamlaka yote chini ya ardhi yanatoka kwa Mungu. Binadamu tuyatumie vema. Msingi wa yote ni ukweli. Ukweli ni upanga ukatao pande zote mbili. Ukweli haufichi maovu. Mtu anaweza fanya maovu akifikiri ukweli haumwoni. Sasa mtu huyo akiambiwa aje hadharahi...
  4. JamiiForums Ulinzi na usalama wa uhakika

    ๐Ÿ” SMART EYE SECURITY SERVICES ๐Ÿ“น Usiache usalama wa nyumba, biashara au ofisi yako kwa bahati. Tunakufungia CCTV Camera kwa usalama na ufuatiliaji wa uhakika. ๐Ÿ‘๏ธ๐Ÿ“น ๐Ÿ  Nyumbani ๐Ÿช Madukani & Biashara ๐Ÿข Ofisini ๐Ÿญ Maeneo ya kazi ๐Ÿ“ Location: Dar es Salaam ๐Ÿ“ž Piga/WhatsApp: 0622667749 SMART EYE...
  5. JamiiForums Ulinzi na usalama

    ๐Ÿ” SMART EYE SECURITY SERVICES ๐Ÿ“น Usiache usalama wa nyumba, biashara au ofisi yako kwa bahati. Tunakufungia CCTV Camera kwa usalama na ufuatiliaji wa uhakika. ๐Ÿ‘๏ธ๐Ÿ“น ๐Ÿ  Nyumbani ๐Ÿช Madukani & Biashara ๐Ÿข Ofisini ๐Ÿญ Maeneo ya kazi ๐Ÿ“ Location: Dar es Salaam ๐Ÿ“ž Piga/WhatsApp: 0622667749 SMART EYE...
  6. S

    JamiiForums Wakimaliza kumuhoji John Heche, msishangae kesi ikafutwa ili vigogo wa vyombo vya usalama wasohojiwe na Lissu mahakamani

    Hii ni kwasababu, wanajua kabisa anachokutananacho Heche mahakamani, kinaweza kuwakuta IGP, CDF na DCI hasa ikitokea Lissu anawafanyia cross examination iwapo mashahidi hao watamgeuka. Wanajua upo uwezekano wa Lissu kuwa na taarifa nyeti za hao vigogo zikiwemo za kibinafsi na zile zinazohusiana...
  7. JamiiForums Waziri wa Ulinzi wa Israeli, Israel Katz: aiambia Iran kuhusu Ali Taher Ridge kuwa hilo ni eneo la usalama!!

    Waziri wa Ulinzi wa Israeli, Israel Katz: Ali Taher Ridge ni sehemu ya mstari wa njano na eneo la usalama la Israeli nchini Lebanon - IDF inajiandaa kivitendo kudhibiti ukingo na kuzuia jaribio lolote la Hezbollah au kipengele kingine chochote kurudi na kuanzisha uwepo hapo. Mtu yeyote...
  8. JamiiForums Kuna members wamepotea sana humu Jf since july kuna usalama kweli?

    adriz de mbusii Intelligent businessman
  9. JamiiForums Chanzo cha Ugomvi wa jana kati ya Trafiki na Daktari ni rushwa. Rushwa imekuwa haki ya askari wa usalama barabarani.

    Itoshe kusema taifa limeshaanguka tayari. Hakuna tena mamla na taifa limeingia kwenye hatari isiyoelezeka. Kwa ufupi tumekwisha.
  10. JamiiForums HOJA Manispaa ya Ubungo, LATRA na Jeshi la polisi usalama barabarani ondoeni bajaji njia kuu za Bunju na Morogoro road

    Wadau, hili jambo limekuwa kero kubwa kwa watumiaji wa barabara maeneo Bagamoyo Road na Morogoro Road. Idadi kubwa ya bajaji zinazoingia na kufanya shughuli kwenye barabara kuu, hasa maeneo yenye msongamano mkubwa wa magari, imekuwa ikichangia usumbufu kwa watumiaji wengine wa barabara. Tatizo...
  11. JamiiForums Polisi: Conrad Agonza Kayoza anashikiliwa kwa kumshambulia kwa ngumi na mateke Askari wa Usalama barabarani

    Jeshi la Polisi Dar es Salaam linamshikilia Conrad Agonza Kayoza, miaka 35, kwa tuhuma za kumshambulia kwa ngumi na mateke Askari Polisi wa Usalama Barabarani, F. 8886 SGT Andrew, wakati akitekeleza majukumu yake katika eneo la Lugalo, Kinondoni, Dar es Salaam. Tukio hilo limetokea Septemba 8...
  12. JamiiForums Tanga Mjini hali si salama, kikundi cha uhalifu kinachojiita VISHANDU, wanahatarisha Usalama wa watu

    Hello Jamii, Mimi ni mkazi wa Dar es Salaam, lakini mara kwa mara huwa naenda Tanga kwa ajili ya shughuli mbalimbali. Kwa kweli, nimeshtushwa na hali ya usalama ninayoiona kwa sasa katika maeneo mbalimbali ya Tanga Mjini. Kuna taarifa na malalamiko kuhusu kuwepo kwa vikundi vya uhalifu...
  13. I

    JamiiForums, JamiiForums Kenya Usalama Nairobi: Tukio la Mchana Linalowafanya Wakenya Kuuliza Maswali

    Hali ya usalama Nairobi inaendelea kuwa mbaya. Video hii inayosambaa mitandaoni inaonyesha mwanamke akipokonywa simu mchana peupe kwenye barabara ya Thika Super highway. Vijana wawili wanaonekana wakimbana kwenye ukuta na kuondoka na simu yake. Ni picha ya wazi ya jinsi uhalifu na vurugu...
  14. O

    JamiiForums, JamiiForums Kenya Mhariri Alex Kiprotich atekwa na kupatikana salama: Wasiwasi waibuka kuhusu usalama wa Wanahabari

    Mhariri wa Standard Group, Alex Kiprotich, alitekwa usiku wa Jumanne, Septemba 1, 2026, akiwa safarini kuelekea Nakuru kupitia barabara ya Gilgilโ€“Nakuru. Kiprotich alipiga simu kwa mkuu wa usalama wa Standard Group akisema gari lao lilikuwa limezuiwa na watu wenye silaha, kabla ya mawasiliano...
  15. JamiiForums Daima Rais Dr.Samia Suluhu Hassan huchukua hatua na kufanya maamuzi magumu kwa maslahi mapana ya Taifa.

    Sidhani kama kuna ubishi kwenye jambo hili la kipekee sana kwa rais wetu. Na sote ni mashahidi kwamba, hatua za makusudi na maamuzi magumu ambayo daima Rais Dr.Samia Suluhu Hassan amekua akiyachukua ndani ya chama na katika serikali sikivu ya CCM, hulenga katika kulinda maslahi mapana ya taifa...
  16. L

    JamiiForums Usalama wa Taifa, JWTZ na Polisi mnatukosea sana Watanzania

    Ninaposema Usalama wa Taifa, Jeshi na Polisi hapa namaanisha nyinyi wakubwa viongozi wa Vyombo hivi, mnatukosea sana sisi Watanzania wenzenu. Hata hivyo bila kusahau hata ma junior wa Vyombo hivi, mnatukosea sana sisi Watanzania wenzenu. Mnatukosea kwa sababu tumekua tunaongea miaka nenda...
  17. A

    JamiiForums KERO Huu uchafu mtaroni hapa Sinza Africasana, wahusika hawauoni au hakuna wa kuwajibika?

    Salaam Wana JF Hapa ni Sinza Africasana, mtaro wa upande wa barabara ya kuingia Mabatini police Je, mamlaka hazioni hili? Lakini pia Wananchi tunawajibikaje kulinda mazingira yetu? Na ukizingatia tumeambiwa kuwa mvua kubwa zinakuja zikileta maafa? Pia soma ~ Rais Samia: Dar es Salaam ni...
  18. JamiiForums Usalama wa Taifa, JWTZ, na Jeshi la Polisi Tanzania Hivi mnatuonaje?

    Kazi ya kutulinda sisi raia wenu imewashinda? Ikiwa mnaweza kutumia risasi kuwaua majambazi na wahalifu sugu mnashindwa vipi kumtafuta na kumtia nguvuni mhalifu anayehusika na utekaji, mauaji ya raia na uvunjifu mwingine wa amani hapa Tanganyika? Je, ni kwamba hamumjui, mmerogwa au...
  19. E

    JamiiForums Wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama mtafikiwa tu mwenzako akinyolewa zako tia maji

    Ni ahadi naiona ikitimia. Walianza njia ya kuwatoa ni kuwapeleka ubalozini kama nchimbi na polepole soon mtawekwa kizuizini kama VP au kusikojulikana kama polepole joka limechoka kunywa damu za malayman
  20. JamiiForums Kwanini awamu ya sita imekuwa na migogoro mingi ya kiuongozi nafasi za juu kuanzia Ndugai, Majaliwa na sasa Nchimbi?

    Mlifanya jambo kama hilo kwa Spika wa bunge kwa sasa naomba msijaribu kwa makamu wa rais mtaleta maafa. Kwanini awe Samia pekee anayegombana na wandani wake. Kuanzia kwa Kasimu Majaliwa, VP aliyeamua kupumzika Mpango na sasa huyu Emmanueli Nchimbi? Tafute namna ya kuondoa tofauti zenu bila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ