Dah! maskini Tanzania nchi yetu, sijui tunatokaje hapa tulipo kwenda mbele kama taifa.
CCM dola ni yenu, mmeshika mpini kila sehemu kwa nini mnaogopa kufanya reforms?
Kweli kudai reforms ndiyo imekuwa hatari kiasi hiki kwenu, yaani reforms tu.
Mimi bado siamini kama mnaogopa, labda kama...