usaili

  1. Kuitwa Kwenye USAILI Utumishi Ajira Portal, PSRS May 2025

    Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) on behalf of various government institutions would like to inform all job applicants who applied for a job that the interview is expected to be conducted as indicated in the PDF attached and finally assign job centers to the applicants jobs that...
  2. N

    Afisa mazingira daraja la ii tunapaswa kusoma wapi angalau kuvuka usaili wa kuandika

    Naomba kujuzwa wapi tusome nafasi ya afisa mazingira daraja la II kwa ailiyewahi kufanya usaili kwenye hii kada
  3. Kuna mtu yeyote aliyekata rufaa kuhusu matokeo ya usaili wakuandika TRA kaitwa??

    Habari Wadau. Naomba kujua kama kuna mdau yeyote aliyekata rufaa kuhusu yale matokeo ya usaili wakuandika wa TRA Kama kaitwa kupatiwa ufumbuzi au kajibiwa kwenye email yake?
  4. M

    Usaili wa Oral TBS unakuwaje?

    Habari wadau, kwa yeyote anaefahamu usaili wa oral TBS upoje kwa nafasi ya esearch, quality assurance or inspection officer unakwaje?, maswali gani ni common sana? au kama umewahi fanya usaili wa TBS na unakumbuka maswali uliyoulizwa nomba tusaidie tuwaokoe vijana na Mungu akubariki.
  5. Usaili wa ajira za polisi 2025

    Jamani naomba nisaidieni location ya ofisi ya polisi wanapofanyia usaili (kuanzia kesho) kwa watu wa kidato cha nne na sita wilaya ya ilala. siku na muda kamili kwa ziada ya maelezo nitashukuru
  6. Nimekandwa saili tatu mfululizo bila kwenda oral hata moja kwa kweli ni huzuni sifanyi tena usaili wowote

    WAKUU HABARI. NIMEKANDWA SAILI TATU MFULULIZO KWENYE WRITTEN TU TOKA NIANZE KUFANYA USAILI AISEE. ADMINISTRATIVE OFFICER YA BUNGE CHALI. MDA & LGAs CHALI, TRA CHALI, MACHUNGU YAKE SIO KITOTO AISEE BORA NIKIMBIE TU😂😂😂🤣😂.Hapa tunashauriwa kuto kukata tamaa lakini mmh hii ni moto unakosa marks 5...
  7. Matokeo ya usaili TRA 2025

    Matokeo haya hapa https://www.tra.go.tz/images/uploads/public_notice/english/MAJINA_YA_USAILI.pdf Hongereni mliochaguliwa mmeupiga mwingi
  8. Matokeo ya Usaili wa kuandika TRA uliofanyika tarehe tarehe 29 na 30 March 2025

    MAMLAKA YA MAPATO TANZANIA TAARIFA KWA UMMA MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA Dar es Salaam, 26 Aprili, 2025: Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inapenda kuwataarifu wasailiwa wote waliofanya usaili wa kuandika tarehe 29 na 30 Machi, 2025 katika vituo tisa (9) vilivyokuwa vimeandaliwa hapa Nchini...
  9. L

    Msaada wa Kituo Cha Usaili Cha (Ajira portal)Kwa Dsm

    Wakuu naomba mnijuze Hawa PSRS kituo Chao Cha Usaili Kwa Daresalaam ni kipi ? Kipo wapi ?
  10. Pombe, Viduku, Milegezo Vimini Chanzo cha Wengi kushindwa Usaili Serikalini

    Habarini wakuu Nimeona hii habari ikieleza sababu za wengi kushindwa Usaili wa ajira mbalimbali zinazotangazwa serikali Sababu hizo zilizotajwa ni pombe, uvaaji usiofaa na mitindo ya nywele kwa wale wanaoitwa hasa kwa usaili wa mahojiano Nukuu kutoka kwa Waziri Simbachawene "Mwalimu anakuja...
  11. J

    Usaili wa kada za TAA unafanyika vituo gani ?

    Habari wadau, Usaili wa kada mbali mbali katika Taasisi ya TAA mamlaka ya viwanja vya ndege zimetangazwa April 2025. Kupitia utumishi. Nina changamoto moja, nahitaji msaada kwa wadau. Vituo vya usaili wa written interview kwa kituo cha Dar wanafanyia wapi ?? Nimekwama hapo wadau naomba...
  12. H

    Nimeitwa kwenye usaili wa afisa tehama (Network administrator) -utumishi

    .
  13. M

    Barua ya Utambulisho katika usaili wa utumishi

    Habari wadau, samahani naomba kuuliza kuhusu Barua ya utambulisho kutoka serikali za mitaa inatakiwa iwe na sifa gani ili nipokelewe katika usaili wa utumishi? je inasainiwa na Afisa mtndaji au mwenyekiti wa mtaa ?
  14. Kufahamu vituo vya kazi katika taasisi mbalimbali kama vile NEMC, IAA, TBC,VITUO VYA USAILI: ARUSHA, DAR ES SALAAM, DODOMA, MBEYA, MWANZA NA ZANZIBAR

    Habari wanaJF, kama naomba kufahamu kwa upande wa dar ni wapi panafanyikia huo usahili wa MCHUJO(WRITTEN INTERVIEW) katika taasisi tofauttofaut zilizotolewa juzi kama vike AICC, TBC, IAA, ,TPSC, VETA, SUA. maana wao wameandika "VITUO VYA USAILI: ARUSHA, DAR ES SALAAM, DODOMA, MBEYA, MWANZA NA...
  15. Matokeo ya Usaili TRA Kutangazwa Aprili 25, 2025

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema kuwa matokeo ya usaili wa maandishi uliofanyika Machi 29 na 30 mwaka 2025 kwa watahiniwa walioomba nafasi za kazi TRA yatatangazwa Aprili 25 kupitia tovuti ya TRA (www.tra.go.tz) baada ya kuwasilishwa na mshauri elekezi NBAA Aprili 23, mwaka huu...
  16. N

    Usaili wa T. R. A ulivurugwa

    Eid Mubarack ndugu zangu watanzania na Viongozi wetu mbalimbali mliopewa mamlaka ya kusimamia haki katika Taifa letu,nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Leo naomba niongee na Viongozi wetu hawa wakiongozwa chini ya mh @samia_suluhu_hassan Mh Rais na waziri mwenye dhamana ya...
  17. Kwa niliyoyashuhudia jana kwenye usaili wa tra,nashauri bora hizi ajira ziwe zinasimamiwa na PSRS tu.

    Habari za asubuhi wakuu. Jana nilikua miongoni mwa watanzania tuliobahatika kuhudhuria usahili wa mamlaka ya mapato Tanzania,kituo changu cha usahili kilikua kule sabasaba.nilifanya nafasi za Tax management officer ii na Customs officer ii. Kuna dosari nyingi sana niliziona nikahisi ni either...
  18. Simbachawene: Wanaofanikiwa kupita katika usaili wa ajira wachukue barua mikoa waliofanyia usaili na si Dodoma

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene amemuelekeza Katibu Mkuu, UTUMISHI, Bw. Juma Mkomi kuhakikisha barua za walioshinda usaili na kupangiwa vituo vya kazi zinatolewa kwenye mikoa husika walikofanyia usaili badala ya kuwalazimu...
  19. Inawezekana kubadili kituo cha kufanyia usaili kwenye hizi ajira za TRA?

    Mko salama wakuu? Nilikua nauliza, inawezekana kubadili kituo cha kufanyia usahili kwa hizi ajira za tra? Mfano nimepangiwa dar ila kwa sasa niko Mwanza.je inawezekana nikafanyia kituo kilichopo mwanza? Ni hatua gani za kufuata? Mwenye kujua anijuze tafadhali.
  20. Interview TRA 2025 (Walioitwa kwenye Usaili 29 na 30)

    Salaam!!!! Kwa wale walioomba nafasi mbalimbali zilizotolewa na TRA, Majina yametoka Kwa ajili ya Interview. List ya Majina ipo kwenye PDF hapo Chini. (Mb 11.4) Shukran. Pia unaweza pitia Uzi huu hapa Chini Kwa link ya Magroup ya kujisomea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…