Kuna watu walifanya interview za LGA & MDA kupitia Sekretarieti ya ajira Serikalini 17/12/2025 oral ila hadi leo majibu hayajatoka hata kwa mtu mmoja.
Tunachowaza ni kwamba walifeli wote au nini kinaendelea?
Anonymous
Thread
ajira
kupitia
sekretarieti
sekretarieti ya ajira
usaili
wote
Mimi nilienda kufanya usaili wa TA tarehe 14.03.2026 nilikuwa shortlisted kwenye mfumo na sifa ilikuwa ni Degree ya HRM sasa nilipo fika nilikuwa na cheti cha degree na transcript, cheti cha form four, cheti cha kuzaliwa, na kitambulisho.
Baadae akasema anataka na vyeti vya Ngazi ya chini...
Habari guys?
Ndugu zangu, kamanda wenu Keyboard Warrior nataka kuingia serikalini.
Sasa miezi kadhaa iliyopita nilifululiza sana kutuma maombi ya kazi AJIRA PORTAL, leo nimechungulia nimekuta nimeitwa kwenye usaili katika kada zaidi ya 3.
Matangazo ya kada zote wanasema usaili utafanyika kwa...
Kwenye soko la kutafuta ajira Vijana tunakumbana na mambo mengi sana, kuna wakati unatuma maombi ya kazi unaitwa kwenda kufanya Usaili ila unakutana na mazingira ambayo mwenyewe unajua kabisa hapa Hupai kazi au Nafasi ina wenyewe
Mfano, kuna Sehemu niliwahi kuitwa kwenye usaili, nafasi za kazi...
Kozi zinazotolewa CNMS hazina ajira moja kwa moja tofauti na kwenda kuwa Lecturer Chuoni.
Mfano ni Bsc. Physics na Bsc. Biology. Unakuta mtu umebobea kwenye masomo magumu ya Sayansi bila kuwa na Future inayoleleweka.
Serikali isiimize watu kusoma masomo ya Sayansi ikiwa wabobezi wa hayo...
Inaniuma sana unakuta una vigezo vyote lakini unakosa,alfu anakuja mtu anapata hiyo kazi na hana vigezo kisa ni kabila moja na HR .inauma sana hakika inakatisha tamaa
Hellw jf,kwa usaili wa online updates tunapata wap maan ni week moja sasa tokea waseme tutajulishwa kwny akaunt zetu na tovuti lakini ni bila bila,hamna kitu.
Habari zenu wakuu, nauliza kama kuna mtu yeyote aliyewahi kufanya usaili wa hiyo kada hapo juu anipe muongozo wa aina ya maswali aliyokutana nayo hapo nyuma - Nitashuru sana.
Habari ndugu wanajukwaa,
Tumeona orodha ya majina ya walioitwa kwenye usaili wa kwanza wa Tume ya Utumishi wa Mahakama (JSC) imetoka rasmi. Wengi wa ndugu zetu na marafiki wamebahatika kuchaguliwa.
Kwa wale mliowahi kufanya usaili huu mwaka 2024 — tunaomba mtushirikishe uzoefu wenu:
🔹 Maswali...
Habari wanabodi.
Mimi ni mmoja wa watu waliofanya saili wa kuhojiwa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma. Sina hakika kama nilifikisha maksi za kufaulu au la.
Nimekuwa nikitembelea ajira portal ,status bado ni ileile ya kuitwa kwenye usaili wa mahojiano(SIJUI KAMA HUWA INABADILIKA)...
Wakuu, kwa kada ya Maendeleo ya jamii (grade II) waliochaguliwa kwenda Oral itakayofanyika tarehe 10, watajuaje vituo vyao vya usaili? Maana Hadi Sasa hawajaweka na vituo vya oral tuliambiwa ni tofauti na vya written
Jeshi la Polisi Tanzania limewataka vijana waliochaguliwa kujiunga nalo kuripoti katika Shule ya Polisi Moshi kuanzia Juni 12 hadi 14, 2025 kwa ajili ya kuhudhuria mafunzo.
Vijana hao, ni wale waliofanya maombi na kufaulu katika usaili uliofanyika katika maeneo mbalimbali nchini.
Taarifa ya...
Habari zenu wakuu.
Ndugu yangu amezuiliwa kufanya oral interview kwa sababu ya utofauti wa majina. Majina kwenye vyeti vya taaluma na Nida yapo sawa. Jina lake katika cheti cha kuzaliwa lipo tofauti kidogo. Kaenda na Affidavit ya kukonfirm kua majina yote hayo ni yake.
Written interview...
Wakuu habari,
Dogo aliomba nafasi za tutor chuo cha sukari general agriculture sasa tumetwa oral na kwenye ajira portal inaonesha oral n kufanyie DODOMA kwenye ofisi za Sekratariat lakini tena Kuna tangazo linasema wasailiwa wa usaili wa mahojiano Wafanyie vituo walivyoainisha sasa sielewi...
AWA YA KUFAULU APTITUDE TEST IMEPATIKANA
Introduction to Psychological Traps in Aptitude Testing
Question perspective
Prepared by: Naaam (Meet Me)
Purpose: they use over 200 techniques in aptitude and psychological tests not only to assess what a candidate knows, but also to understand how...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.