urusi

Urusi was a civitas and ancient episcopal see of the Roman province of Africa Proconsularis in present-day Tunisia.
The town flourished from 30BC until 640AD and has been tentatively identified with ruins at Henchir Soudga, (9.57727n 35.98709e) in Siliana Governorate. The ruins lie just outside the Jebel Serj National Park.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwanini China na Urusi hazina uhuru mkubwa wa kuabudu?

    China na Urusi ni nchi zenye sheria kali za kudhibiti dini zote: 1. China Nchini China, kuna aina mbili za Makanisa ya Kikristo: (a)Makanisa yaliyosajiliwa rasmi na serikali: Haya yanasimamiwa na taasisi maalum za serikali: TSPM kwa makanisa ya Kipentekoste na Kiprotestanti na CPCA kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Trump aamuru manowari za nyuklia kuwekwa tayari baada ya maoni ya rais wa zamani wa Urusi.

    Rais wa Marekani Donald Trump anasema ameamuru manowari mbili za nyuklia "kuwekwa katika maeneo yanayofaa" kujibu matamshi "ya uchochezi" ya Rais wa zamani wa Urusi Dmitry Medvedev. Trump alisema alitenda hilo "ikiwa tu kauli hizi za kipumbavu na za uchochezi ni zaidi ya hayo. Maneno ni muhimu...
  3. JamiiForums Tanzania Trump aweka mguu usawa Nyambizi tayari kuishambulia Urusi ikiwa watamlazimisha

    Katika kile kinachoonesha ubabe wa Marekani. Na kauli za kibabe kujibiwa na aliyewahi kuwa Rais wa Urusi miaka ya nyuma. Trump ameziweka mguu sawa Nyambizi zake zenye nguvu ya Kinyuklia akisubiri tu Putin aseme kitu kuchangamke. Ndo unagundua kuna kitu Marekani wameona kwa Urusi.
  4. JamiiForums Tanzania Marekani Kupeleka Nyambizi Mbili Kukabiliana na Urusi

    Rais Donald Trump wa Marekani amesema kwamba ameamuru nyambizi mbili za nyuklia za nchi hiyo zipelekwe kwenye maeneo mawili ya kimkakati kufuatia matamshi aliyoyataja kuwa ya "kijinga na uchochezi" yaliyotolewa na Rais wa zamani wa Urusi, Dmitry Medvedev. Hivi karibuni Medvedev alitishia...
  5. JamiiForums Tanzania Trump aamuru nyambizi za nyuklia kuwekwa maeneo ya kimkakati kuikabilia Urusi

    Hii ni baada ya kurushiana maneno na Medved, Trump anasema maneno ya kijinga ya vitisho vya nuclear yaliyotolewa na Medvedev sio ya kuchukuliwa kwa wepesi.
  6. R

    JamiiForums Tanzania Serikali mpya ya Syria ni mpango wa Urusi?

    SIASASYRIA Putin ampokea Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria Bakari Ubena 01.08.20251 Agosti 2025 Rais wa Urusi Vladimir Putin amempokea kwa mazungumzo Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria Asaad al-Shibani na kumueleza dhamira ya Kremlin ya kuanzisha uhusiano na uongozi mpya wa nchi hiyo. Siku ya...
  7. JamiiForums Tanzania Elon Musk Aishabikia urusi katika ugomvi na Marekani.

    Bilonea namba moja duniani na raia wa marekani mzaliwa wa afrika elon musk ameonekana katika kuishabikia russia katika majibizano yanayoendelea huko mtandaoni kwake wa x zaman ukijulikana kama twitter.
  8. R

    JamiiForums Tanzania Video: Madaktari Wakiendelea na Upasuaji wakati wa Tetemeko Kubwa la ardhi Urusi

    Video ya kushangaza kutoka Petropavlovsk-Kamchatsky, Urusi, imeonyesha madaktari wakiendelea na upasuaji wa mgonjwa wakati tetemeko kubwa la ardhi lenye ukubwa wa 8.8 likitokea leo Julai 30, 2025 katika pwani ya mashariki mwa nchi hiyo Licha ya mtikisiko mkubwa uliosababisha tahadhari ya...
  9. JamiiForums Tanzania Vympel: Kikosi cha siri kinachotumiwa na Kremlin kuwaangamiza maadui wa Putin nje ya Urusi.

    Hiki ni kikosi cha siri ndani ya shirika la ujasusi la urfusi yaan FSB kinachoundwa na watu hatari zaidi zaidi duniani. naam wakuu hawa qatu ni hatari kuliko hatari yenyewe wanaua popote duniani na mda wowote. wanatumia sumu bunduki karate judo yaani kila njia ili tu kazi waliopewa ikamilike na...
  10. JamiiForums Tanzania Vladimir Putin asema Urusi ina kombora 'lisiloweza kuzuiwa' na Marekani

    Urusi inamiliki kombora ambalo haliwezi kutunguliwa na linaweza kufika pahala popote duniani, kwa mujibu wa Rais Vladimir Putin. Amesema kombora "halipai juu sana, ni vigumu sana kulitambua likipita, lina uwezo wa kubeba kichwa cha nyuklia na linaweza kufika popote pale. Aidha, njia linayofuata...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Tetemeko Kuu lapiga Mashariki mwa Urusi, Tahadhari ya Tsunami yatolewa Japan, Hawaii na Visiwa vya Pasifiki

    Mapema Julai 30, 2025, imeripotiwa tetemeko kubwa la ardhi lenye ukubwa wa 8.8 Magnitude lilikumba bahari ya Pasifiki karibu na pwani ya mashariki ya Urusi, likiathiri zaidi eneo la Kamchatka na Visiwa vya Kuril. Kwa mujibu wa wanasayansi wa Chuo cha Sayansi cha Urusi, hili ni tetemeko kubwa...
  12. JamiiForums Tanzania Trump alivyofeli kuitenga China kwa kuitumia Urusi

    Naam wakuu zile mbwembwe za Trump kujifanya na urafiki na Putin ilikuwa lengo lake kuu ni kuharibu uhusiano wa China na Russia. Trump alitaka kuitumia Russia kitenge china na kuhamia usuhuba wake America. Hii ni kutokana na Trump anaigopa nguvu ya kiuchumi inayokua kwa kasi ya china lakini...
  13. JamiiForums Tanzania Trump alivyogundua Putin hana 'uswahiba' inapofika maslahi ya Urusi

    Rais wa Marekani Donald Trump ameamua kuiuzia Ukraine silaha za kukabiliana na makombora ya Urusi pamoja na kushambulia pia vikosi vya Urusi. Vifaa hivi vitalipiwa na nchi za Ulaya. Haya ni mabadiliko makubwa katika msimamo wa Trump dhidi ya ushiriki wa Marekani katika vita vya Urusi na...
  14. JamiiForums Tanzania Trump ampa Putin siku 12 Urusi kuonyesha muelekeo wa kumaliza vita Ukraine la sivyo aishughulikie

  15. Z

    JamiiForums Tanzania Cuba na Urusi kuna nini, zama zilee za mwalimu, wasomi wetu walio enda kusoma nchi hizo walirudi wakiwa wamechanganyikiwa (data)

    Huo ndio ukweli, watu wa miaka ya zamani watakumbula kuwa, wasomi wetu walio somea Cuba au Urusi walikuwa wamechanganyikiwa! Kwa miaka ya hivi karibuni mtamkumbuka Dr. Shika sasa marehemu, ambaye pia alisomea huko Urusi alirudi akiwa amedata. Wapo wengi tunawajua wengime wametangulia mbele za...
  16. JamiiForums Tanzania Kumbe Ile Trump Kuambiwa Alishirikiana Na Urusi Kuingilia Uchaguzi Wa Mwaka 2016 Wa Marekani Ilikuwa Ni "Hoax" Iliyotengenezwa Na Obama

    Tulsi Gabbard's Revelations Confirm a Deep State Conspiracy Against Trump 🚨BREAKING NEWS FROM DNI Tulsi Gabbard: "Americans will finally learn the truth about how in 2016, intelligence was politicized and weaponized by the most powerful people in the Obama Administration to lay the groundwork...
  17. JamiiForums Tanzania China yaahidi kuendelea kuisaidia Urusi

    Rais wa China, Xi Jinping katika mkutano wake na Waziri wa Mambo ya Nje ya Urusi, Sergei Lavrov, mjini Tianjin, amesema nchi hizo mbili zinapaswa "kuimarisha uungaji mkono wa pande zote. Xi amesema China na Urusi zinatakiwa kufanya kazi pamoja kuziunganisha nchi za kusini mwa dunia na kukuza...
  18. JamiiForums Tanzania Trump aitishia Urusi kwa kutoza ushuru mkubwa kama hawatamaliza vita huku akiendelea na mpango wake wa kuwapa silaha wa Ukraine

    Wanaukumbi Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza kuwa Marekani itatuma "silaha za hali ya juu" kwa Ukraine kupitia nchi za Nato, huku pia akitishia Urusi kwa kutoza ushuru mkubwa ikiwa makubaliano ya kumaliza vita hayatafikiwa ndani ya siku 50. "Tunataka kuhakikisha Ukraine inaweza kufanya...
  19. JamiiForums Tanzania Trump aitaka Ukraine ipige ndani kabisa ya Urusi, ikibidi Moscow!

    Katika kile kinachoonekana kama kubadikisha muelekeo wa mtizamo wake kuhusu vita vya uvamizi vya Urusi nchini Ukraine, inaelezwa Donald Trump ameanza kuipa msukumo Ukraine kushambulia popote ndani ya Ukraine huku akihoji uwezo wa kushambulia Moscow kama watapewa silaha za masafa marefu. Sijui...
  20. JamiiForums Tanzania Urusi: Hatutishwi na blah blah za Trump na Magharibi

    Mkuu wa baraza la ulinzi la Urusi Dmitry Medvedev amesema Urusi haitishwi na kauli ya raisi wa Marekani Donald Trump kuhusu vikwazo zaidi kwa nchi hiyo endapo itagoma kusaini mkataba wa kusitisha vita huko Ukraine ndani ya siku 50 (49 sasa 😁) zijazo. Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa X...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…