urusi

Urusi was a civitas and ancient episcopal see of the Roman province of Africa Proconsularis in present-day Tunisia.
The town flourished from 30BC until 640AD and has been tentatively identified with ruins at Henchir Soudga, (9.57727n 35.98709e) in Siliana Governorate. The ruins lie just outside the Jebel Serj National Park.

View More On Wikipedia.org
  1. Umoja wa Ulaya: Afrika iungane na dunia yote kuipinga Urusi

    Umoja wa Ulaya (EU) umetoa tamko la kuendelea kulaani kitendo cha Urusi kuivamia Ukraine na kushawishi mataifa mbalimbali zikiwemo nchi za Afrika kuipinga Urusi kwa kitendo chake cha kuivamia Ukraine kijeshi. Tamko hilo limetolewa na baadhi ya mabalozi wa nchi za Ulaya waliopo nchini Tanzania...
  2. Waasi wa Belarus wajiunga kwenye mapambano dhidi ya Urusi

    Wasema imefikia wakati wa Belarus kujiokoa kutoka kwenye mikono ya Mrusi, waelekea Ukraine kufanya yao huko, na hii itasababisha vitaifa vyote ambavyo vimekua vikinyanyaswa na Urusi kujiunga pia kwenye haya mapambano. Huu ndio muda muafaka wa Mrusi kufumwa mkuki maana tayari kalegea na...
  3. Urusi: Mahakama yapiga marufuku Facebook na Instagram

    Mahakama mjini Moscow imepiga marufuku shughuli za Instagram na Facebook zinazoonesha "msimamo mkali" nchini Urusi, ripoti zinasema. "Tunalikubali ombi la upande wa mashtaka la kupiga marufuku shughuli za [Instagram na kampuni mama ya Facebook] ya Meta," Jaji Olga Solopova alisema, kwa mujibu...
  4. Kuuawa kwa majenerali wa Urusi na vita kuchukua muda mrefu ni ishara kuwa jeshi hilo halina uwezo unaosemwa

    Kwa mujibu wa taarifa za ndani ni kwamba Russia ilipanga kuwa imeiteka ikulu ya Kiev ndani ya siku mbili, wapachike vibaraka wao madarakani kisha warudi nyumbani. Lakini sasa hali imekuwa tofauti kama ambavyo ulimwengu umekuwa ukiitizama nguvu ya kijeshi ya Russia. Hadi sasa majenerali 5 wa...
  5. Mzozo wa Ukraine: Julius Malema ataka Waafrika kuungana na Urusi

    Huyu malema sasa amekiwasha kweli kweli na sijui itakuwaje, ila ki msingi ameyasema yaliyomo moyoni mwangu japo kuwa sifurahii kabisa masahibu wanayoyapata wa 'Ukraine' kwa ujuha wa rais wao!
  6. Wadukuzi (Hackers) wametengeneza njia ambayo kila mtu ataweza kuchangia kuipiga Urusi na Putin

    Wadukuzi wametengeneza njia ya kushambulia urusi kupitia internet ili kupunguza wimbi la usambazaji wa taarifa za uongo (propaganda) https://bit.ly/369vDDz Njia wanayotumia inaitwa DDOS Attack (Distributed Denial Of Service) Kiufupi ni kwamba user akifungua hio link atatumia kifaa chake kutuma...
  7. 5

    Ukraine yadai kuwaua wanajeshi 15,000 wa Urusi

    Maafisa wa kijeshi wa Ukraine wamedai kuwa takriban wanajeshi 15,000 wa Urusi wameuawa tangu Rais Vladimir Putin alipoanzisha uvamizi wake zaidi ya wiki tatu zilizopita. Katika sasisho lililotumwa kwenye ukurasa wa Facebook wa wafanyikazi wakuu wa Ukraine, maafisa walisema kuwa wanajeshi 14,700...
  8. Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

    Salaam Wakuu, Hii ni Special thread ya Video na Picha kutoka Uwanja wa Mapambano Ukraine kwa Wanajeshi Waliopo Msitari wa Mbele. Hii thread inawahusu timu Ukraine. Picha zinahusu mafanikio ya Ukraine. Mwanajeshi wa Ukriane akiwa na PG-7VM rockets Hiki ni kipigo cha kwanza walichokipata...
  9. Wanajeshi wa Urusi waingia ndani zaidi ya mji wa Mariupol

    Wanajeshi wa Urusi wamesonga ndani zaidi katika mji wa Mariupol ulioathirika zaidi na vita vinavyoendelea nchini Ukraine ambapo inaarifiwa kuwa mapigano makali yamepelekea kufungwa kwa kampuni moja kuu ya chuma cha pua huku serikali ya eneo hilo ikitoa wito wa msaada zaidi kutoka mataifa ya...
  10. Urusi yatumia kombora la kisasa la hypersonic, huko Ukraine

    Russia imetumia kombora la kisasa kabisa lisilozuilika la hypersonic, kuharibu ghala la silaha nchini Ukraine. USA NA NATO hawana mfumo wa kuweza kulizuia au kuliangusha kombora hilo, NATO wote tumbo joto, USA anajipendekeza kwa mchina ili amgeuke Russia, na Mchina kakomaa na swahiba wake...
  11. Biden amtaka Rais Xi wa China kutoisaidia Urusi

    Rais wa Marekani Joe Biden amemuonya mwenzake wa China Xi Jinping juu ya athari zitakazoikabili Beijing, endapo itatoa msaada wa vifaa kwa Urusi katika uvamizi wake nchini Ukraine. Biden ametoa onyo hilo wakati wa mazungumzo kwa njia ya video na rais Xi juu ya mzozo wa Ukraine. Msemaji wa...
  12. Marekani yaitaka Afrika kuonesha upande wanaosimama katika vita ya Urusi na Ukriane

    Takriban watu milioni tatu wamekimbia makazi yao kutokana na vita hivyo, kulingana na Umoja wa Mataifa Takriban watu milioni tatu wamekimbia makazi yao kutokana na vita hivyo, kulingana na Umoja wa Mataifa. Takriban watu milioni tatu wamekimbia makazi yao kutokana na vita hivyo, kulingana na...
  13. UN: Raia takriban 700 wameuawa Ukraine tangu Urusi avamie

    Umoja wa Mataifa umedai kuwa zaidi ya raia 700 wakiwemo watoto 52 wameuawa nchini Ukraine tangu Urusi ilipoivamia jirani yake wiki tatu zilizopita, lakini idadi hiyo huenda ikawa kubwa zaidi. Mkuu wa masuala ya kisiasa wa Umoja wa Mataifa Rosemary DiCarlo amelieleza Baraza la Usalama la Umoja...
  14. Kama Putin aliivamia Ukraine kwakuwa ilikuwa tishio kwa usalama wa URUSI. Je, Poland haitavamiwa pia kwa usalama wa Urusi?

    Marekani na NATO kumpeleka vifaa na mitambo ya kivita Poland haitapelekea baadaye Urusi kuivamia Poland? Kama Mrusi ameweza kuizingira Ukraine na kilichobaki ni majeshi kunyoosha mikono tu kisha atangaze wananchi wakimbizi warudi nyumbani maisha yaendelee. Hatua itakayofuata ni kuivamia Poland...
  15. Ifahamu USSR (Urusi) iliyokuwa dola-himaya na miliki kuu ya saba ya dunia

    USSR(URUSI) ILIYOKUWA DOLA-HIMAYA NA MILIKI KUU YA SABA YA DUNIA (THE 7th WORLD SUPER-SUPREMACY EMPIRE) KATIKA ULIMWENGU WA KISOSHOLIST (WORLD OF SOCIALISM). Na, Comred Mbwana Allyamtu. URUSI ni moja kati ya nchi zenye historia kubwa saana ya kufurahisha.Kwanza urusi zamani iliitwa Russian...
  16. Putin asema operesheni ya Urusi nchini Ukraine imefanikiwa

    Rais wa Urusi, Vladmir Putin amesema kuwa operesheni yake ya kijeshi nchini Ukraine imefanikiwa na kuwa hatoiruhusu nchi hiyo kutumika kama uwanja wa kuitishia Urusi. Akizungumza katika mkutano wa serikali uliorushwa moja kwa moja kwenye televisheni, Putin amesema operesheni yake inaendelea...
  17. Tanzania tutumie gesi yetu kukwepa vikwazo vya Urusi na Ukraine

    Athari za vita ya Urusi na Ukraine haitatukosa na inaweza kudumu kwa muda mrefu sana. Tanzania tumejaliwa kuwa na gesi asilia inayoweza kutumika kwenye magari, machine, na kutoa nishati ya umeme. Sio juhudi wala mikakati ya gesi yetu hii kutumika kushusha presha ya madhara ya vita hivi...
  18. Ukraine yasema NATO ni dhaifu hawatajiunga nayo

    Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky amesema NATO hawajawahi kuwa dhaifu kama walivyo sasa, ambapo nchi yake imepigwa kwa siku 20 na hawajachukua hatua. Amelaumu kwa kutaja Ibara ya 15 ya NATO ambayo inasema nchi moja ya NATO ikiguswa nchi zote zimeguswa. Lakini kwa sasa suala hilo ni tofauti...
  19. M

    Mgogoro wa Urusi na Ukraine: Nchi za magharibi zaumbuka. Zilitaka kupeleka silaha Ukraine zikidai ni misaada ya kibinadamu

    Wafanyakazi wa viwanja vya ndege wamegoma kupakia shehena ya silaha Toka Nchi za magharibi, huku zikiwa zimeandikwa kuwa ni shehena ya madawa na vyakula Kama misaada ya kibinadamu! Nchi za magharibi ni washenzi! Wanashangilia vita kwa kuwa kwao ni soko la silaha na fursa ya kufanya majaribio ya...
  20. Naendelea kuunga mkono Urusi; Hoja zangu hazijajibiwa

    Nakili wazi bado sijapata majibu ya hoja zangu tatu za kwanini naunga mkono Urusi kuchukua hatua za Kijeshi Ukraine. Hoja zangu hazijajibiwa, wanaojaribu kujibu wanajibu kwa hisiasa zao bila kugusa hoja za msingi nilizozijenga wakati naweka msimamo wangu kwamba naunga mkono Urusi katika mgogoro...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…