urusi

Urusi was a civitas and ancient episcopal see of the Roman province of Africa Proconsularis in present-day Tunisia.
The town flourished from 30BC until 640AD and has been tentatively identified with ruins at Henchir Soudga, (9.57727n 35.98709e) in Siliana Governorate. The ruins lie just outside the Jebel Serj National Park.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania BBC: Urusi haitaruhusu tena meli za chakula kutoka Ukraine

    Inasemekana meli za chakula hazipeleki kunako stahili bali huchepuka na kupeleka chakula hicho kwenye nchi za Ulaya. Sasa kawabania gas na tena anawabania chakula hasa ngano.
  2. JamiiForums Tanzania Natabiri Urusi atatembeza kichapo cha haja leo usiku hapo Ukraine

    Urusi uzuri wake husubiri achokozwe na ndipo hujibu.... Baada ya kuchokozwa na kushambuliwa meli zake kule baharini natabiri pale Kiev leo hakutalalika na tutarajie kichapo cha haja.
  3. JamiiForums Tanzania Meli za kivita za Urusi zapokea kipigo cha drones kule Black sea

    Wakati Warusi wanatumia drones za msaada wa Iran kupiga bembea za watoto wa Ukraine, ila Ukraine wanatumia drones kupiga vifaa vya kijeshi, tayari wamelipua meli moja ya kijeshi na zingine zimepokea mapigo balaa ===================== Russia has accused Ukraine of carrying out a "massive" drone...
  4. JamiiForums Tanzania Urusi yaomba magharibi ibembeleze Ukraine isitumie mabomu hatari

    Urusi inadai imepata intelijensia kwamba Ukraine wanafanya maandalizi ya kutumia 'dirty bombs', aina mabomu hatari ambayo yanaweza kufanya maangamizi makubwa na maafa. Juzi hapa hawa hawa Urusi walitishia kwamba wapo radhi kutumia nyuklia kulinda maeneo ambayo walijimegea kutoka kwa Ukraine, leo...
  5. JamiiForums Tanzania China: Tutaiunga mkono Urusi katika 'kushinda matatizo'

    China imeahidi kuiunga mkono Urusi inapokabiliana na nguvu ya pamoja ya nchi za Magharibi, Waziri wa Mambo ya Nje Wang Yi aliripotiwa kumwambia mwenzake wa Urusi Sergey Lavrov wakati wa mazungumzo ya simu siku ya Alhamisi, ambapo maafisa hao wawili waliapa kuunga mkono juhudi zao za kijiografia...
  6. JamiiForums Tanzania Urusi: Makabila madogo yaongoza kwa kuwa na vifo vingi katika vita ya Ukraine

    Imeabainishwa kuwa minorities (makabila madogo) ndio wamekuwa wakifa zaidi hii inaashiria kuwa makabila hayo ndio walioorodheshwa kwa wingi. Hii inaashiria pia kuwa huenda Putin analenga kupunguza idadi yao kwa kuwa wengi wamepelekwa vitani bila kuwa na uzoefu. Mfano: Moscow [yenye watu...
  7. JamiiForums Tanzania Bei ya makaa ya mawe duniani imefika USD 270 kutoka USD 50 kwa tani sababu ya vita vya Ukraine na Urusi, ulaya wanahitaji nishati

    Bei ya makaa ya mawe duniani imefika USD 270USD kutoka USD 50 kwa tani sababu ya vita vya Ukraine na Urusi, ulaya wanahitaji nishati. Tanzania ina akiba ya tani Millioni 290 ardhini, kwa hesabu zaharakaharaka hiyo ni Trillioni 184. Vituo vya afya na lami kila kona; VIONGOZI WANGU...
  8. JamiiForums Tanzania Urusi yafungua shauri UN kuhusu maabara za Silaha za Kibaiolojia huko Ukrainia

    Urusi imelitaka baraka la usalama la umoja wa mataifa kutumia “article VI” kuunda tume ya kuchunguza uwepo wa maabara za Silaha za kibaiolojia nchini Ukrainia zinazofadhiliwa na Marekani. Moscow urges UN probe into Ukrainian biolabs Russia has filed an official complaint over US-backed...
  9. JamiiForums Tanzania Rasmi: Superpower Urusi kuanza Mazoezi ya Silaha za Nyuklia

    Urusi imeitaarifu US kuwa wanatarajia kuanza mazoezi ya Nyuklia ya mwaka. Hili linakuja kipindi hiki ambacho NATO nao wanafanya Nuclear Drills huko ULAYA. Hajaitaarifu nchi yeyote zaidi ya USA . It seems kuwa hawa tu ndo wa wanaheshimiana na kuogopana, wengine wote Mbuzi. Hii vita ni Washington...
  10. JamiiForums Tanzania Nishati ya Urusi kwenda China yavunja rekodi ya kiwango tangu Februari-Septemba

    Mauzo ya Nishati hasa gesi kutoka Urusi ya vikwazo kwenda China yamevunja rekodi ya kiwango kikubwa. Kocha ya mashinikizo toka Magharibi bado na taifa makubwa ya mashariki na mengineyo duniani yameendelea kupiga kazi na Msovieti mkuu. Winter is coming! Overall exports have surged to over $50...
  11. JamiiForums Tanzania Ndani ya wiki moja, ndege nyingine ya kivita yaanguka Urusi na kuua, hivi zina nini?

    Mindege ya kivita inajiangukia yenyewe sijui inatunguliwa au marubani wamejichokea au wanetu wa Ukraine waliopo Urusi wanafanya yao.... A Russian warplane slammed into a residential building in the Siberian city of Irkutsk on Sunday, killing both crewmembers, authorities said. It was the second...
  12. JamiiForums Tanzania Urusi yaendelea kuondoa maafisa wa kijeshi Kherson na kuacha makapuku wanywa gongo wajifie

    Ili kuepuka kupoteza maafisa wa kijeshi kwa moto unaokuja wa wazalendo wa Ukraine, imeamua kuwaondoa na kuacha wanywa gongo waliosaili juzi wajifie ili watumike kuchelewesha mapigo ya Ukraine...... Russian military officers have withdrawn from Kherson as Moscow prepares for a Ukrainian...
  13. JamiiForums Tanzania Mambo yanayoiaibisha Marekani kwenye vita vya Ukraine na Urusi

    Kwanza ni nia ya Maarekani kupunguza uzalishaji wa hewa chafu ya Carbondioxide. Ili kuwezesha azma hiyo ni lazima Marekani iongeze uzalishaji wa nguvu za nyuklia kwa matumizi ya viwanda vyake. Kazi hiyo huwa ni ngumu kwani kampuni inayouza mafuta ya kutengenezea nguvu za nyuklia kwa matumizi...
  14. JamiiForums Tanzania Mnaoishabikia Urusi muwe mnapata aibu kila mkitazama hii picha

    Wakati Urusi inaanza kuparamia Ukraine, ilikua na kila uwezo wa kuteka Ukraine yote kwa siku tano, huu ndio mfano mzuri wa kubwa jinga... Maustadh mnalo...
  15. JamiiForums Tanzania Wanaume wa Urusi wanavaa mavazi ya wanawake na kukimbia nchi

    Wengi wanaona bora aibu kuliko kwenda kufa. ======== When Moscow announced its military mobilization drive on September 21, Liliya Vezhevatova almost stopped sleeping. She was asked by several friends and acquaintances to help men to leave Russia. Vezhevatova herself lives in the Armenian...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Mataifa takriban 30 ya NATO yanakwama wapi kummaliza Urusi? Wanabaki kulialia tu eti drones za Iran!

    Ukweli ni kwamba mataifa lukuki kwenye umoja wa NATO ambao wanaisaidia Ukraine kwa hali na mali wameshindwa vibaya! Kwanza waliweka vikwazo kwa maelfu na walitarajia Urusi itakwama fasta!! Maana walidhani vikwazo vyao ni sawa na kumfunga mikono wakati yuko vitani! Kinyume chake vikwazo...
  17. JamiiForums Tanzania Msaada wa Iran kwa Urusi kumponza, Ulaya waanza kujadili cha kufanya

    Uzalendo ulishinda Iran ikaamua kutoa msaada kwa Urusi ambayo inachezea kichapo, ila sasa huo msaada utaiponza Iran maana EU waanza kujadili watakachoifanyia Iran, ikiwemo vikwazo kwa makampuni ya Iran na mambo mengine. Iran wamejaribu kujitetea sana na kukana kutoa msaada wowote ila ndio basi...
  18. JamiiForums Tanzania Kamanda wa kikosi cha Urusi nchini Ukraine asema hali ni tete katika jiji la Kherson

    Kwa kichapo ambacho Warusi wamekua wakipokea, tumeshuhudia hadi timu humu JF walikua wameufyata kwa aibu, ila baada ya huyu jenerali kuteuliwa kuongoza mashambulizi, ghafla nimeona muamko mpya kote. Watu wanamsifia kwamba huwa hana huruma, ana sifa za kuua watoto na wananchi wa kawaida kule...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Dunia inaenda kuungana dhidi ya Urusi

    Urusi imeamua kuwa Taifa la kigaidi na kila mtu mwenye akili amesha juwa nia ovu ya Urusi dhidi ya Ukraine na Dunia yote kwa ujumla. Ujinga anao ufanya Putin ndio ujinga aliufanya Stalin na Hitler na kile Kili wakuta imebaki historia. Baada ya Vita ya pili ya dunia. Mataifa ya Magharibi...
  20. JamiiForums Tanzania Iran yakanusha kupeleka drones zake Urusi, hivi wanaogopa nini?

    Iran yasema haifungamani na upande wowote na yakana drones zake hazijatumwa Urusi....swali la msingi wanaogopa nini, ukitoa msaada kwa supapawa Urusi jiandae kwa kitakachokupata, ni dhahiri drones za Iran zinatumika kuua wananchi wa Ukraine, zinapiga bembea za watoto. ========== Iran has once...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…