urusi

Urusi was a civitas and ancient episcopal see of the Roman province of Africa Proconsularis in present-day Tunisia.
The town flourished from 30BC until 640AD and has been tentatively identified with ruins at Henchir Soudga, (9.57727n 35.98709e) in Siliana Governorate. The ruins lie just outside the Jebel Serj National Park.

View More On Wikipedia.org
  1. Urusi kujaribu silaha mpya za nyuklia muda wowote Marekani akifanya hivyo

    Rais wa Urusi Vladimir Putin amekuwa akilihutubia Bunge la la nchi hiyo. Ametumia mwanzo wa hotuba yake kurudia nadharia ambazo amekuwa akitumia mwaka mzima uliopita: anadai kuwa ni Washington ambayo "ilianzisha vita" na mapema mwaka 2022 iliitaka Ukraine kushambulia Crimea na Sevastopol...
  2. Urusi walalamika kwamba USA inachochea Ukraine kushambulia Crimea

    Hivi vita vinachekesha, yaani unavamia nchi ya watu halafu unalalamika kwamba usipigwe kwenye baadhi ya maeneo ya hiyo hiyo nchi ya watu.... ================= MOSCOW, Feb 17 (Reuters) - Russia on Friday accused the United States of inciting Ukraine to escalate the war by condoning attacks on...
  3. Ikulu ya Marekani yadai Wapiganaji 30,000 wa Wagner Group wameuawa vitani Ukraine

    Msemaji wa Ikulu ya #WhiteHouse John Kirby, amesema kundi hilo limepoteza Wapiganaji wake zaidi ya 9000 ndani ya wiki 1 huku likiendelea kuajiri wafungwa zaidi kutoka Magereza ya #Urusi wengi wao wakiwa hawana uzoefu na mafunzo ya Kivita. Jeshi la #Ukraine limesema Wapiganaji wa Wagner ambao...
  4. Ukitaka kujua nguvu na ushawishi wa Urusi waangalie Wagner Group

    Russia kwà maana ya Urusi ni dude kubwa duniani very powerful and influencial tunadanganywa sana na western media kwà kuidogosha Urusi. Hebu waangalie Wagner. Wanatoa kichapo Ukraine wanatoa kichapo afrika magharibi wanatoa kichapo Kongo DRC. Huo ni mkono wa kushoto wa Putin kwà maana ya urusi...
  5. Urusi: Hatarini kufungwa miaka 10 jela kwa kuposti kuhusu vita Instagram

    Olesya Krivtsova (20) yupo kwenye uangalizi maalum akituhumiwa kuhusika kwa ugaidi baada ya kuweka maudhui katika ukurasa wake wa Instagram akiikosoa Serikali ya Urusi kwenye vita dhidi ya Ukraine. Amefungwa kifaa mwilini ambacho kinaonesha mwelekeo wake popote alipo akifuatiliwa na Polisi...
  6. Inakuwaje kamanda mkuu wa kijeshi Urusi anakuwa chini ya Wagner Group, kikundi kidogo cha kukodi?

    Wakuu habari za muda, Nimeshangazwa sana kuona sasa kamanda mkuu wa majeshi ya Urusi sasa anapokea amri kutoka kwa kamanda wa kikundi kidogo cha Wagner Group amacho sio jeshi rasmi ni kikundi maalum cha kukodi baada ya makamanda wengi wa Urusi kufeli na kuuliwa kwenye makabiliano ya vita kule...
  7. NATO wasema wanafukuzana na wakati kuiwahi Urusi

    Kauli za mataifa yanayounda umoja wa NATO kwa sasa zinatia huruma.Unaweza ukaona hilo katika matamshi ya kiongozi wa umoja huo General Jens Stoltenberg aliposema mataifa hayo yanakimbia na wakati ili kuiwahi Urusi kabla haijakazia katika mashambulio yao makubwa dhidi ya mwenzao Ukraine...
  8. Urusi yaikalia Ufaransa kooni Afrika Magharibi

    Ufaransa kama ilivyo huruka ya nchi za kimagharibi alikuwa anajiona ndo Mungu na mmiliki wa nchi za Africa magharibi. Alikuwa ndo kila kitu ndani ya nchi hizo lakini sasa mambo yana muendea kombo ndani ya nchi hizo, hasa tangu Urusi ijiingize kwenye eneo hilo imevuruga kabisa ushawishi wa...
  9. Kufuatia hali ilivyo URUSI kupunguza uzalishaji wa mafuta tujiandae kisaikolojia

    Urusi imesema itapunguza uzalishaji wa mafuta ghafi kwa kiwango cha asilimia tano kuanzia mwezi ujao ikiwa ni kukabliana na hatua ya mataifa ya magharibi ya kuweka ukomo wa bei. Naibu Waziri Mkuu wa Urusi, Alexander Novak amesema Urusi itapunguza uzalishaji wa mafuta ghafi kwa kiwango cha...
  10. Mpaka sasa Urusi imepoteza majenerali zaidi ya 20, hii haijawahi kutokea

    Kando na kupoteza wanajeshi 135,000 Urusi pia imepoteza majenerali zaidi ya 20, supapawa ameingia aibu hadi basi tu na yupo bado anapambana kuteka kamji ka chumvi hukooooo. ======= More than 20 Russian generals have already been killed in Russia’s war against Ukraine, Japanese newspaper Nikkei...
  11. Urusi yaanza chokochoko na Moldova, haijapata funzo la kipigo pale Ukraine

    Urusi imepokea kipigo kikali pale Ukraine na kupoteza wanajeshi zaidi ya 130,000 hadi imeanza kukusanya mateja mtaani na wafungwa kuipigania, licha ya yote hiyo imeanza kuchokoza kataifa kengine ambako kako nje ya NATO... Russian Foreign Minister Sergei Lavrov has suggested that Moldova is the...
  12. G7 na EU wapiga pini bei ya diseli ya Urusi

    Wabana pua na mdomo wa Urusi, ikumbukwe tarari walishatia pini kwenye bei ya mafuta ghafi ya Urusi.... Mrusi mpaka aite maji ma... The price cap on diesel follows on from a price cap on Russian crude oil. The measures are intended to make Russia's invasion of Ukraine unviable. The Group of...
  13. Hela ya Urusi iliyotaifishwa kutumika Ukraine, hivi Putin hadi aguswe wapi ndio afanye kweli

    Marekani yaamuru hela yote ya Urusi iliyotaifishwa ipewe Ukraine.... supapawa afanye akitakacho, keshaguswa mpaka kule kule... =================== Attorney General Merrick Garland said Friday that he had authorized the United States to begin using seized Russian money to aid Ukraine, according...
  14. Mpaka sasa wanajeshi wa Urusi wameuawa 127,000 hiyo ni mara nne ya JWTZ

    Kwa minajili ya Wikipedia, active personell wa JWTZ ni 28,000 sasa ukizingatia wanajeshi wa Urusi wameuawa 127,000 hiyo ni mara nne ya JWTZ, au kama vipi hapo ina maana wamefyekwa idadi ya ukijumlisha KDF, JWTZ, UDF, RDF n.k. Jameni licha la hasara yote hiyo, Urusi wameambulia kugombania kamji...
  15. Urusi na maaskari wa Afrika: I smell a rat!

    Urusi iko desperate kwenye hii vita ya Ukraine. Kwa ukubwa wa Urusi na capabilities zake hii vita ilitakiwa iwe imekwisha kitambo. Putin hana huruma hata kwa raia zake wenyewe. Vijana wanalazimishwa kuwa askari na kupelekwa kinguvu front-line Ukraine, huko wananyimwa mawasiliano na ndugu zao na...
  16. J

    CUF wameionya Urusi ikome kuwatumia Watanzania kwenye Vikosi vyake Vitani

    Baraza Kuu la Chama cha Wananchi CUF limeitaka Urusi kukoma mara Moja kuwatumia Watanzania kwenye Vikosi vyake Vitani CUF wamesema jambo hilo halikubaliki kabisa Chanzo: Mwanzo tv
  17. Urusi yaanza kulialia kuhusu vifaru anavyopewa Ukraine

    Yalalamika vikali kwanini Ukraine inapewa madubwana ya kuipiga Urusi. ========= Russia said on Thursday it saw the promised delivery of Western tanks to Ukraine as evidence of direct and growing U.S. and European involvement in the conflict. The Kremlin was reacting for the first time to...
  18. Urusi kushtakiwa kwa kulipua ndege ya abiria ya Malaysia na kuua abiria 298 mwaka wa 2014

    Mdhulumaji Mrusi anasakamwa kote kote.... ===== The European Court of Human Rights has ruled that complaints against Russia from Ukraine and the Netherlands should go to trial. They pertain to the 2014 downing of commercial airline Flight MH17, among other things. The European Court of Human...
  19. Bangladesh yapiga pini meli za Urusi; Urusi inaendelea kutengwa na dunia

    Urusi walijaribu kuingiza meli ya mizigo Bangladeshi ikazuiwa, kwa kweli hadi huruma, Putin kiburi chake kinaiponza nchi. Tatizo Warusi watu wa ujamaa, wamezoea kupelekeshwa kama kondoo, hawana namna ya kumkatalia...atawatesa sana. ============= Jan. 22 -- Foreign Minister Dr AK Abdul Momen...
  20. Uingereza yaonya mpango wa Wadukuzi wa Iran na Urusi kuwadukua Waandishi wa Habari, Wanasiasa

    Kituo cha Mtandao cha Kitaifa cha Uingereza (NCSC) kimetoa angalizo kwa watu wa tasnia hizo kufanyiwa udukuzi wa kijasusi kwa lengo la kukusanya taarifa mbalimbali Imeelezwa wadukuaji wanawalenga watu ambao wanafanya utafiti na wanafanyia kazi kwa ukaribu na Mataifa ya Iran na Russia. NCSC...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…