Siwezi kutoa maoni, kwa sababu hili ni jambo tu ambalo wananchi watalijadili kuanzia kesho asubuhi.
Kwa hiyo hainihusu mimi kutoa maoni.
Flyover zimejengwa,barabara zimejengwa,shule zimejengwa. Sawa,lakini lakini sasa lazima human rights record ya huyu Rais na serikali yake hii.
Na unapoelekea...
Samia ndio rais aliyepo madarakani, katiba ya CCM na utamaduni wake inamruhusu kugombea urais, ni mwenyekiti wa CCM, huu woga uliopitiliza wa kuwania urais 2025 unaletwa na nini mpaka aamue kucheza 'faulo kubwa ya kisiasa ndani ya eneo la hatari karibu na goli' unaletwa na nini haswaa?
Kuna...
Wanabodi, hili nimekutana nalo mahali kwamba kuna uwezekano Samia Suluhu Hassan akajiondoa kugombea Urais 2025. Hapa ndipo ninajiuliza ikitokea hivyo ninyi wana CCM mnaye mgombea wa akiba? Ni nani na anastahili kwa kiwango gani?
Hakuna wakati ambapo uchaguzi wa Tanzania ungekuwa mwepesi sana kwa wapinzani kama uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2025. Ni wachache mno wanaoridhishwa na serikali hii ya awamu ya sita, kati ya hao ni wateuliwa, baadhi ya wanachama wa CCM wenye maslahi (asilimia kubwa ndani ya chama hawamkubali...
Wakuu,
Kuna kituko cha kufungia mwaka huku :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh:
Pia soma: LIVE - Kuelekea 2025 - Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Watu wenye uhitaji Maalumu leo wamejitokeza katika viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam leo kwa...
1. Mkataba wa DP World.
2. Kuhamisha wamasai wa Ngorongoro.
3. Utekaji na mauaji.
4. Kukandamiza demokrasia ndani na nje ya chama.
5. Migawanyiko ndani ya ccm. Hivi sasa ccm siyo moja tena.
Uadui na uhasama unaoendelea ndani ya CHADEMA hasa miongoni mwa viongozi waandamizi wa chama hicho, ni hatari kwa afya na uhai wa wanaopigana vita ya maneno na chama chenyewe kwa ujumla.
Ukiwafuatilia vizuri, utangundua ni kama wanaviziana na kutegeana tu kwamba who is to break the line first...
Mwinyi utendaji wake ni mzuri na hana makelele. Anafanya mambo yake kimya kimya na yanaonekana. Ndo nimeelewa kwa nini Magufuli alimtaka Ali Mwinyi.
Mwinyi anafaa kuwa Rais wa Tanzania Bara kwa kipindi hiki. Samia nadhani aende Zanzibar au sasa apumzike. Mwinyi hata Elimu anayo vizuri. Pia...
Hii ni fact kutokana na uzoefu wa mahali pengi duniani na hata ccm kwenyewe huwa rais anapotumikia muhula wake wa mwisho ni kipindi kigumu sana kiuongozi.
Kuna kuwa na mambo mengi sana yamemchosha hivyo hata yeye mwenyewe huona amalize tu ngwe yake akapumzike awaachie wengine waendelee...
Katika mazingira ambayo kila chombo cha serikali kikisapoti chama cha Mapinduzi katika Jamuhuri ya muungano wa Tanzania. 2025 itakuwa na mshangazo mkubwa sana katika taifa la Tanzania, kwani ndio mwaka ambao serikali chini ya CCM itaweza kuachia madaraka kwa kushindwa kwenye uchaguzi mkuu.
Sio...
Ndugu zangu Watanzania,
Napenda kuwaelezeni na kuwapeni Elimu ndogo tu ya kuwa kwa utamaduni wetu CCM na wana CCM.ni kuwa hapo Mwakani hakutakuwa na Mwana CCM atakaye chukua fomu ya kugombea Urais .wala hakutakuwa na mtu yeyote yule mwanachama wa CCM atakaye tia nia wala kuonyesha kutia nia...
Sasa ni rasmi, Dk Slaa bado ni kada wa CHADEMA, kadi yake iko hai na kailipia kwa miaka 20.
Dk akitia jina, Lissu atakumbana na upinzani mkubwa kupata tiketi ya chadema kugombea urais mwaka 2025
Soma Pia: Tundu Lissu arejea nchini, asema atagombea urais 2025 kuitikia wito wa Watanzania
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba huko ccm maji yamekorogeka, Tayari Wagombea wa Urais 2025 wameanza kujitokeza.
Habari zaidi zinadokeza kwamba Uwashike Wazee au usiwashike hakutakuwa na Mswalie Mtume
Rais wa sasa wa Shirikisho la soka Afrika (CAF), Patrice Motsepe ametangaza kuwania tena kiti hicho katika uchaguzi utakao fanyika Machi 2025.
kufuatia maombi kutoka kwa wanachama wa CAF, marais wa vyama vya kanda na washikadau Hatimaye Rais wa CAF DR Motsepe, amekubali kuwa mgombea katika...
Katiba ya CCM inaruhusu ubakwaji huu wa demokrasia ndani ya chama?
Kama Samia anaupiga na kuutwanga mwingi, anaogopa nini kushindana na wanachama wenzake?
Kiongozi wa Chama Mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema hana mpango wa Kugombea Urais katika Uchaguzi Mkuu wa 2025 bali anadhani kuna haja ya kwenda kuimarisha Bunge.
Akizungumza kupitia Crown FM, Zitto amesema "Kama unavyofahamu Uchaguzi uliopita wengi tunaamini haukuwa Uchaguzi na...
Unadhani falsafa hii inamaanisha nini?
Mathalani,
inasemekana wafia chama wa CUF wanapambana kuhakikisha mgombea Urasi wake anakua ni Profesa pekee, na anapata nafasi hiyo bila changamoto kwa heshima ya utumishi wake uliyotukuka kwa chama kwa muda mrefu.
lengo lao ni kuepusha gharama kubwa...
Chama Kikuu cha upinzani, Democratic Progress kimemudhinisha Rais wa zamani, Peter Mutharika kuwa Mgombea wake katika Uchaguzi wa Septemba 2025
======
Malawi's main opposition party, the Democratic Progress Party endorsed on Sunday former President Peter Mutharika to be its candidate in next...
Kigezo kimojawapo cha kugombea urais Tanzania ni mgombea kuwa na angalau kiwango cha elimu cha degree moja, pia huwa kuna rumours mtaana kwamba Freeman Mbowe aliishia kidato cha sita tu, sasa kama ni kweli Mbowe aliwezaje kupitishwa na tume ya uchaguzi kugombea Urais mwaka 2005??
Wanasiasa...
Ishu kubwa jamaa anaonekana kwenye jamii kama mtu mwenye uchungu na rasilimali za umma.
Ndo maana hata raia wa kawaida wanamtakia awe kiongozi wao. Hata 2025 atashinda urais ikiwa hakutakuwa na wizi wa kura.
Dp world ilishamchafua Rais Samia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.