Maafisa wa Kurugenzi ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) wamewakamata washukiwa watatu, akiwemo raia wa Tanzania, kuhusiana na jaribio la kuwasafirisha wasichana wawili wenye umri wa miaka 13 na 14 kwenda Tanzania.
Wasichana hao, ambao walikuwa wametoweka katika maeneo yao ya makazi katika...