uponyaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Parabolic

    Dk Bagile: Majadiliano ni msingi wa uponyaji na mustakabali wa Taifa

    Geneva, Uswisi. Mkurugenzi Mtendaji wa Asasi ya Women in Social Entrepreneurship, Dkt. Astronaut Bagile, ametoa wito kwa Serikali, wadau wa maendeleo, asasi za kiraia na wananchi kwa ujumla kuimarisha majadiliano ya kitaifa na mshikamano wa kijamii ili kuponya majeraha ya kitaifa na kujenga...
  2. BigTall

    PostGE2025 Je, "Matumizi ya Propaganda za Udini" yanaleta uponyaji au yanapanua mpasuko kwenye kidonda?

    Ni kweli kwamba propaganda haziepukiki katika jamii yoyote yenye mijadala, misuguano ya kiitikadi, au mazingira ya kisiasa yaliyochangamka. Hata hivyo, changamoto kubwa si uwepo wake, bali namna zinavyoratibiwa, kusimamiwa na kupimwa kabla ya kutumiwa kama nyenzo ya mawasiliano. Bila uchambuzi...
  3. J

    Uponyaji wa Moyo Uliojeruhiwa

    sikiliza Jesus News Radio Jesus News Radio Kila mwanadamu hupitia nyakati za maumivu ya moyo, iwe ni kutokana na kukataliwa, kusalitiwa, kufiwa, au kukosa kutendewa haki. Moyo uliojeruhiwa huathiri siyo tu hisia bali hata afya ya mwili, mahusiano, na mtazamo wa maisha kwa ujumla. Hata hivyo...
  4. Marco Seth

    Njia Ya Kuponywa ambayo watu wachache wanaiamini na wameona matokeo yake

    Tumezoea Kuona watu wanaumwa Na kutegemea Dawa sana Na wengine wanaenda kwa waganga kumbe wanaongeza matatizo Kwa Nguvu za Mungu hakuna lisilowezekana -Imani Kuwa na Imani na unapo sali Na pia Omba toba usamehewe dhambi zako Math 9:22 Yesu akageuka, akamwona, akamwambia, Jipe moyo mkuu, binti...
  5. Marco Seth

    SIRI YA UPONYAJI (UGONJWA WOWOTE)

    Tumezoea Kuona watu wanaumwa Na kutegemea Dawa sana Na wengine wanaenda kwa waganga kumbe wanaongeza matatizo Kwa Nguvu za Mungu hakuna lisilowezekana -Imani Kuwa na Imani na unapo sali Na pia Omba toba usamehewe dhambi zako Math 9:22 Yesu akageuka, akamwona, akamwambia, Jipe moyo mkuu, binti...
  6. The redemeer

    Uponyaji kupitia kukumbatia mti au kutembea msituni

    Miti ni waponyaji. Unapokaa chini ya mti au kuukumbatia, unahisi nishati yake ya uponyaji. Ina nguvu ya asili inayotuliza akili na mwili. Katika nchi kama Japani, kuna tiba inayoitwa Forest Therapy (Shinrin-yoku) — yaani tiba ya kuwa msituni — ambayo hutumika kusaidia watu waliokumbwa na...
  7. L

    Pale uponyaji unapohitaji sindano tu, matibabu ya akyupancha ya China yaleta nafuu kwa wagonjwa wa Zanzibar

    Kwa Mtanzania Hassan Jumbe mwenye umri wa miaka 26, matatizo ya kukosa usingizi siku zote wakati usiku ilikuwa ni maumivu na mfadhaiko mkubwa kwake. Usiku mmoja baada ya mwingine, maumivu makali ya kichwa yasiyoisha yalimwandama mfanyakazi huyu mbichi wa ujenzi, na kumfanya ashindwe kupumzika...
  8. JOHNGERVAS

    Saa saba Usiku Muda wa Kuombea ndoa Uchumi na Uponyaji

    MAOMBI YA USIKU YA UPONYAJI, UCHUMI, NDOA, BIASHARA NA KAZI Ee Baba wa Mbinguni, Mungu wa Ibrahimu, Isaka na Yakobo, Ninakuja mbele zako usiku huu nikiwa na moyo wa unyenyekevu na shukrani. Wewe uliyeanza siku hii nami, nakushukuru kwa ulinzi wako, rehema zako na neema zako ambazo hazikomi. Ee...
  9. Meneja Wa Makampuni

    YESU ni jina la uzima, uponyaji, na ushindi juu ya giza

    JINA LA YESU LITUKUZWE WATOTO WA MUNGU! Watu wa Mungu walio okoka na ambao bado hawajaokoka! Leo ngoja tuzungumze juu ya Habari Njema ya Yesu Kristo, Mwana wa Mungu aliye hai! Leo natangaza habari za wokovu! Leo natangaza jina lipitalo majina yote jina la YESU KRISTO! JINA LA YESU LINA NGUVU...
  10. Setfree

    Je, unahitaji mafanikio, uzima, uponyaji, ulinzi na baraka? Fanya hivi

    Inawezekana umetumia pesa nyingi, nguvu zako, akili zako na uwezo wako wote ili uwe na uzima, upate uponyaji na baraka, lakini hujaona matokeo mazuri. Usikate tamaa. Mungu ameahidi kukufanyia hayo. Nakuonyesha hapa jinsi ya kufanya ili uone ahadi za Mungu zikitimia katika maisha yako. Kiri...
  11. J

    Watu wengine wanakufa kwa kuona aibu ya kwenda kanisani kuombewa uponyaji wa ugonjwa

    Watu wengine wanakufa kwa kuona aibu ya kwenda kanisani kuombewa uponyaji wa ugonjwa Uponyaji ni nini Uponyaji ni tendo la kiimani la kupokea uzima katika roho au mwili kwa njia ya kuombewa, kuwekewa mikono au kulisikia neno sahihi la Yesu Kristo. Tendo hili la kiimani humletea muumini uzima...
  12. Ponjoro wa Kinondoni

    Kama umewahi kufanya kazi Lodge na hujamalizia show (KUFANYA UPONYAJI) huenda huna bahati

    Kipindi nimemaliza kidato cha 6 nilikuwa nasimamia lodge ya ndugu yangu kipindi nasubiri kwenda chuo, sasa leo natoa siri kwa wanaume, ukienda lodge na demu wako kuanzia leo, hakikisha unaondoka naye. Iko hivi, kuna watu wanapiga show kizembe halafu akimaliza anavaa fasta anaondoka anaacha...
  13. J

    Aina za Uponyaji wa Kiroho

    Aina za Uponyaji wa Kiroho Uponyaji ni nini Uponyaji ni tendo la kiimani la kupokea uzima katika roho au mwili kwa njia ya kuombewa, kuwekewa mikono au kulisikia neno sahihi la Yesu Kristo. Tendo hili la kiimani humletea muumini uzima wa kiroho na afya ya kimwili pale ilipopunguka. Wengi...
  14. Magical power

    Nilitamani sana nione miujiza ya Mafuta ya upako na udongo wa upako miujiza ya uokoaji na uponyaji pale Kkoo.

    Nilitamani sana nione miujiza ya Mafuta ya upako na udongo wa upako miujiza ya uokoaji na uponyaji pale Kkoo. Kadhalika na wale masharifu feki na wazee wanaodai wanamvuta mpenzi alioko mbali wakawavute na ndugu zetu kutoka katika janga lililowakuta.
Back
Top Bottom