upinzani

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kilichofanya Magufuli apendwe mwanzoni wa utawala wake ni kupambana na utendaji mbovu wa serikali, na kilichomdidimiza ni kupambana na vyama upinzani

    Watanzania wengi pale walipomuuona anapambana na utendaji mbovu wa sekta zote...walimuona kama malaika... Hawakutaka kusikia tena vyama vya upinzani....Sijui ni nani alimuingiza kwenye Huu ujinga wa kuacha kile alichoanza nacho..Maana vyama pinzani vilikuwa vinaenda kujifia vyenyew bila nguvu...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Hashimu Spunda na mpango kazi wa Rais Samia na CCM kutengeneza upinzani FAKE. Je, Watanganyika watang'amua hili?

    Watanzania ni wajuzi wa mambo ila sio wenye kuchukua maamuzi kwa haraka Watanzania ni wanyonge mno sera Yao ni mwenye nguvu mpishe na hii ndiyo sababu ya CCM na serikali kufanya watakavyo na hawajawahi kukwama. CCM katika kampein yake ya kujibakiza madarakani ikiwezekana hata...
  3. JamiiForums Tanzania CHADEMA ya sasa ndio chama kikuu cha upinzani kinachoogopwa zaidi na mamlaka

    Mwenye macho haambiwi tazama Mwenye masikio haambiwi sikia Watanganyika si mapoyoyo kiasi hicho kwamba hawaoni na hawaelewi kinachoendelea Viongozi na wanachama wa CHADEMA kupigwa na kuteswa Viongozi na wanachama wa CHADEMA kubambikiwa kesi mbalimbali zisizo na dhamana Kutekwa na kupotezwa...
  4. JamiiForums Tanzania Kiongozi wa upinzani Côte d'Ivoire Thiam ajiuzulu kufuatia utata wa uraia wa Ufaransa

    Kiongozi mkuu wa upinzani nchini Côte d'Ivoire, ambaye amezuiliwa kugombea urais katika uchaguzi wa Oktoba, amesema Jumatatu kuwa anajiuzulu kama kiongozi wa upinzani lakini bado ataongoza kampeni ya kushinda uchaguzi. Ni miezi sita kabla ya uchaguzi wa kumchagua kiongozi mpya wa nchi, kuna...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa CCM - Upinzani hautakufa na Bora kuishi na mpinzani unayemfahamu kuliko ajaye usiyemjua!

    Tangu mwaka 1995 mpaka Leo CCM imekuwa ikihangaika na kuua upinzani. Walianza na NCCR na kufanikiwa kuiua. Kwa bahati mbaya ikaibuka CUF ikawa na nguvu mpaka wakasingiziwa kufanya siasa za ugaidi. Wakasingiziwa kuagiza matonteina ya majambia. Watu Zanzibar wakauawa, kwa mara ya kwanza Tanzania...
  6. JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini na upinzani kuhamasisha haki sio uchochezi wala vurugu ni mwanzo wa ukombozi

    Kila mtu anajua kuwa viongozi wa dini ni watanzania na bado ni wapiga kura, kwahiyo ni haki yao kuhamasisha uchaguzi wa haki. Kila mmoja anajua upinzani ni chama halali cha siasa Tanzania kilichosajiliwa kihalali hivyo kuhamasisha haki na mabadiliko ya uchaguzi ni haki yao hiyo sio suala la...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mohamed Kawaida: Napohamasisha vijana kugombea, napata upinzani mkubwa kutoka kwa baadhi ya wabunge, Sitarudi nyuma

    Akiwa kwenye Mkutano wa hadhara, Wilaya ya Itilima Mkoa wa Simiyu, Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi UVCCM, Mohamed Kawaida ameapa kuwa hatorudi nyuma katika kuhamasisha vijana kujitokeza kwa wingi kuwania nafasi za Udiwani na Ubunge katika uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, licha...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Naibu spika: Tume ya sasa ni bora kuliko iliyowapa upinzani ushindi 2015

    Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Azzan Zungu, ameviita vyama vya upinzani nchini Tanzania kushiriki katika Uchaguzi Mkuu wa baadaye mwaka huu, akieleza kuwa hata mabadiliko wanayoyataka na kuyahimiza ya kisheria na kimfumo yatapatikana ndani ya bunge hilo na siyo...
  9. JamiiForums Tanzania Ni chama gani cha siasa cha upinzani nchini kinafurahia zaidi anguko la chadema kisiasa kuliko vyama vingine na kinatarajia kunufaika na anguko hilo?

    Maana chadema is no more, sote ni mashahidi. Na wanachadema wote nchini wamekata tamaa kabisa, na wanajuta kupindukia kuchagua uongozi uliokosa mipango na maono ya kisiasa na kusababisha kuangusha gari lao la kisiasa, kwasababu ya kiburi, ubishi na ubinafsi wa dereva wao mpya. Kama mdau wa...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Utabiri wa Sheikh Yahya na hofu kubwa ya Rais Samia na CCM yake upinzani kuchukua nchi

    Wakati taifa likiwa kwenye mtanzuko mkubwa wa kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu 2025,tunashuhudia uminywaji mkubwa wa demokrasia, utawala wa mabavu usiofuata sheria, matumizi mabaya ya pesa za umma na ukosefu wa haki kuliko wakati wowote ule. Hofu hii inazidi kuchagizwa zaidi na kushuka kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Kilichohamasishwa na upinzani ni uchaguzi huru na wa haki sio vurug, tuache kugeuza mambo

    Kilichohamasishwa na watanzania ni uwepo wa uchaguzi huru na wa haki sio vurugu, sio kumteka mtu, sio kumpiga mtu haya madai ya Dkt. Mpango kuwa ni vurugu yanatoka wapi na nani aliyeyasema? Nilimsikia dkt. Mpango akihamasisha wazazi wasiwahusishe watoto kwenye vurugu, sasa uchaguzi huru na wa...
  12. JamiiForums Tanzania Mataifa yenye upinzani wa jadi

    1. Nigeria vs Ghana Haya mataifa Huwa kama Simba na Yanga, huwa hawakubaliani Kabisa, kuanzia kwenye siasa, uchumi michezo n.k Mfano kwenye michezo mitandaoni Kuna ubishi wa nani Bora kati ya Thomas Partey na Mikel Obi 2 Tanzania vs Kenya Tuko majirani ila Kuna tambo zipo na kudharauliana...
  13. JamiiForums Tanzania Kipanya Katunix Ya leo Inamaanisha Nini ACT kuwa Chama Kikuu cha Upinzani?

    Naona Zambarau Ikineemesha vizuri kabisa Kijani hapo Juu Baada ya CDM kususia Uchaguzi?
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Nape Nnauye anasema mwaka 2018 wabunge wa upinzani hawakuwahi kutetea zao la Korosho bungeni Isipokuwa Zitto Kabwe

    Wakuu, Mbunge wa jimbo la Mtama Nape Nnauye hivi karibuni nimemsikia akisema akisema mwaka 2018 yeye na wabunge wenzake wa mikoa ya kusini walisimama kutetea zao la korosho bungeni, Pia akitaja mtu anayemuita mjomba pamoja na Lema na wenzake hawakuwa watetezi wa korosho na kwamba leo wakijifanya...
  15. JamiiForums Tanzania Viongozi wa upinzani Afrika walioshtakiwa kwa uhaini. Lissu, Bobi Wine wamo

    Mashitaka ya uhaini yanayomkabili kiongozi wa cham kikuu cha upinzani Tanzania, Chadema Tundu Lissu yamekitikisa chama hicho na kuishitua dunia. Siku ya Alhamis tarehe 10 Aprili, karibu magazeti yote makubwa ya dunia yalikuwa na habari ya kesi hiyo kubwa kabisa ya Lissu. Mwenyekiti wa zamani wa...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Vyama vya upinzani kama chadema ,kutokuwepo kwenye uchaguzi kuna athari nyingi, ambazo zinaweza kuwa na matokeo makubwa kwa mfumo wa kisiasa na jamii

    Vyama vya upinzani kutokuwepo kwenye uchaguzi kuna athari nyingi, ambazo zinaweza kuwa na matokeo makubwa kwa mfumo wa kisiasa na jamii kwa ujumla. 1. Kuimarisha Tawala za Kidemokrasia - Udikteta: Kukosekana kwa upinzani kunaweza kupelekea kuimarika kwa utawala wa kidikteta, ambapo chama...
  17. Z

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Unawezaje kujiita chama kikuu cha upinzani wakati una mbunge mmoja na covid 19 uliyofukuza uanachama?

    Chadema mnachanganya mambo!! Kwa sasa chadema ni chama kidogo sana chenye mbunge Mmoja wa kuchaguliwa!!! Mmeharibu zaidi kwa kukataa kushiruki uchaguzi .Hili siyo sawa .kumbe hamna mipango mizuri kabisa!! Yani mnaamini kuwa mnaweza kishinda uchaguzi bila kuwa na wabunge wengi? Kwa nini...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Kuiasi CCM kunapoitwa uhaini, kutaendelea kumpaisha Lissu na upinzani kitaifa na hata kimataifa!

    Uasi ni neno la kiswahili likiwa na maana kamili ya kwenda kinyume na jambo. Kuyakataa au kuhamasisha kuyakataa ya CCM na agenda zake zikiwamo za kutaka ufanyike uchaguzi wenye kuwapendelea wao, hakuwezi kuwa kosa la jinai. Kukinukisha dhidi ya CCM hakuwezi kuwa uhaini! Kumbe kwa tafsiri...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa ACT-Wazalendo baada ya kuwa Chama kikuu Cha upinzani Oktoba 2025

    Ewe mwanaJF, tupia ushauri wowote kwa hiki Chama ambacho mpaka Sasa kina dalili zote za kuwa Chama kikuu Cha Upinzani katika medani yetu ya siasa mara baada ya uchaguzi wa Oktoba 2025. Unapendekeza wafanye nini' na kivipi. Karibuni!
  20. JamiiForums Tanzania Timu ya upinzani kupewa kona kipa akipoteza muda

    Shirikisho la kandanda duniani FIFA linasema hatua ya muamuzi kutoa kona kwa timu ya upinzani endapo mlinda lango ataushikilia mpira kwa zaidi ya sekunde nane, itasaidia kupunguza suala la kupoteza muda. Chanzo: DW
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…