upinzani

  1. M

    JamiiForums Tanzania People who win the war, ni wenye IQ kubwa tu, Isrel anapiga vyenye upinzani kwanza, Iran anapiga visivyo na kizuizi, nani ni nani?

    Acha akili kubwa iendelee kuongoza dunia na itakuwa hivyo milele Najifunza mengi sana kwenye hii vita Ukiangalia mashambulizi ya pande zote Mbili, Iran na Israel Huwenda uwezo wao ni mmoja tu na ama wanazidiana kidogo sana ila akili ndiyo inayoamua hii vita Mashambulizi ya Iran yanalenga...
  2. JamiiForums Tanzania Bila chama cha upinzani chenye nguvu kushiriki uchaguzi hakuna uchaguzi bali maigizo na udanganyifu

    Bila chama cha upinzani chenye nguvu kushiriki uchaguzi hakuna uchaguzi bali maigizo na udanganyifu ambao haukubariki. Chama cha upinzani kipo sahihi kuhamasisha mazingira ya uwazi na kidemokrasia kwenye uchaguzi ili uchaguzi wetu usiwe wa maigizo na udanganyifu.
  3. JamiiForums Tanzania Upinzani Iran waanza maandalizi ya kupokea uongozi maana ni dhahiri Ayatollah atalazwa muda usio mrefu

    Wana mpango wa kuiweka nchi kwenye mfumo wa kidemokrasia na kuondokana na uzombi wa dini ya muarabu... Reza Pahlavi, the eldest son of the last Shah of Iran and the former crown prince, said that plans are in place for a 100-day transitional period if the Islamic Republic regime falls in war...
  4. JamiiForums Tanzania Ushauri: Upinzani kabla ya kuanza utekelezaji wa slogan zenu pimeni kwanza Kama zinatekelezeka ili kuokoa matumizi mabaya ya Ruzuku.

    Hivi karibuni kumekuwa na tabia ya viongozi wa Upinzani za kuanzisha program/slogan na kutumia hela nyingi (ruzuku) ili Hali wao wenyewe wakijua akilini mwao hazitekelezeki hii ni ishara ya kuwa na viongozi duni kifkra, imagine bajeti ya uchaguzi imeshatengwa Leo hii Kiongozi wa chama bado...
  5. JamiiForums Tanzania Licha ya demokrasia kusitawi sana Tanazania, Je, kinachoonekana kwenye siasa za upinzani ni CHADEMA kujitenga yenyewe au imetengwa na upinzani?

    Na je, Chadema inafanya siasa kweli? Sote ni mashahidi, uhuru, haki na usawa kwa vyama vya siasa nchini vimeimarika sana. Vyama vya siasa hususani upinzani nchini vimepata pumzi na nguvu mpya ya kufanya siasa na mikutano ya hadhara katika mazingira bora zaidi kulingana na uwezo na mipango yao...
  6. JamiiForums Tanzania Hamas ndio walitoa Upinzani wa Kweli. Hawa Iran ni Vibushuti

    Sio kwa ushabiki! Angalau Hamas walitoa upinzani wa Kweli. Ingawaje ni kakikundi kadogo kalikokosa Nguvu ya kifedha, miundombinu na vifaa vya kutosha lakini angalau wao tuliwaona wakifurukuta. Mbinu yao ya kujificha kwenye mahandaki na kuwageuza raia kuwa ngao yao kulichelewesha kushindwa kwao...
  7. JamiiForums Tanzania Wafuasi wa vyama vya Upinzani [to be specific CHADEMA] hawaaminiKI

    Huu ni ukweli ambao ni members wachache wataweza kuusema hapa hapa JF kuhofia kutukanwa na kuchukiwa. Hawa wafuasi hawaaminiki hata kidogo. Support yao mara nyingi imeishia hapa JF na X. Ikienda mbali basi labda IG na Club house. Juzi wamemsifu Gwajima kwa ujasiri mitandaoni. Lakini sasa...
  8. JamiiForums Tanzania Imekua ni hatari sana kuwa mpinzani kwa miaka ya hivi karibuni hapa nchini, je ni nini kimetufikisha hapa?

    Awamu ya tatu na nne vijana wengi walihamasika kuingia upinzani na ilionekana ni kitendo cha kishujaa huku wakiungwa mkono na familia zao. hali imekua tofauti kwa vipindi vya awamu mbili za hivi karibuni, ambapo kuwa mpinzani imeonekana ni kitendo cha kuuweka rehani uhai pamoja na furaha ya...
  9. JamiiForums Tanzania Kwa nafasi ya Uraisi, Uelekeo wa Vyama vingi vya Upinzani nchini ni Kumuunga mkono Mgombea urais wa CCM Dr.Samia Suluhu Hassan, Unadhani ni Kwanini?

    Ni kipi hasa kimewavutia zaidi vyama vya wapinzani nchini hata kujizuia kufikiria kusimamisha wagombea urais kupitia vyama vyao vya siasa, na kutoa fursa hiyo adhimu kwa kuunga mkono azma ya Dr.Samia Suluhu Hassan kugombea nafasi ya uraisi wa JMT katika uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025...
  10. JamiiForums Tanzania Angalia jinsi Chauma "walivyosepa na kijiji" Tabora, umati ni maelfu kwa malaki, wasipuuzwe, wanakamata nafasi chama kikuu cha upinzani

    Inawezekana ni kweli kwamba chama hiki kina ma injinia wa siasa. Chama hiki kina ma-genius wa siasa. Wanajua wafanye nini saa ngapi, na wapi. Ni muda mfupi tu, lakini angalia walivyoifunika Tabora! Hawa jamaa wakiendelea hivi, kufikia October itakuwa habari nyingine! Kufikia 2027 watakuwa...
  11. JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini kweli hawaoni yabayoendelea nchini kwa vyama vya upinzani hasa chadema inayopitia?

    Kila kona chadema imebanwa msajiri kila siku kutoa matamko yasiyo na tija na kusitisha ruzuku, viwanja vya mikutano imekuwa mwiba kwa chama hicho , uhamiaji kila sehemu wapo macho hawataki anayeitwa kiongozi wa chadema kuvuka mipaka ya nchi, mahakama nayo imebana kwa kuamua kesi ya chama...
  12. JamiiForums Tanzania Tetesi: Kumbe Viongozi Yanga Wanatumika Kupoteza Ari ya Upinzani Dhidi ya CCM?

    Kumbe Hatuchezi ni project ya CCM kuitumia Yanga kujaribu kupotezea moto wa majadiliano ya NO REFORMS NO ELECTION? Kama ni hivyo viongozi wa Yanga wanataka huo ubunge kwa kupitia damu za wana yanga wanaotekwa na kuuwawa au ndugu zao. Kila mwana Yanga mwenzangu nwenye akili timamu asikubali...
  13. JamiiForums Tanzania Sasa ni wakati mzuri kwa vyama vingine vya upinzani kuunga mkono NO REFORMS NO ELECTION ili kukaa katika upande sahihi wa historia

    SASA nadhani wote tunashuhudia namna siasa za Tanzania zinavoanza kuchukua sura mpya baada ya matukio kadhaa kutokea ndani ya siku chache zilizopita. Tumeshuhudia zomea zomea kwa viongozi waziwazi kuonyesha ni namna gani watu wapo serious wakati huu. Kizazi kilichopo kwa sasa asilimia kubwa ni...
  14. JamiiForums Tanzania Kila mtu anasapport upande wake na hakuna anae taka kukoselewa sio wanao support serikali sio wanao support upinzani

    Kila mtu anasapport upande wake na hakuna anae taka kukosolewa sio wanao support serikali sio wanaosapoti upinzani ukijaribu kuweka hoja tofauti na upande wowote unaoga mvua ya matusi. Nimekuwa nikifuatilia mijadala mbalimbali mitandaoni kuhusu masuala ya kisiasa, kama hili la kufungiwa kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Njia ya ZANU-PF ya Zimbabwe ndio iliyopo kazini Tanzagiza kukiwa hakuna upinzani hata wa kuikaribia MDC, mbele ni giza tupu.

    Mwaka 2008 Zimbabwe ilifanya uchaguzi mkuu, chama cha upinzani cha MDC cha Morgan Tsavangirai kikashinda urais na viti vingi vya ubunge, kilichotokea tume ya taifa haikutangaza matokeo kwa miezi miwili baada ya uchaguzi. Hatimaye matokeo yalipotangazwa tume ikamtangaza Morgan Tsavangirai...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Bagonza: Mwaka wa uchaguzi. Tamaa ya madaraka ndani ya CCM ni kama yote, Ubinafsi ndani ya upinzani ni kama wote. Nani mwathirika wa hali hii?

    Wakuu Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza anaandika kupitia ukurasa wake wa Facebook == Huu ni mwaka wa uchaguzi. Tamaa ya madaraka ndani ya CCM ni kama yote. Ubinafsi ndani ya upinzani ni kama wote. Nani mwathirika wa hali hii? Mwathirika wa kwanza ni nchi/taifa. Tutakosa uwajibikaji (checks...
  17. JamiiForums Tanzania Kabla Hatujachelewa: Neno Langu kwa Serikali, Upinzani na Watanzania wote

    Tanzania imejengwa juu ya misingi thabiti ya amani, umoja, na mshikamano. Hii ndiyo sababu leo tunasafiri, tunasoma, tunafanya biashara, na tunaishi bila hofu ya vita wala machafuko – tofauti na mataifa mengine yanayoishi kwenye taharuki ya kila siku. Lakini katika kipindi hiki cha mvutano wa...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hashim Rungwe: Tukienda kwenye mikutano ya CCM wanatupa hela, tunazichukua na tutaendelea kuzichukua

    Hashim Rungwe ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA) akihojiwa na Edwin Odemba anasema: “Kila tukienda kwenye mikutano ya vyama vya Siasa CCM inachukua pesa za wananchi inatulipa ili ionekane nchi hii kuna demokrasia, hakuna dawa hosptalini ila pesa za kutulipa wanapata na...
  19. JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania: Ni Wakati wa Kujenga Urafiki na Wananchi na Vyama vya Upinzani, ikiwemo CCM- Mpinzani Mtarajiwa wa siku za baadae

    Polisi Tanzania: Ni Wakati wa Kujenga Urafiki na Wananchi na Vyama vya Upinzani, ikiwemo CCM- Mpinzani Mtarajiwa wa siku za baadae. Katika jamii yoyote yenye misingi ya kidemokrasia, jeshi la polisi muna nafasi ya kipekee kama muhimili wa kulinda haki za watu, usalama, amani na haki za kila...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kilichofanya Magufuli apendwe mwanzoni wa utawala wake ni kupambana na utendaji mbovu wa serikali, na kilichomdidimiza ni kupambana na vyama upinzani

    Watanzania wengi pale walipomuuona anapambana na utendaji mbovu wa sekta zote...walimuona kama malaika... Hawakutaka kusikia tena vyama vya upinzani....Sijui ni nani alimuingiza kwenye Huu ujinga wa kuacha kile alichoanza nacho..Maana vyama pinzani vilikuwa vinaenda kujifia vyenyew bila nguvu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…