Kuanzia mapambano ya Biafra Nijeria, UNITA Angalo, RENAMO Msumbiji, POLISARIO Shahara na kwigineko kokote kule Afrika, vurumai huanzia ndani ya chama tawala ama kuanzishwa na chama tawala.
Hakuna ushahidi wowote wa kuonesha kuwa vita vya wenyewe kwa wenyewe Afrika kuanzishwa na vyama vya...