upinzani tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Upinzani Tanzania umejichuja wenyewe na kubaki na viongozi na wanachama waropokaji, watukanaji na waporomosha matusi tu, hoja sio utamaduni wao tena

    Unadhani kwanini baadhi ya vyama vya siasa vya upinzani nchini Tanzania vimeaamua kuacha kupambana kutafuta kuungwa mkono na wananchi kwa kutumia itikadi za vyama vyao, sera na agenda za kuvutia wananchi wapiga kura, na badala yake vimeanzisha utamaduni wa kutumia matusi kujitambulisha kwa umma...
  2. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli upinzani Tanzania haujui unachotaka, unachokipambania au kukipigania?

    Kwasababu sote ni mashahidi na tunasikia na kuona jinsi ambavyo wanayumba na kudandia kila kitu ambacho ni kipaumbele cha waTanzania, na all over the sudden wanakibwaga na kudandia kingine on the spot. Halafu wamekua wakisubiri na kutambaa na matukio tu ya kisiasa kadiri yanavyotokea, je, hii...
  3. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kwa kutegemea public sympathy tu, unadhani upinzani Tanzania unaweza kupata kiti walau kimoja tu cha ubunge uchaguzi mkuu 2030?

    Ni obvious, upinzani Tanzania kuhusu urais, watausikia tu kwenye bomba tu, kwasababu, kwanza hawana mgombea mwenye kaliba ya urais, lakini pia, hawana agenda zenye kugusa maisha halisi ya wa wananchi wote wa Tanzania, bali wao, wamejikita zaidi katika kuwatukuza viongozi wao, kwa kampeni za...
  4. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Namshauri Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini Kuifutia Usajili CHADEMA

    Kama mwanadiplomasia na mwanasiasa mwandamizi nchini, nimeifuatilia chadema kwa karibu sana na kwa muda mrefu, na nimethibitisha pasina shaka na kujiridhisha kwamba, chadema inakiuka sheria na masharti ya usajili wake, na kwahivyo inastahili kufutwa rasmi kisheria. Na hii itasaidia sana...
  5. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani Tanzania vinajihujumu na kuhujumiana badala ya kushindana CCM

    Ni dhana inayoaminika kuwa, kama ukitaka suluhu ya kweli na ya kudumu kwa matatizo yako basi ujiepushe na kutafuta majubu rahisi kwa maswali magumu. Kuelekea Oktoba 29, kundi linalohamasisha maandamano linauza hoja kuwa mtesi wa wapinzani tangu 1992 tuingie kwenye vyama vingi ni CCM. Wakati huo...
  6. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani Tanzania vijifunze kuzungumza sera sio kuzungumzia watu

    Mimi ni Mtanzania ninayetamani kuona mapinduzi na mabadiliko ya siasa ndani ya Tanzania , naimani kubwa siasa za ushindani na demokrasia ya kweli ni chachu ya maendeleo kwa Taifa lolote lile Tatizo kubwa ninaloliona ambalo lipo kwa vyama vya siasa vya upinzani ndani ya Tanzania vimejikita...
  7. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani Tanzania Bado sana wanasafari ndefu

    Vyama vya upinzani Tz vinafeli sana , kila siku wanapokea mamluki hawajifunzi , Mpina ghafla tu ACT wanamuamini kugombea nafac ya juu !
  8. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Tanzania 2025: Upinzani Tanzania unajimaliza wenyewe?

    Katika taifa linalohitaji mabadiliko yoyote, vyama vya siasa vikiwepo vya upinzani huwa na nafasi ya kipekee. Nchini Tanzania vyama vya upinzani ambavyo vilitarajiwa kuwa chachu ya mageuzi sasa vinaonekana kugawanyika kuliko wakati wowote ule. Badala ya mijadala ya sera na hoja mbadala dhidi ya...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Wafuasi wa upinzani Tanzania hawana tofauti na Ngoma ya mdundiko, Hawaaminiki

    Hii Ngoma enzi hizo ilijaa vituko kama watanzania fulani wa Leo. Ilikuwa inatokea wapiga Ngoma wanapopita mtaani, watu wanawafuata kwa mapigo ya Ngoma, mwishowe wanajikuta wamefika mtaa mwingine kama sio mji mwingine. Hatimaye walikuwa wanapotezwa kwa kutojua walikotoka. Project ya kuchafua...
  10. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wapinzani wa Tanzania wasaidiwe kuachana na siasa za kufikirika!

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye Gazeti la Nipashe la Leo. Kiukweli kabisa, upinzani Tanzania una hali mbaya sana, uko dholfu bin taaban kwa kukosa watu wa mikakati, hivyo kuendelea kufanya siasa za kiharakati kwa kutumia utopian politics!, badala ya kufanya siasa za kimikakati, matokeo...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Wakili LIVINO: Sasa ni wazi Mbowe ni Kaburi rasmi la CHADEMA , Mbowe ndio mauti ya Upinzani wa Tanzania

    Anaandika Wakili wa Mahakama kuu ya Tanzània Livino == UZIMA NA MAUTI: UNACHAGUA NINI? (Maalumu kwa Wajumbe wa Mkutano Mkuu - CHADEMA 2025) Chagueni hivi leo mtajayemtumikia. YOSHUA 24:15. 1. FREEMAN MBOWE ni KABURI la CHADEMA. Mbowe ni Mauti ya Upinzani: Chagua Mbowe; uvune mauti na...
  12. Yoda

    JamiiForums Tanzania Mbowe ametoa masterclass (darasa kuu) ya siasa za upinzani Tanzania leo. Historia itamsema vizuri

    Hotuba ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe pamoja na maswali ya waandishi wa habari aliyoyajibu leo ni masterclass ya siasa za upinzani katika nchi yetu. Kuongoza upinzani sio oya oya kama wengi wanavyodhani, kunahitaji utulivu akili, uvumilivu, maturity na busara kubwa sana. Baada ya...
  13. econonist

    JamiiForums Tanzania Upinzani Tanzania msirudie kosa walilofanya wenzenu wa Namibia

    Namibia ipo kwenye uchaguzi kwa Sasa. Uchaguzi huu ulikuwa ni mgumu Kwa chama tawala Cha SWAPO ila vyama vya upinzani baadala ya kuungana vikaamua kila mmoja kupambana pekee yake mwisho wa siku SWAPO inaongoza kwa matokeo ya Sasa kwa Asilimia 48 ya kura za urais mpaka Sasa. Vyama vya upinzani...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Upinzani Tanzania hauna nguvu ya kuleta mabadiliko huu ndiyo ukweli.

    Zilikuwa Propaganda tu za kutojianda kwenye uchaguzi, wamethibitisha wenyewe mmeliona. Hadi muda huu hakuna chama kilichosusia uchaguzi kila chama kipo dimbani kwenye kampeni, CHADEMA wao wameamua kuchangisha kabisa na Fedha za ufunguzi wa kampeni kwa maana hiyo vyama vyote vimethibitisha...
  15. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tuna upinzani dhaifu. Nilitarajia Nape Nnauye na aliyekuwa DC Longido wangefikishwa Mahakamani

    Binafsi tangu niwe mtu mzima na kuanza maisha ya kujitegemea sijawahi kuipenda CCM. Haihitaji uwe na elimu kujua kuwa CCM ni kikwazo katika ustawi wa jamii ya Watanzania. Tanzania inanuka ufukara uliokithiri. Pia soma: Kuelekea 2025 - Nape Nnauye: Matokeo ya kura inategemea nani anahesabu na...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Bila rushwa ya pesa na vyeo, upinzani ungekuwa imara

    Nimekuwa nikitafakari sababu zinazopelekea upinzani kuwa dhaifu hapa nchini ukilinganisha na Kenya. Kwa haraka haraka, upinzani umekuwa ukidorora kwa vile CCM imekwisha gundua udhaifu wa wapinzani kuwa ni njaa ya Pesa na vyeo. Hali inayopelekea kununulika haraka na kukimbilia Chama Tawala...
  17. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ndani ya vyama vya siasa upinzani Tanzania gumzo na hoja kuu ndani ya vikao vyao ni Samia Suluhu Hassan tu 2025

    Wengi wao wako radhi, na wameridhia kuunga mkono jitihada za Dr. Samia Suluhu Hassan za sasa; na endapo pia ataamua kugombea ukuu wa nchi kwa ngwe nyingine ya pili, basi watamuunga mkono kwa 100%. Kuna wanachama wachache miongoni mwa vyama hivyo vya siasa vya upinzani, wanajaribu kuweka vikwazo...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Kufanya siasa za upinzani Tanzania ni kupoteza muda fedha na kujishushia hadhi mfumo wote umeundwa kukibeba chama tawala

    Mwenye macho haambiwi tazama kwa mfumo wa uongozi wa taifa letu ambapo rais anakuwa na nguvu nyingi kiwango kinachomfanya hata asie mkubali kujipendekeza kwake ni ngumu sana kwa wapinzani kuambulia chochote sanasana watakacho ambulia ni kile ambacho watawala wametaka. Tunadanganywa kwamba eti...
  19. Z

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nguvu ya Upinzani Tanzania ni kubwa sana

    Habari zenu wakuu Mimi Niko mbali sana na mambo ya siasa ila mara Moja Moja huwa naingia mtandaoni kujionea mambo yanayo endelea. Leo nimeona namna ambavyo Baadhi ya wanachama wa CHADEMA walivyo changisha pesa kwaajili ya kumtoa jela kijana aliye choma picha ya Mama Binafsi nimejikuta...
  20. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Mihemko na kupanic ndio tatizo mtambuka la vijana wa Kitanzania

    Imekuwa ndio utambulisho wao, na vyama vyao. The tone of their articles, styles of their replies and comments, the languages they use in conversations and engagements, represents fully their political blocks they belong. Mihemko, panic, ghadhabu na hasira miongoni mwao zimekua zikiwachochea...
Back
Top Bottom