upinzani tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Chama gani cha upinzani Tanzania angalau kina sera na uelekeo wa kuaminika kwa sasa?

    Tanzania kuna vyama vya kisiasa zaidi ya 20 vyenye usajili wa kudumu. hata hivyo, vipo zaidi ya hivyo vyenye usajili wa muda kwa mujibu wa sheria ya vyama vya siasa. Je, ni kipi kwa maoni yako? Miongoni mwa vya vyama vya siasa vya upinzani, chenye usajili wa kudumu, ambacho kipo hai, chenye...
  2. Matulanya Mputa

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wanaharakati wawe makini kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025, CCM wamekosa hoja badala yake wananyamazisha wanaowakosoa

    Mfano G. Malisa, Mwanamapinduzi Singida, kifupi polisi wameshapewa order toka juu kukamata wanaharakati wote ambao wanachipukia na wakosoaji wa serikali. Hali hii itarudi kwa kasi kabla ya Uchaguzi wa Mkuu 2025 lengo ni kuwatoa watu kwenye mstari. Hivyo basi watu wawe makini katika shughuli za...
  3. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa udhaifu wa rais Samia 2025 ndio itakuwa fursa mujarabu kwa wapinzani kuchukua nchi kwa mara ya kwanza

    Watu wameshajua kuwa rais huyu hafai kuwa kiongozi Anaendeshwa na kundi fulani , yeye hana maamuzi. Sasa huyu akisimama na kichwa mfano wa Dk Slaaa atapigwa chink kwenye uchaguzi wa urais. Hata kama wakiiba kura.
  4. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Upinzani umekosa hoja na muelekeo, badala kujadili hoja zenye mashiko ili mkubalike mnabaki kujadili takwimu zilizokosewa bahati mbaya

    Mnashindwa vipi kukaa na kujadili masuala ya msingi kama kuboresha huduma afya, elimu na upatikanaji wa umeme? Mnabakia kila kona kushupalia juu ya takwimu za foreign reseve ambazo zimekosewa bahati mbaya. Kwani hamjui kuwa mil 6000 ni sawa na bil 6. Tumieni busara kujadili masuala ya msingi...
Back
Top Bottom