upendo

Upendo Ni Pamoja is an album by pianist Ramsey Lewis which was recorded in 1972. It was his first release for the Columbia label, after a decade with Chess Records in Chicago.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wasanii Wengi Wanapambana, Sio Wavivu Tupeane Faraja na Upendo

    Haya ni maneno ya Msanii wa bongo Flavor BekaFlavor na kupostiwa na Msanii Bell9 kutokana na kile alichokisema msanii diamond juu ya vijana kufanya kazi badala ya kulalamika. "Ila kuna vitu watanzania wenye nafasi flani kabla ya kuongea au kufanya tufikilie mara mbili mbili, wasanii tupo wengi...
  2. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu Waislamu na Waumini wa Dini nyinginezo zote tuwe na Umoja na Upendo, Matendo maovu aliyofanyiwa Sheikh Njuki yasijirudie tena

    Ndugu zangu Waislamu na Waumini wa Dini nyinginezo zote tuwe na Umoja na Upendo, Matendo maovu aliyofanyiwa Sheikh Njuki yasijirudie tena Nguzo kuu ya kudhihirisha wema na utu pamoja na ukomavu wa binadamu ni Msamaha, Upendo na Mshikamano Kamwe yeyote yule asifanye uovu wa kumtendea mwenzake...
  3. JamiiForums Tanzania Kama unahitaji kuwa na upendo na mwenzi wako badi chukua kiatu chako cha mguu wa kulia kisha weka juu chini ,chini ya kitanda mnacholalia

    Kama unahitaji kuwa na upendo na mwenzi wako badi chukua kiatu chako cha mguu wa kulia kisha weka juu chini ,chini ya kitanda mnacholalia hapo hatoweza kutoka nje na mwanamke yeyote na siku zote atakuwa nawe. Asili ni nguvu💪
  4. JamiiForums Tanzania Sisi ni simba wa Yuda: Makanisa yanakubalije kanisa la Gwajima kufungiwa wao wakiwepo? Ule upendo wa Kristo unaohubiriwa umeishia wapi?

    Mughonile! Roman Catholic, Lutheran, Anglicana, Wasabato, Walokole na Wakristo wengine. Mnakubalije Ukristo kufanywa Kama nyumbu wakati sisi ni simba wa Yuda. Kanisa la wenzetu limefungiwa kisa kosa la mtu mmoja ambalo sio kosa kwani alikuwa anahubiri injili ya kukemea maovu ya watekaji. Padri...
  5. JamiiForums Tanzania Changamkia fursa Biashara ya Gesi ya CNG inazidi kupamba moto Vituo vya kujaza Gesi ya CNG vinazidi kujengwa

    Kufikia mwezi wa 4 2025, vituo 10 vya CNG vilianza kujengwa katika mikoa ya Dar es Salaam, Pwani na Morogoro. Kampuni ya PUMA Energy Tanzania Limited ilianza kujenga vituo Tegeta, Ubungo External, Mbezi Beach, na Morogoro. Energo Tanzania Limited ilianza kujenga kituo Mikocheni. Victoria...
  6. JamiiForums Tanzania Biblia ndio Chuo Pekee Duniani unachoweza kujifunza Upendo, Amani, Furaha na Uvumilivu

    Katika dunia yenye vitabu vingi vya falsafa, dini, na elimu mbalimbali, hakuna kitabu kinachoweza kulingananishwa na Biblia. Biblia si kitabu cha kawaida; ni chuo cha kipekee ambacho humfundisha mwanadamu masomo ya msingi ya maisha ambayo vyuo vikuu vya kidunia haviwezi kufundisha. Humo ndimo...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Inawezakana kuurudisha upendo wa miaka ya Nyerere?

    Miaka ya 1970 - 1990. Enzi za utawala wa Nyerere hadi alipoachia 1985 hadi awamu ya kwanza ya utawala wa awamu ya pili, wa Rais Mwinyi, Tanzania ilikuwa, moja imara, na yenye upendo mkubwa. Kila mtu alijivunia utanzania, uzalendo, na kuona fahari kuitwa Mtanzania. Nitatoa mifano miwili ya...
  8. JamiiForums Tanzania Ni njia gani unapenda kuonyeshwa upendo

    -Maneno matamu -Matendo -Zawadi -Muda wa pamoja -Kuguswa
  9. JamiiForums Tanzania Upendo wa bunge umeyeyuka kwa sababu gani ?

    Enzi za Kikwete, Tundu Lissu ananyukana kwa hoja na Mwanasheria Mkuu wa serikali... Lukuvi anaingilia... Mara Chenge naye anaibuka... Watu wanagonga meza, mara kwa mbali unasikia "Kuhusu utaratibu....", mara "Muongozo..." Halafu Mwenyekiti wa Bunge Mussa Azzan Zungu anakataa muongozo wala...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Ujumbe Wa Upendo Mkuu Kwa Rais Samia, Kama Mwanadamu Mwenzangu.

    Ushauri huu ni wa upendo mkuu. Na upendo ndiyo amri kuu tuliyopewa na Mungu wetu. Tena tunaulizwa, utawezaje kusema unampenda Mungu usiyemwona wakati unamchukia ndugu yako? Ninaamini Rais Samia ni muumini wa Mungu, mtu anayeamini katika maisha baada ya kifo, hukumu ya Mungu, na ufufuo wa wao...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Nafikiria kuzaa mtoto wa nje, mke wangu anaharibu watoto kwa kigezo cha "upendo"

    Mimi na mke wangu tumebarikiwa kuwa na mtoto mmoja, ana miaka 6 mpaka sasa Tatizo la huyu mtoto ni mtoto ambaye hana uvumilivu, akitaka kitu fulani ni lazima mama yake ampe la sivyo atakuwa analia mpaka akipate, akipewa chakula fulani asipokipenda itabidi mana yake ampikie kingine au mkamnunulie...
  12. JamiiForums Tanzania Upendo ndio nini? Dunia imekosa Upendo ila ina kila kitu

    Binadamu tupo busy na mambo ambayo hayana msingi tunawaza kula kufanya mapenz kulala Tabia zote za mnyama kupigana kuuana Dunia ina kila kitu lakini imekosa upendo hatuna upendo kuanzia kwenye Familia mpaka Serikali zote duniani BINADAMU tupo busy na kufukuzana na panya wakati Nyumba yetu...
  13. JamiiForums Tanzania Mungu ambaye tunamuomba na anayesifika kuwa na UPENDO sifikirii kama ndo Mungu huyu huyu wanayesema atachoma watu wenye dhambi.!

    Kwa uelewa Wangu kuhusu Mungu. Namtafsiri Kama mwenye UPENDO huruma na UTU. , hii nadharia kuwa atachoma watu wenye dhambi naona Kama ni UONGO. Kwakuwa sisi Binadamu tupo dhaifu , kwenye kuyaendea mambo na asilimia kubwa tupo unconscious. Hivyo dhambi Kama uzinzi , N.k zinafanywa Sana na WATU...
  14. JamiiForums Tanzania Nashindwa kuelewa, hapa kuna upendo kweli au napotezewa muda?

    NRNE Habari za muda mrefu wana jukwaa, mimi msichana, niko kwenye mahusiano na mwanaume amenizidi miaka 15, yeye ana mtoto mmoja mimi sina. Mimi nipo Dar, yeye yupo mkoani, tulipoanza mahusiano nilijua kwakuwa ni mtu mzima pengine, tutaenda sawa kwani na mimi huwa sipendi mambo ya hovyo...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Mpya Ataomba Msamaha kwa Taifa – Kwa Moyo wa Toba na Upendo wa Kweli

    Great Thinkers Katika siku zijazo, historia ya taifa letu Tanzania itakumbwa na upepo wa toba na maridhiano ya kweli. Rais ajaye baada ya Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuomba msamaha wa hadhara kwa Wakristo na taifa zima, akianza na tukio zito lililotikisa dhamira ya uhuru wa...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Je, upendo wa kweli upo?

    Dunia ya leo usaliti limekuwa Jambo la kawaida mno hata kwa wanandoa. Vip unamuamin mwenza wako, viashiria vip huondoa imani kwake?
  17. JamiiForums Tanzania Papa Leo XIV amteua Padri Monsinyori Romanus Mbena kuwa mkuu wa huduma ya Upendo Vatican

    Baba Mtakatifu Leo XIV amemteuwa mtanzania Monsinyori Romanus Mbena kuwa ni Mkuu wa Ofisi ya Baraza la Kipapa la Huduma ya Upendo, ambaye hadi kuteuliwa kwake amekuwa akihudumu kama Afisa Mshauri wa Balozi za Vatican ngazi ya kwanza na Mhudumu katika masuala ya jumla kwenye Sekretarieti kuu ya...
  18. JamiiForums Tanzania Ukristo Unafundisha Upendo, Mzungu Mwenye Jaziba Katulizwa na Upendo Na Sala

    https://www.instagram.com/reel/DJ0To8sRded/?igsh=MWhjaWJwb3l4Nmp6Zw==
  19. JamiiForums Tanzania Upendo wetu sisi

    https://www.instagram.com/reel/DKKxShrNI0b/?igsh=MTdzeDIyMnY5ZDFqNw==
  20. JamiiForums Tanzania Huu ni Utapeli wa Mapenzi au Ndio Upendo wenyewe ?

    Habari gani Wakuu Ngoja niende kwenye maada yangu. Kuna mdada mmoja hivi wa Graduate wa CBE -Dodoma nilikutana naye rainbow Dodoma so nikawa nimechukua contacts tukawa tunawasiliana. Baada ya kuwa nimemzoea nikamwelezea vile najisikia juu yake, dada akatolea Nje. Nikakubali tukawa tunawasiliana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…