upande

Boma Upande is a settlement in Kenya's Kilifi County.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Upande upi Unaokusikitisha zaidi wewe, kati ya ICC na Trump, et al.; au Hawa Wenzetu?

    Kuna baadhi yetu waTanzania wanaoamini kwamba kuna watu, nchi au makundi toka nje ya nchi hii watakaokuja kutuondolea shida ya utawala wa maguvu unaotukabili sasa hivi. Watu wanasubiri ICC au akina Trump waje hapa na kunyakuwa viongozi waovu wanaotukandamiza sasa hivi, ili tupate ahueni. Watu...
  2. JamiiForums Tanzania Kuna kaukweli lakini hapa haswa upande wa pesa

    https://x.com/NNgabu_/status/2010247428734361807?s=20
  3. JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza hivi karibuni ukienda upande wa photos hautokuta uzi wa warembo wa kali ukitrend namba 1 kama zamani.

    Hii shift sio ya kawaida, There is a depeer meaning.
  4. JamiiForums Tanzania Upande wa giza wa Tb Joshua

    My people, Tuhuma Zilizoripotiwa, Mijadala ya Kimaadili, na Maswali Kuhusu Unabii wa Kisasa Jina la TB Joshua, aliyekuwa kiongozi wa kanisa la Synagogue Church of All Nations (SCOAN) nchini Nigeria, limewahi kuwa kivutio kikubwa cha waumini kutoka sehemu mbalimbali za dunia. Kwa wengi, alikuwa...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi mnafahamu baada USA kumkamata raisi wa Venezuela kulikuwa na ajenda ambao walijitokeza wakiwa upande wa CCM na account zao,Haya angalia na hii

    Huu mtandao wa propaganda ambao unatumika sana CCM ulipoona delta force imemkamata raisi wa Venezuela nao wakaja kwa njia hii . Kama walikuwa wameona hiyo ndo habari mbona ya Venezuela wajaweka. Hili group la CCM lina amrisha sana .
  6. JamiiForums Tanzania Mwanamke wa kiislamu alivyorudisha mamilioni aliyookota

    Kuna Taarifa kuhusu mwanamke Muislam kutoka Lapai, Jimbo la Niger, Nchini Nigeria anaeitwa Hajiya Aisha Isah Yelwa ambaye alirudisha Naira milioni 330 zilizo ingizwa kimakosa kwenye akaunti yake ya benki Kwa Ufupi ni kwamba Aligundua kiasi hicho kilichopokelewa bila sababu ya dhahiri kwenye...
  7. Q

    JamiiForums Tanzania Rais achaguliwe kwa 'merits' zake sio kwa upande anaotoka, wala dini yake au jinsia yake

    Katiba inasema Rais akitoka bara basi makamu wake lazima atoke visiwani hata kama upande huo hatuoni mtu mwenye sifa. Hii sio sahihi. Kuna tendency au tabia ambayo haijandikwa popote kuwa kama Rais anayemaliza muda wake ni mkristo basi atakayefuata lazima awe mwislamu lengo kubalance dini hata...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Israel imepanga kuifundisha ChatGPT kuwa upande wake zaidi (Pro-Israel) inapojibu maswali

    Katika mkataba mpya wa dola milioni 6, kampuni ya Marekani iitwayo Clock Tower X itazalisha na kusambaza maudhui katika majukwaa mbalimbali, kusaidia kuchezea mifumo ya algoriti, pamoja na kusimamia “mifumo ya AI” ili iwe rafiki zaidi kwa ajenda hiyo. Serikali ya Israel imeajiri kampuni mpya...
  9. JamiiForums Tanzania Ndani ya siku sita hivi kuna taarifa nzuri wananchi watapata ,ila itakuwa kilio upande wa pili, japo kilio cha kinafki.

    Sina maneno mengi. Anzeni kuhesabu siku 6 kuanzia leo Ndani ya siku 6 huenda ikawa leo au kesho ila haitavuka siku 6. Mungu ataleta neema yake ambayo ni furaha kwa wananchi ila upande wa pili ni kilio japo cha kinafki.
  10. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Majizo, wasanii wanapaswa wawajibike kwa Makosa yao. Masuala ya kuajiri sijui kujiajiri hayana maana kama hawako upande wa wananchi

    Hamjambo wote! 1. Nashangaa wanaolalamika kuhusu Wananchi kususia wasanii. Mimi mpaka sasa sijaona kama Wananchi wamesusia kazi za wasanii. Bado sijaona. Ni kama wamewapa tuu tishio na sio kwamba wameamua kuwapiga Pin. 2. Tunapoelekea kwa kiwango cha awareness na elimu ndani ya jamii...
  11. JamiiForums Tanzania Ninaona giza mbeleni kwa upande wa kiutawala wa nchi

    Ninaona giza mbeleni kwa upande wa Muungano wetu wa Tanganyika +Zanzibar kimuundo na kiutawala. Tukumbuke kuwa zile zilikuwa zinaitwa kero za Muungano, sasa hivi ni kama hazipo hii ni kutokana na Rais wa Jamhuri kwa sasa ni Mzanzibar-so hope issue nyingi zinashughulikiwa ipasavyo.Ikitokea tena...
  12. S

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Sheikh Nurdin Kishki: Yanayoendelea nchini 90% yana msukumo wa upande wa kushoto

    Wakuu Sheikh Kishki anaeleza kuwa asilimia 90 yanayoendelea hapa nchini ni msukumo kutoka upande wa kushoto. Alianza kwa kuwauliza swali aliokuwa nao kuwa kwa yanaoyoendelea sasa yana msukumo kutoka wapi kati yao (waislam) ama upande wa kushoto, ambao nao pia wamesikika wakijibu kuwa ni upande...
  13. P

    JamiiForums Tanzania DHULMA TUNAZOTENDEWA NA BENKI YA CRDB ILHALI BENKI KUU YA TANZANIA , INAONYESHA KUWA UPANDE WAO KWA KUSHINDWA KUJIBU "REVISION" KWA MUJIBU WA SHERIA.

    TATIZO KUBWA – WITO WA HAKI NA UWAZI KIFEDHA TANZANIA Kampuni ya Peachy Village Company Limited, yenye makao yake makuu Dodoma, Tanzania, imejikuta katika hali mbaya kifedha baada ya kufunguliwa kwa akaunti za benki zisizo halali kwa jina lake. Tukio hili limeleta hasara kubwa, likiathiri...
  14. JamiiForums Tanzania Kwani mashekhee mnasimama upande gani?

    Kufuatia muendelezo wa taharuki ya kisiasa nchini, makundi mbalimbali ya kijamii ikiwemo serikali yamejitokeza na kuonyesha misimamo Yao Serikali wao wamesema wanataka amani, wananchi pamoja na maaskofu wote wanasimaa upende wa Haki. Lakini mashekhee nyinyi humueleweki kama mnataka HAKI, AMANI...
  15. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia umemaliza upande wako, subiri nao GenZ, EU, US na TEC watakujibu very soon

    Target kubwa ya speech ya jana ilikuwa kwa makundi makubwa matano yafuatayo. WAFADHILI, kundi hili linajumuisha nchi za ulaya EU countries na Marekani. Aliwaambia 'Who are You', kwanza vihela vyenu vidogo. Hili group huwa halina haraka lipo very systematic, consistent litamjibu kwa wakati wake...
  16. JamiiForums Tanzania Madowo: Serikali ya Tanzania ilikataa kutoa ufafanuzi wowote kuhusiana kilichotokea oct 29 lakini baada ya CNN kutangaza dunia ndio wamekuja

    Madowo: serikali ya Tanzania ilikataa kutoa ufafanuzi wowote kuhusiana kilichotokea oct 29 lakini baada ya CNN kutangaza dunia ndio wamekuja. #D9
  17. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Msigwa: Uhakiki wa video za CNN unaendelea, serikali inatoa wito wa CNN kufuata weledi na maadili ya uandishi

    Kuhusu serikali kufanya uhakiki wa ripoti ya CNN, Msigwa amesema: Uhakiki wa makala unaendelea, lakini hawajafuata weledi na uadilifu kwenye uandishi wa habari. Si kweli CNN ilishindwa kupata upande wa serikali, akisema inashangaza chombo kama CNN kufanya makosa ya kiweledi kama hayo...
  18. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Gerson Msigwa: Vyombo vya habari vya nje vimechapisha na kutangaza taarifa za upande mmoja na kupotosha kuhusu machafuko wakati wa uchaguzi

    Msemaji Mkuu wa Serikali amedai kuwa Vyombo vya habari vya nje vimeandika habari ya upande mmoja kuhusu machafuko wakati wa uchaguzi "Kumejitokeza wimbi kubwa la vyombo vya habari hasa vyombo vya habari vya nje kuchapisha na kutangaza habari ambazo ni za upande mmoja na wakati mwingine kufanya...
  19. JamiiForums Tanzania Anachongumza HABIL kuelekea Desemba

    • BOT haijatoa taarifa Rasmi kama mifumo yake imeingiliwa (Ikiwa watakataa kubali atatoa fundisho) • Amefanya mazungumzo na kiongozi wa DP world , chairman wao na CEO WAO • Amemuambia chairman wa DP world kuwa miamala yake ipo wazi (Kampigia simu Leo na kuongea nae kwa simu) • mifumo ya kifedha...
  20. JamiiForums Tanzania UPDATE : Hatimaye mambo yamekaa vizuri kwa upande wangu na binti

    Kama ulifatilia, niliwahi kupost kuhusu mpenzi wangu kupelekwa na wazazi wake kwenye mafunzo ya Depo Polisi mkoani Kilimanjaro Thread yenyewe ni hii: Mchumba wangu ameenda CCP Moshi Leo nataka niwape update ya kile kilichotokea. Mpenzi wangu alienda Depo wakati mimi nikiwa nina stress sana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…