Tuambiane ukweli:
Leo, watu wengi wanataka kuwa viongozi si kwa sababu ya kuwahudumia wengine, bali kwa sababu ya madaraka, heshima, na ulaji.
Lakini uongozi wa kweli haupimwi kwa vyeo wala makofi ya hadhara. Unapimwa kwa kiasi gani uko tayari kusema ukweli hata kama utachukiwa, kutengwa au...