uongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mizizi ya Dhambi Katika Uongozi wa Tanzania

    Katika historia ya mataifa mengi, na hasa Tanzania, uongozi umetazamwa kama dhamana takatifu inayopaswa kuheshimiwa, kutunzwa na kutekelezwa kwa moyo wa unyenyekevu. Hata hivyo, hali ya sasa inaonyesha picha tofauti: watawala wetu wengi wanabeba dhambi kwa tamaa za kidunia. Tamaa ya madaraka...
  2. DOKEZO Dkt. Kisenge tafadhali tulia ofisini, JKCI inaharibika

    Dkt. Kisenge tafadhali Tulia ofisini Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), nikueleze. Madaktari wa OPD Sina neno nao isipokuwa mmoja mtu wa Kagera ana lugha chafu sana. Tuanze kwenye kupima BP wahudumu hutoka kila baada ya kupima watu kumi. Pharmacy kumeoza mtu wa computer huwa anachezea...
  3. S

    Njia pekee ya Polepole kuimarisha uongozi nchini ni kujiunga na Chadema au ACT Wazalendo kama mgombea uraisi asaidie kupata wabunge wengi wa upinzani

    Huko nyuma niliwahi kupendekeza kwamba ni vema Raisi Samia ajitoe kuwa mgombea Uraisi na kumwachia Polepole apambane na Lissu, kwa sababu uwepo wa Samia katika nafasi yake unaleta migongano mikubwa ambayo pia inatishia kuanzushwa uhasama kati ya Tanzania bara na Visiwani. Baada ya barua ya...
  4. Mohamed Kawaida: Kila kiongozi akiamua kujiuzulu kwa misingi ya maumivu ya nafsi, hatutokuwa na uongozi

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Mohamed Kawaida amesema kama kila Kiongozi akijiuzulu kwa misingi ya maumivu ya nafsi hakutokuwa na Uongozi wa Taasisi bali wa hisia huku akimwambia Humphrey Polepole aliyejiuzulu Ubalozi wa Cuba kwamba hisia za Mtu binafsi...
  5. U

    Jenerali Ulimwengu: Nchi ni kama haina uongozi. Kwa hali hii ya kisiasa, kuna jambo baya laweza kutokea wakati

    https://youtu.be/pbWyJh60zWk?si=arsKsXtmfdkBEJf- Huyu mzee amewahi kuwa kiongozi Mwandamizi wa serikali ktk awamu za u Rais wa Nyerere, Mzee Mwinyi na mpaka awamu ya Mkapa na anachokisema hapa ni wazi anakijua, habahatishi Anashangaa kuwa, kuna watu (viongozi) ukiwaona wamevaa suti au kanzu...
  6. Kama ni kujiuzulu,alipaswa afanye hivyo enzi za JPM badala yake alitoa kauli kuwa kipindi cha uongozi wao watashikisha watu adabu,huyo ni mfa maji tuh

    Friends and our Enemies, Muda siku zote huwa ni hakimu sahihi sana wa matendo yetu hapa ulimwenguni. POLE POLE,Enzi za mwendazake kipindi ambacho demokrasia ya Taifa hili ilikuwa gizani,uhuru wa vyombo vya habari ulikuwa mashakani,wafanya biashara walipokawa kifungoni na kutakiwa kuishi kama...
  7. K

    Mama atabaki na wapigaji na wanzanzibari kwenye uongozi

    Wapigaji ni washabiki wakubwa wa Mama wapigaji wakubwa ni familia ya kikwete na Mwigulu. Wengine ni Wanzibari ambao ni wafaidika wakubwa wa uongozi wa Mama. Usalama wa taifa, balozi nchi zilizoendelea na sehemu muhimu sasa zinawekwa wapigaji au wanzanzibari. Watu wenye nguvu sasa kutolewa...
  8. Kwanini polepole hakujiuzulu kwenye uongozi wa magufuli kama kigezo ni utawala bora wa kidemokrasia?

    Huyu mtu ndio alikua akitamba kwa "vieite", alikua yupo madarakani ulipofanyika uchaguzi wa serikali wa mitaa uliokua wa hovyo sana na wapinzani kukatwa, alikua yupo kwenye uongozi uchaguzi wa 2020. Kifupi CHADEMA wanasahau sana na ni wepesi kuwa deceived. Polepole anaondoka kwa maslahi yake...
  9. Humphrey Polepole ajivua uongozi: Ni utu, ujasiri au kujipanga upya?

    Wakuu, Leo tunashuhudia jambo ambalo si la kawaida kwenye siasa za Tanzania. Humphrey Polepole mwanasiasa wa muda mrefu wa CCM, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa zamani, Mbunge, na kisha Balozi – ameandika barua rasmi ya kujiuzulu nafasi yake ya uongozi wa umma na ubalozi. Lakini si kujiuzulu tu...
  10. Nchi hii wanasiasa wamejipimia viwango vidogo sana vya uongozi unaocha alama.

    Mrisho Gambo anaamini katika zama hizi watu wa Arusha(mji mkubwa zaidi wa utalii nchini na Africa Mashariki) kufungiwa umeme ambao wanaolipia wenyewe kila kitu ni uongozi unaocha alama! Hivi wastani wa IQ za mwafrika mweusi ni ngapi?
  11. Uimara wa uongozi wa Mangungu

    Wakuu kama mnavyojua kiongozi Bora lazima awe na msimamo usiotetereka hasa taasisi yake inapopitia changamoto yeyote. Mangungu toka Mwaka 2023 amekuwa akisakamwa kila Kona na wanasimba wakinishinikiza ajiuzuru lakini Baba wa watu amekuwa imara kuhakikisha anatimiza ndoto yake ya kuifikisha...
  12. Ludwig erhard: Nchi haiwezi kuendelea ikiwa uongozi upo mikononi mwa wachache

    Aliyekua Waziri wa uchumi wa Ujerumani na baadae Counsellor ambae alifufua uchumi wa Ujerumani baada ya kuharibiwa na vita ya Hitler alindika kitabu chake kinachojulikana kama "Prosperity through competition." Na katika hiki kitabu ameongea mengi ila kikubwa anasema the nation cannot progress...
  13. Watu wenye Ulemavu na Uongozi

    https://www.instagram.com/p/DL6qc3yIgPx/?igsh=MXM2c2ZvZnBuYnR4dg==
  14. Uongozi wa Simba SC nasikia mnataka kuwaacha Nahodha Zimbwe Jr na Kapombe. Kwa Kapombe nawaunga mkono ila kwa Nahodha Zimbwe nakataa 100%

    Na nimesikitika sana kusikia kuwa baadhi yenu Viongozi wa Simba SC ambao nawaheshimu Personally mkisema kuwa moja ya sababu Kuu ya kutaka kumuacha Nahodha Mohammed Hussein Zimbwe Jr Tshabalala ni kuwapiga Miba (Kuwaroga) Mabeki wazuri wa Nafasi yake ambao wanamzidi Uwezo. Ngojeni leo...
  15. Ushauri , Sisi watu weusi mambo ya uongozi hatuyawezi tukubali nafasi kama Rais , mawaziri na makatibu wawe ni wazungu .

    Wakuu . Mimi nimetembea duniani kote USA UK France German N.k Tukubali tu kuwa sisi watu weusi mambo ya kutawala nchi hatuyawezi Ila tunachoweza ni kuwa chini ya utawala wa MTU Fulani . We are not organized Angalia nchi Kama Venezuela haina , Gas , haina mafuta Ila ni moja ya richest...
  16. Uongozi wote wa Mzee Hassan Dalali Simba SC Kitakwimu Yanga SC ilifungwa mfululizo na zaid ya mara 5 yao, angalieni Takwimu zenu vizuri

    Siku nyingine muwe mnawaambia hao Waandishi wenu walio katika Payroll zenu wajikite zaidi katika Data and Research Journalism ili wenye Akili kubwa tusiwafharau na tusiwaone Wapumbavu. Imeisha hiyo.....!!!!!!
  17. Kuna Taarifa zinasema Chaz Lee amekamatwa naomba uongozi wafatilie hizi taarifa kama ni sahihi.

    Chaz Lee inasemekana amekamatwa . Naomba uongozi wa JF ufatilie hili swala. Sehemu za kufatilia ni kwa Malisa GJ n.k
  18. Eti wakuu, kweli bado nchi za Kiafrika katika uongozi thabiti zina nafasi ya kufikia prosperity? au muda umeisha tukimbia, tutakuwa tunafukuza upepo?

    Ni dhahiri kwamba miaka 60 kurudi nyuma chi kama singapore na malaysia zilifanana umasikini wa kwetu Afrika. Ila leo ni nchi ambazo zinakimbiza kimataifa. Sisi tumebakia na tabu ambazo hata babu yako aliekufa akipigana na wakoloni kwa ajili ya ukombozi wa taifa lake atashangaa sana. KARIBUNI:
  19. Ukitaka kua Rais TFF ama uongozi wa juu, lazima uwe na PESA pole sana ndugu yangu Ally Mayay

    Asalaam Aleykum TUSIDANGANYANE hapa ama kuzungukazunguka, kwenye uongozi wetu wa mpira wa miguu nchini umejaaa figisu na tumeshaamza kuziona ila ukweli ni kwamba kama huna PESA huwezi kukalia hivyo viti, bila pesa hizo endorsement utazipata vipi? Pole sana kaka yangu Mayay Ally, ni pesa tu huna...
  20. Upinzani Iran waanza maandalizi ya kupokea uongozi maana ni dhahiri Ayatollah atalazwa muda usio mrefu

    Wana mpango wa kuiweka nchi kwenye mfumo wa kidemokrasia na kuondokana na uzombi wa dini ya muarabu... Reza Pahlavi, the eldest son of the last Shah of Iran and the former crown prince, said that plans are in place for a 100-day transitional period if the Islamic Republic regime falls in war...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…