uongo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kwanini watu wenye viherehere, wanaojiongeza nje ya majukumu yao na wanaongea kwa ujasiri hata kama ni uongo ni rahisi kufanikiwa?

    Wakuu nimefanya utafii uchwara nimegundua Watu wenye viherehere, wanaojiongeza nje ya majukumu yao, wanaoongea kwa ujasiri na kujiamini mambo ambayo hawayafahamu vizuri ni rahisi kufanikiwa. Nimeona watu wa namba hii katika mazingira tofauti zaidi ya watu kumi. USHAURI NINI UFANYE. 1:Usiwe...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali ya Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete hazikupika takwimu za uongo za viwanda

    Wachumi na wanahistoria naomba mnisaidie Serikali za Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Jakaya hazikufanya udanganyifu wa takwimu za uwepo wa viwanda vipya Tanzania. Naamini hata Serikali ya awamu ya tano haiwezi fanya kosa Kama Hilo la kupika data za kiuchumi. Hivyo wanavyosema ndani ya miaka minne...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nimeshindwa kusema uongo kwa kisingizio cha uzalendo

    Wandugu; kuna inquiry kutoka nje (mimi ni mwanachama kwenye forum fulani inayojihusisha na investments kwenye agribusiness na SMEs). Kuna potential investor ameniuliza maoni yangu - akinukuu alichosema Dangote miaka miwili iliyopita na kuhusu maneno yasemwayo na watawala wetu - kuhusu hali ya...
  4. JamiiForums Tanzania Tetesi: CCM si wamoja, hamna siri. Kumbe kamati kuu yenu iligawanyika pakubwa kuhusu sakata la kufukuzwa Membe?

    Kati ya wajumbe wote wa kamati kuu ni watu watatu tu pamoja na msemaji wao ndiyo waliounga mkono Membe kufukuzwa. Hata aliyeongoza Tume ya Maadili, yaani Mzee Philip Mangula alipinga Membe kuvuliwa uanachama wa chama hicho, imedokezwa. Wajumbe wengi walipendekeza Benard Membe kufungiwa kufanya...
  5. JamiiForums Tanzania Malalamiko mbalimbali kuhusu mabadiliko ya vifurushi yaliyofanywa na mtandao wa Tigo kwa mwaka 2020

    MALALAMIKO MBALIMBALI YALIYOTOLEWA NA WADAU: Habari za mida hii wakuu, hivi haya mabadiliko ya bando za Tigo ni kwangu tu au kwa watu wote? Maana daah bando zimekuwa ghali sana kwa sisi Wananchi wanyonge. ===== --- --- --- --- --- --- ===== WADAU WENYE MTAZAMO TOFAUTI: --- ---...
  6. JamiiForums Tanzania Napenda sana mtoto, lakini najua mtoto si wangu. Ila mdada analeta ghasia. Nifanyeje? Nipo Marekani kwa sasa. Naomba ushauri

    Wadau Yamenikuta. Sitaki kuandika story ndefu sana. Lakini huyu mdada nilikutana naye nilivyokuja Tanzania na alinifanyia vituko ambavyo kwa kweli siwezi kuviandika hapa. Tokea nimwache amekuwa ni ghasia kweli. Nilishapima mimba naye na nikamkuta ameficha mkojo kwenye nguo ya ndani sababu...
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchina asema kinachoenezwa na Tanzania kuhusu bandari ya Bagamoyo ni uongo

    Asema asllimia kubwa ya sababu ambazo Tanzania ilitumia kubamiza mradi ni uwongo maana hazijawahi kujadiliwa kwenye kikao chochote au siku yoyote. --------------------------------- China’s largest port operator has accused the government of Tanzania of spreading “false information” and...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…