Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Ameonyesha Kuumizwa sana na Kifo cha Marehemu Jenista Mhagama Aliye tangulia mbele za Haki kwa kifo cha Ghafla kilichotokea siku chache zilizopita.
Rais wetu ametoa hotuba yake kwa namna ya kipekee sana ,namna iliyogusa Mioyo ya watu wengi sana waliokuwa...
Wakuu!
Tupo kwenye joto la uchaguzi mkuu hapa nchini, na tumeona baadhi ya wagombea wakionyesha maisha ya kawaida kwa wananchi ni kama kujishusha na kuishi maisha ya hadhi ya chini.
Hata hivyo, je, wananchi wanawezaje kutofautisha kitendo halisi cha unyenyekevu cha mgombea na propaganda...
Wema na unyenyekevu ni vya kumfanyia baba na mama, mjomba na shangazi, bibi na babu.
Ila system endelevu za maisha hazijatengenezwa kwa ajili ya mtu alio fair bali zimetengenezwa kwa ajili ya mtu alie fit.
Tofauti na hapo utabaki kunung'unika na kulaani, kwamba iweje upole na fairness...
Wadau hamjamboni nyote?
Huku ndiyo ukweli hata kama unaumiza ila ndiyo ukweli
Kanisa Katoliki lafundisha utii na unyenyekevu pamoja na tafakuri ya kina kwa waumini wake wote
Hali ni tofauti na huku kwetu kila muumiini anajiona anajua na anayo mamlaka kuhoji au kumuhoji hata mchungaji wake...
Bila kujal chama au rank, tofauti na nyerere ni kiongozi gan katika historia ya taifa letu anatik box za ueled, unyenyekevu, uwajibikaj na utekelezaji
Moja ya kitu cha kishujaa niliwahi kuona ni pale Nyerere alipo admit makosa yako katika hii interview aliyofanya tena akihojiwa na mtu alie...
Habari wanaJf,
Kuna binti nipo nae kwenye mahusiano yakususua karibu mwaka wa pili huu. Huyu binti kipindi anasoma chuo kwa bahati akapata ujauzito na kufanikiwa kupata mtoto. Mwanzo alikuwa anaogopa kuniambia kama ana mtoto ila akaja akaniambia ukweli.
Sasa kamaliza chuo anataka kuja kwangu na...
Adui namba moja wa mwanadamu ni "Sifa"
Sifa ni neno dogo lenye herufi nne, lakini limeumiza, limeangamiza, limeua na limepoteza haiba, roho, nafsi, karama, vipaji na uwezo wa wanadamu wengi sana duniani.
Bila shaka wahenga walijua madhara na athari za sifa, wakaonya kuwa "mgema akisifiwa tembo...
Heri Wana Jukwaa na Hongera Kwa majukumu ya leo. Nilipata nafasi kuungana na watanzania na wafiwa katika kumuaga Mhe. Mafuru (Late).
Baada ya jambo Hilo kwisha na viongoz wakuu kuondoka nani nikajitokea mdogo mdogo nikawa nawaaga wajasiria Mali waliokuwa wakiuza leso na maji pale getini...
Ndugu zangu Watanzania,
Ukiachana na uchapakazi , uzalendo na kubadilika kulingana na Mazingira kwa Mheshimiwa Jenista Mhagama.
Lakini ukweli unabakia kuwa heshima na unyenyekevu wake ni miongoni Mwa vitu vinavyomfanya kujenga ushawishi kwa kila Rais anayeingia Madarakani kumuweka katika...
Wasalaam
Kwa jinsi police wanavyojituma kukamata viongozi wa upinzani na kuwafungulia kesi mbalimbali ni dhahiri wanalipwa pesa nyingi sana na serikali ya ccm. Naomba kwa mwenye kujua anijuze hawa wana usalama wa ccm wanalipwa kiasi gani kwa mwezi?
Habari wakuu I real hope you are doing good
Nimekua nikijiuliza kwanini mtu anapoenda mgahawani kuomba huduma ya maji ya kunywa pasipo kuitaji hudumu upata mapokezi mazuri hita pale ambapo mmiliki wa mgahawa anapokua na mauzo yasiyoridhisha
Hii imekaaje ndugu zangu?
Nilimsika Padre mmoja jumapili tatu zilizopita akihubiri juu ya suala zima la wito, yalikuwa ni mahubiri ya kina ambapo aliamua kufundisha kuhusu wito na michakato yake maishani.
Padre yule alielezea kuwa adui wa ajira nyingi za watu mbalimbali ni ukosefu wa sifa ya unyenyekevu katika maisha...
Mheshimiwa Rais, suala la Mkataba wa Bandari limefichua nyufa kubwa za Taifa letu hasa katika suala la Dini, Muungano, Ukabila, Ukanda, Jinsia na Itikadi za Siasa. Sasa naomba nikushauri kwa unyenyekevu mkubwa epuka mtego wa wasaidizi wako hasa huu wa kukamata watu na kuwaambia ni wahaini.
Huu...
Fikiria mtu ana Ulinzi kila sehemu, misafara gari kibao (wakat mwingine mpaka helikopta), Afya check-up Ulaya, anakula chochote anachotaka Ila kifo kinakata hizo mbwembwe zote ndani ya sekunde chache. Tukanyage Ardhi hii Kwa adabu na UNYENYEKEVU. Pia tumche MOLA na tuheshimu binadamu wenzetu...
UNYENYEKEVU SIO UTUMWA, UNYENYEKEVU NI BUSARA KATIKA UONGOZI; MSIZARAU SAUTI ZA WATU, MSIZARAU VILIO VYA WATU, WASIKILIZENI
Imeandikwa na: MwlRCT
UTANGULIZI
Katika makala hii tutaangazia kauli ya ndugu G. Lema (2023 Jun 19), ambaye alisema "Unyenyekevu sio utumwa, unyenyekevu ni busara katika...
Zipo picha nyingi za ikulu ile ya awamu ya kwanza. Huwa zinatukumbusha mambo mengi, yakiwemo mazuri na mabaya pia. Ni kumbukumbu zinazotunzwa ili angalau ziwaonyesha watoto na wajukuu ule utamaduni mzima wa uongozi wa awamu ya Mwalimu Nyerere ulikuwa vipi.
Ipo picha ya Mwalimu akiendesha...
Nimekumbuka vitu kadhaa leo ngoja nijitahidi kuandika japo sio mwandishi mzuri sana.
Kunawakati tunapitia vitu vingi na tunakutana na watu wengi tofauti tofauti kwenye maisha wenye kutufurahisha na kutukwaza lakini tujitahidi kujifunza ustaarabu na unyenyekevu hasa tunapokwazika inawezekana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.