Manchester United imefuta kazi ya meneja wake, Ruben Amorim, hatua iliyofuata matokeo mabaya ya timu katika michezo ya hivi karibuni.
Uamuzi huu umefanywa na klabu asubuhi ya leo, Januari 5, 2026, mara baada ya mlalamiko wa Ruben Amorim jana kwa kukosoa Uongozi wa Old Trafford baada ya sare ya...