unapendelea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Unapendelea muonekano gani wa battery level kwenye screen ya simu yako?

  2. JamiiForums Tanzania Kwanini watu wenye asili ya uweusi wanapendelea wadada wenye makebo makubwa ila vijana wa ngozi nyeupe wanapendelea wadada wenye maanabeli makubwa?

    Ni ishu ya DNA au tu mazoea. Maana huku kwetu wadada wenye makebo mapana ndio habari ya mjini ila wazungu ni mabinti wenye maanabeli mapana.
  3. JamiiForums Tanzania Kati ya minara na parachute unapendelea yapi zaidi?

    Eti mabaharia😜
  4. JamiiForums Tanzania Unapendelea juisi ya tunda gani?

    Nawasalimu wote, Mimi napenda sana kunywa jusi ya nanasi na parachichi natupia na pasheni inanukia na inakuwa tamu sana. Juisi hii huwa siweki sukari hata kidogo kutokana na utamu wa nanasi nasaga matunda hadi yanalainika sana, nachuja naweka kwa kipozeo tayari kwa kunywa taratibu. Wewe...
  5. JamiiForums Tanzania Vitu gani unapendelea zaidi kwenye simu

    Kutokana na watu wengi wanatumia smartphone kwa matumizi yao ya kila siku.Matumizi hayo yanaweza kuwa kibiashara, kielimu, ajira n.k. Katika ichi yetu kuna watimiaji wa smartphone kutoka kampuni mbalimbali, na simu izo huwa na vitu vina fanana na vingine kutofautiana. Bila kusahau Tanzania kuna...
  6. JamiiForums Tanzania Kati ya supu zote unapendelea ipi?

    Binafsi napenda sana supu ya samaki tena napenda kuagiza kichwa maana bila ya kula jicho sijajickia kama nimekula. Lakini pia kama hakuna napenda supu ya bata huniburudisha kwa radha yake kama hutotokwa jasho basi una matatizo kiafya. Haiishi hamu unatamani uendeleeeeee. Wewe unapenda ipi?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…