unahisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Unahisi Hii Hali ya Bei za Mafuta Kupanda Inaweza Kudumu Mpaka Lini? Na nini Kifanyike Ili Kujinasua na Kupanda Kwa Bei Za Mafuta?

    Unahisi Hii Hali ya Bei za Mafuta Kupanda Inaweza Kudumu Mpaka Lini? Na nini Kifanyike Ili Kujinasua na Kupanda Kwa Bei Za Mafuta? Kupanda kwa bei za mafuta kunaathiri maisha ya kila siku na uchumi kwa ujumla. Ili kujinasua na hali hii, yafuatayo yanaweza kufanyika: 1. Kujenga viwanda vya...
  2. Unahisi ipi ni hamasa kuu ya mwanamke katika mahusiano ya kimapenzi?

    Unahisi ipi ni hamasa kuu ya mwanamke katika mahusiano ya kimapenzi?
  3. Unahisi nini kinafanya wanadamu wasiishi kwa amani?

    Unahisi nini kinachostopisha wanadamu wasiishi kwa amani?
  4. Unahisi ni misemo gani ya wahenga ambayo haina nguvu kwa kizazi hiki kipya?

    Mimi binafsi naamini misemo hii baadhi haina nguvu hivi sasa, kwa mfano -Aliejuu mngoje chini, Vijana wasasa hawana mda wa kupoteza wanakufuata hukohuko juu -Mshika mawili moja humpokonyoka, kizazi cha sasa hawashiki moja maana wanaamini ni uvivu Tiririka nawewe misemo ambayo unaona wahenga...
  5. Kama kijana unaejitafuta na unahisi umefikia wakati wa kuoa, hizi hapa ni aina za wanawake wetu Tanzania

    WANAOPENDA SANA MAHABA Kuna jamiii ziliwafundisha/zinafundisha wanawake au watoto wa kike kumlea mme, hapa wapo kutoka mikoa ya Tanga, Tabora, Pwani na baadhi ya maeneo mwambao wote wa pwani ya bahari ya hindi Jamii ya watu hawa wamefundwa haswa kulea mme ukioa huko kwenye hiyo mikoa utapewa...
  6. Hela cash ukiificha sehemu unakuwa na hofu muda wote unahisi umeonekana ukiwa unaificha

    Kuna zile moment unakuwa na hela nyingi ghafla halafu ulizimiss kushika mkwanja mrefu sasa kuziacha Katika account NI kama roho hairidhiki unatamani uzishike shike uzioneone yaani uwe nazo karibu cash Tu mambo ya tozo na makato na miamala kwa muda uyasahau. Sasa kimbembe kinakuja pale sehemu...
  7. Ni position gani usipoifanya wakati wa tendo unahisi kabisa mchezo haujakamilika vizuri?

    18+
  8. Unahisi kwanini mwendokasi umeshindwa kutatuta changamoto ya usafiri katika jiji la DAR?

    Wakuu ==== Katika miaka ya hivi karibuni, Serikali ya Tanzania kupitia DART (Dar Rapid Transit) imekuwa ikifanya jitihada kubwa za kuboresha mfumo wa usafiri wa umma jijini Dar es Salaam kwa kununua magari ya mwendokasi. Hata hivyo, licha ya uwekezaji huo mkubwa, changamoto bado ni kubwa —...
  9. Unahisi Gwajima alikuwa na waandishi wa habari kweli?

    Ukifuatilia hiki kipande cha picha mjongeo, unapata picha gani?
  10. M

    Hivi kwa mfano nchi za Ulaya wakilupuana na manyuklia wazungu watakao baki hai unahisi wakimbilia bara gani kati ya Afrika na Amerika kusini?

    Kichwa cha habari cha husika ..maana kwa hesabu za haraka haitapita miaka 50 bila hili kutokea
  11. Nani huwa inamkuta hii?

    Kuna mda ukikaa unajikuta kama umepoteza mwelekeo,, unapoteza interest ya vitu alafu unajikuta huelewi maisha ako yanaendaje 😞
  12. Alijioa na kujipa takaka: Unahisi alimiss nini huyu

    Mnamo Septemba 2021, mwanamitindo kutoka nchini Brazil Cris Galera, alifunga ndoa na kujioa mwenyewe kwa sherehe aliyoalika ndugu jamaa na marafiki, Na alipoulizwa sababu ya kufanya hivyo alidai, anachokitaka zaidi ni uhuru wake na kujipenda kuliko kumpenda mtu mwingine. Lakini katika hali ya...
  13. Huyu jamaa unahisi yupo sahihi kuhama Dini?

    Itakuaje kama na upande anaohamia ukawa haukemei. Unahisi yupo sahihi?
  14. R

    Unahisi nani ni bingwa wa ⚽ Fifa 🎮 Play Station hapa Bongo

    Ni game iliyojizolea umaarufu hapa nchini, ningependa kuwajua mafundi wake watukutu
  15. Unahisi biashara yako inasuasua? Huenda hii ndio sababu kuu kwa 99.9%

    Ijumaa kareem wana JF Leo nimekuandalia hii thread ambayo inaweza ikakusaidia wewe mtu unayetaka kuingia kwenye biashara ya aina yoyote ile iwe ni kilimo, ufugaji au hizi biashara za kwenye frame hapa panakufaa. Kabla ya yote inatakiwa utambue ya kwamba kuna kitu kimoja ambacho biashara zote...
  16. Kitu unahisi unakifanya tofauti na wengi wanavyokifanya?

    Niaje wakuu, bonjour comment cava! Kama title inavyosomeka, share chochote unachoona unakifanya kwa utofauti kinakusaidia kwenye mahusiano yako,kazi/ajira yako, biashara yako, ama elimu yako. Au hata kama hakikusaidii lakini unakifanya kwa upekee. Cc: Binti Sayuni03 | Vincenzo Jr | Mwachiluwi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…