Akinyele Umoja (born 1954) is an American educator and author who specializes in African-American studies. As an activist, he is a founding member of the New Afrikan People's Organization and the Malcolm X Grassroots Movement. In April 2013, New York University Press published Umoja's book We Will Shoot Back: Armed Resistance in the Mississippi Freedom Movement. Currently, he is a Professor and Department Chair of the Department of African-American Studies at Georgia State University (GSU).
Wakuu,
Mei 5 Serikali ya Tanzania ilisaini hati 3 za makubaliano na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kwa mpigo;
1. Rais Samia na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), Abdullah Bin Zayed Al Nahyan, wakishuhudia utiaji saini wa Hati ya Makubaliano baina...
==
Bila kujali mfugaji unamifugo mingapi Mama Samia atakupa chanjo na hereni kwa mifugo yako yote bure kabisa.
Serikali inatarajia kuzindua Kampeni ya Chanjo ya Mifugo Kitaifa kati ya mwezi Mei hadi Juni, 2025 ambapo jumla ya dozi 19,099,100 za chanjo ya Homa ya Mapafu ya Ngombe (CBPP)...
UISLAM ULIVYOUNGANISHA NA KUJENGA UMOJA WA WANANCHI
(DINI ILIVYOWAUNGANISHA WATANGANYIKA DHIDI YA UKOLONI: NAFASI YA DUA NDANI YA TANU VISOMO VYA QUR'AN NA DUA ZILIZOFANYIKA WAKATI WA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA)
Inategemea watu watakavyoitumia dini.
Dini inaweza kutumika kuwaunganisha watu...
Labda neno kitanuka kwa tafsiri ya CCM ni kubeba bunduki na kuingia mitaani kupigana ,lakini ukweli ni kwamba tayari kimenuka ! Mataifa yote yaliyokuwa yanaamini Tanzania kuna demokrasia na haki ,wanashangaa wananyimwa hata haki ya kuingia mahakamani ! Mahakama inazingirwa na vikosi vya jeshi ni...
25 Aprili 2025
JAMIIFORUMS NI JUKWAA KUBWA LA MEDIA, NAAMINI WATU WAMEITAFAKARI HOTUBA PIA TOFAUTI NA MEDIA ZINGINE TUNAWEZA KUIJADILI ILI KUJENGA TAIFA
Leo mheshimiwa rais wa Jamhuri ya Muungano, jioni tarehe 25 Aprili 2025 alitoa hotuba inayo semekana aliongea na taifa.
Je wewe kama...
Hali ya kisiasa Tanzania sasa ni ngumu, na CHADEMA iko kwenye wakati wa changamoto kubwa. Wananchi wanapigwa na polisi, viongozi kama Tundu Lissu na John Heche wanakabiliwa na ukandamizaji, na haki za msingi zinakiukwa. Hapa kuna ushauri wa kimkakati kwa CHADEMA, kwa uchungu na mwelekeo wa...
Ripoti za ndani ya nchi zisizokuwa na shaka zinaonesha kuna wizi mkubwa wa fedha za umma katika mamlaka na kuna ukamataji na utekaji wa wale wanaopigania haki na kukemea wizi na rushwa kwa serikali ya Tanzania na kuhamasisha uchaguzi wa haki kuelekea uchaguzi mkuu.
Nitoe wito kwa umoja wa...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb) ameeleza kuwa hatma ya maendeleo ya kiuchumi Barani Afrika inategemea umoja ulio imara wa bara hilo.
Waziri Kombo ameeleza hayo alipochangia mjadala kuhusu “Kukua kwa Nafasi ya Afrika katika Siasa za...
Umoja wa Mataifa ni taasisi ya kidiplomasia, sio jeshi au mahakama ya dunia. Katika strategy ya hovyo ya chadema ni kupeleka saini umoja wa mataifa.
Kama unaweza kukusanya saini 15 milioni, hizo ni kura za kushinda urais kabisa. Sasa kwa nini hao 15 milioni usiwageuze wakawa wapiga kura wako...
JUST IN: 🇪🇺 🇺🇸 European Union to impose between 10% and 25% tariffs on US goods.
https://x.com/WatcherGuru/status/1909962445570834677?t=BG_6OJW2HO9f-l2Eos6FPQ&s=19
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Jumanne Muliro, ameandaa hafla ya Iftar nyumbani kwake Kimara, Dar es Salaam, Machi 22, 2025, kwa lengo la kuimarisha mshikamano ndani na nje ya jeshi la polisi.
Akitoa tamko la kuiarifu dunia kuwa Israel imerudi vitani Gaza,waziri mkuu wa Israel amesema wanaendelea kupambana huko Gaza dhidi ya Hamas kwa kutumia nguvu zao zote.
Naye Donald Trump mara baada ya kuuliwa kwa watu zaidi ya 400 huko Gaza hapo juzi aliipongeza akisema Israel ililazimika...
17/03/2025, the Council imposed restrictive measures on nine individuals and one entity responsible for acts that constitute serious human rights violations and abuses in the Democratic Republic of the Congo (DRC), for sustaining the armed conflict, instability and insecurity in the DRC and...
Nchi ya Niger imejitoa rasmi kutoka umoja wa nchi zinazotumia lugha ya kifaransa pamoja na zile zilizokuwa makoloni ya Ufaransa ujulikanao kwa lugha ya kifaransa kama Organisation Internationale de la Francophonie ( OIF).
Taarifa ya kujitoa huko ilitolewa na wizara ya mambo ya nje ya Niger...
Heshima,hadhi na nguvu ya Taifa la Tanzania haikuja kwa majaliwa ya Mwenyezi Mungu ila ilikuwa ni kutokana na umadhubuti,dhamira ya dhati na utashi ambao Waasisi wetu wa Taifa walilijenga.
Falsafa juu ya heshima ya utu wa mwanadamu,uhuru na Kazi pamoja na kiu ya kuwa na Taifa la Watu...
Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir ametoa wito wa utulivu nchini humo kufuatia kushambuliwa kwa helikopta ya Umoja wa Mataifa siku ya Ijumaa.
Kulingana na jeshi la Umoja wa Mataifa la kulinda amani Sudan Kusini (UNMISS) watu kadhaa wanahofiwa kufa na wengine kujeruhiwa baada ya helikopta ya Umoja...
Hungary, chini ya Viktor Orbán, imekuwa ikidhoofisha umoja wa Mataifa ya Magharibi kwa uthabiti, hasa ndani ya Umoja wa Ulaya (EU) na NATO, kwa kujipendekeza kwa Urusi na kuzuia maamuzi ya pamoja. Hatua ya Bunge la Ulaya ya kuiondolea Hungary haki ya kupiga kura siyo tu inayostahili bali pia ni...
Baada ya malalamiko ya waalimu wasio na ajira kuishinikiza serikali kutatua changamoto zao sasa inaonekana kuna kundi jingine la vijana wasio na ajira linaibuka.
Ukiachana na hayo makundi mawili kuna hili kundi la vijana kutoka JKT wanarudishwa makwao for fun na wanapewa wengine nafasi kwa...
Katika kikao kilichokaa jana tarehe 21.2.2025 na kilichojadili madhira na matatizo ya vita nchini DRC, umoja wa Ulaya umethibitisha rasmi kwamba vikosi vya Jeshi la Rwanda vinawasaidia wanamgambo wa M23 kufanya utekaji na mauaji nchi DRC hali inayopelekea kukosa utulivu katika eneo zima la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.