umoja

Akinyele Umoja (born 1954) is an American educator and author who specializes in African-American studies. As an activist, he is a founding member of the New Afrikan People's Organization and the Malcolm X Grassroots Movement. In April 2013, New York University Press published Umoja's book We Will Shoot Back: Armed Resistance in the Mississippi Freedom Movement. Currently, he is a Professor and Department Chair of the Department of African-American Studies at Georgia State University (GSU).

View More On Wikipedia.org
  1. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo amuaga Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini

    Waziri Kombo amuaga Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amekutana na kuagana na Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Christine Grau, kufuatia kukamilika kwa muda wake wa uwakilishi nchini. Katika...
  2. JamiiForums Tanzania Je, iran akimshambulia ukraine, umoja wa ulaya utaingia katika hii vita?

    Baada ya Ukraine kushambulia meli za Iran zilizokuwa zinaelekea Urusi, IRGC imeapa kushambulia bandari za Ukraine. Kumbuka Ukraine inasaidiwa pakubwa na umoja wa Ulaya kujihami dhidi ya Urusi. Will EU just watch?
  3. JamiiForums Tanzania Wanachama za SADC wahimizwa kuwa na umoja wenye malengo kukabiliana na changamoto zenye madhara ya Kiuchumi

    Nchi wanachama za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) zimehimizwa kuwa na umoja wenye malengo katika kukabiliana na changamoto zinazoibuka duniani ambazo zisiposhughulikiwa ipasavyo zitakuwa na madhara makubwa katika usalama na uchumi wa nchi wanachama. Hayo yamejiri Julai 16, 2026...
  4. JamiiForums Tanzania Umoja wa Machief: Mbeya atakayeandamana atakuwa halali yetu

    Umoja wa Machief wa Kabila la kisafwa pamoja na kabila la Kinyakyusa Mkoani Mbeya wamekutana Julai 02, 2026 kwa lengo la kupaza sauti zao kukemea na kupinga vikali Tetesi zinazosambaa Mitaani na Mitandao ya kijamii zikidai mapema Mwezi huu Julai Saba 2026 kutakuwa na Maandamano nchi nzima...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia akiwa na Balozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), aliyemaliza muda wake nchini Tanzania

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), aliyemaliza muda wake nchini Tanzania, Khalifa Abdulrahman Almarzouqi, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 26 Juni, 2026.
  6. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo afikisha salamu za Rais Samia kwa Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb), amewasilisha ujumbe maalum wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Mhe. António Guterres, na kusisitiza dhamira ya Tanzania ya...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Hivi, Team Samiah (Russia, China na Umoja wa Falme za Kiarabu na washirika wake)vs Dkt. Nchimbi (USA, European union, Israel, Vatican) nani atashinda?

    Mtanange unaendelea, nani ataibuka kidedea!!? Sisi wamatumbi tupo upande gani!?tujifiche upande wa Mungu na maombi kama kina sisi!!? Kule Zanzibar naona wameanza kuchochea kuni ili kuvunja muungano,ubaguzi wa wazi kabisa kuhusu huduma za umma kwa watanganyika kana kwamba Zanzibar sio sehemu ya...
  8. JamiiForums Tanzania Uwekezaji wa China nchini Morocco waleta wasiwasi wa Umoja wa Ulaya?

    Gazeti la Financial Times la Uingereza hivi karibuni limechapisha ripoti kuhusu makampuni ya China kuwekeza na kuanzisha viwanda katika Bustani ya Teknolojia ya Tangier nchini Morocco. Katika ripoti hiyo, Kamishna wa Biashara wa Umoja wa Ulaya Maroš Šefčovič alirudia kauli ya “uwezo wa...
  9. JamiiForums Tanzania Maajabu ya Umoja wa Mataifa kuhusu Israel

    ⚠️Picha za picha kali sana⚠️ GRAPHIC-VIDEO Umoja wa Mataifa umeongeza vyombo vya Israeli kwenye orodha yake nyeusi ya unyanyasaji wa kijinsia unaohusiana na migogoro kwa mara ya kwanza, ukitaja Huduma ya Magereza ya Israeli katika ripoti ya 2026 na kuweka mamlaka zingine za Israeli chini ya...
  10. JamiiForums Tanzania Umoja wa waarabu wanawanyanyasa MaShia kwa kuwafunga, kuwafukuza na kufunga misikiti yao. Hili halitavumilika. Laana za Allah ziwe juu yao

    MAADUI WA WAFUASI WA AHLUL BAIYT WANAZIDI KUJIDHIHIRISHA KWA KUKAA UCHI. Umoja wa kiarabu washenzi wa kiwahabi Saudia, Qatar, Bahrain, UAE na Kuwait wenye asili ya Kiyahudi wameanza kuwafukuza Mashia kwenye nchi zao, kutaifisha mali zao na hata kufunga misikiti yao. Ukweli ni kuwa wanarudisha...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Iran YAISHAMBULIA kwa makombora Umoja wa Falme za Kiarabu muda huu

    Yanayojiri yanatisha. Iran launches four cruise missiles at the UAE. The United Arab Emirates reported that four cruise missiles were launched from Iran toward its territory-three were intercepted and one fell into the sea.
  12. JamiiForums Tanzania CCM ikishirikiana na vyama vibaraka wameunda umoja wao

    Baada ya Chadema kurudi kwenye siasa CCM imeanzisha umoja wa vyama vilivyoshiriki uchaguzi, umoja huo umepewa jina la "VYAMA RAFIKI". Lengo la umoja huo ni kuisaidia CCM kupambana na CHADEMA. Kazi ya kupambana na Chadema ilianza jana huko kanda ya ziwa ambako walianza kwa kumsifu Rais Samia...
  13. JamiiForums Tanzania Ripoti ya Chande: Hatua ya Umoja

    Sasa ni wakati wa kupona, kuwajibika na kusonga mbele kwa umoja. Ripoti hii ni hatua ya mwanzo ya mustakabali imara.#RipotiYaChande Tume Ya Uchunguzi
  14. JamiiForums Tanzania Silinde azindua baraza la Sita la wafanyakazi tume ya taifa ya umwagiliaji, ahimiza umoja na uwajibikaji

    📍NIRC Dodoma. Naibu Waziri wa Kilimo, Mhe. David Silinde, amezindua Baraza la Sita la Wafanyakazi la Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC), huku akitoa wito kwa watumishi wa Tume hiyo kudumisha umoja na kutokubali kukatishwa tamaa na sauti chache za watu wasiothamini kazi nzuri inayofanywa na...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Tume ya Chande. Imevunja Umoja wa Tanganyika na Zanzibar

    Tunzeni hii kumbukumbu
  16. JamiiForums Tanzania Ukabila na Nepotism Serikalini: Janga Linalotafuna Utawala Bora na Umoja wa Kitaifa 🇹🇿

    Tanzania imekuwa mfano wa kuigwa barani Afrika kwa kuwa na umoja wa kitaifa unaovuka mipaka ya makabila zaidi ya 120. Hata hivyo, hivi karibuni kumeanza kujitokeza viashiria vya hatari ambapo baadhi ya wanasiasa wenye madaraka wanatumia nafasi zao kujenga mtandao wa upendeleo unaozingatia asili...
  17. JamiiForums Tanzania Umoja Wa Makanisa Ya Kipentekoste(CPCT) Tabora Yakana Tuhuma "Mapenzi Ya Jinsia Moja"

    Baraza la Umoja wa Makanisa ya Kipentekoste (CPCT) Mkoa wa Tabora limeiomba Serikali kuruhusu kuendelea kwa mkutano wa injili unaotarajiwa kufanyika kuanzia Machi 19 hadi 22, 2026 ukiongozwa na Mchungaji Dkt. Dana Morey kutoka Marekani. Ombi hilo limekuja baada ya Serikali ya mkoa kusitisha...
  18. JamiiForums Tanzania Umoja wa Mataifa waeleza matumaini yake kwa Tume ya Jaji Chande

    Mtaalamu Maalum wa United Nations kuhusu haki ya uhuru wa kukusanyika kwa amani na kujumuika, Gina Romero, ameipongeza Tanzania kwa kuunda tume huru ya uchunguzi kuhusu matukio ya vurugu ya Oktoba, akisema hatua hiyo inaonyesha dhamira ya nchi hiyo kulinda haki za binadamu. Romero alitoa kauli...
  19. O

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Afrika (AU) umeonyesha wasiwasi mkubwa kuhusu mashambulizi ya Marekani na Israel dhidi ya Iran.

    Kamisheni ya Umoja wa Afrika imeonyesha wasiwasi mkubwa kuhusu mashambulizi ya kijeshi ya Marekani na Israel dhidi ya Iran, ikisema hatua hiyo inaongeza ukali wa mzozo Mashariki ya Kati.
  20. O

    JamiiForums Tanzania Iran imetoa wito kwa Umoja wa Mataifa kufanyia kikao cha dharura Baraza la Usalama.

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, Esmail Baghaei, leo alitaka mkutano wa dharura wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ili kuzuia kile ambacho Iran inakitaja kama mashambulizi ya anga yanayoendelea ya Israeli na Marekani. Amesema " Huu utakuwa mwisho wa taasisi za kimataifa." Vyanzo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…