Umma (Sumerian: ๐๐ต๐ ummaKI; modern Umm al-Aqarib, Dhi Qar Province in Iraq, formerly also called Gishban) was an ancient city in Sumer. There is some scholarly debate about the Sumerian and Akkadian names for this site. Traditionally, Umma was identified with Tell Jokha. More recently it has been suggested that it was located at Umm al-Aqarib, less than 7 km to its northwest or was even the name of both cities.
Na Mwandishi Wetu.
Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imewataka Waandishi wa Habari wa Crown Media kulinda imani ya umma kwa kuzingatia weledi, maadili, uadilifu na uwajibikaji katika utekelezaji wa majukumu yao.
Wito huo umetolewa wakati wa mafunzo ya siku mbili yaliyotolewa na...
Wakili Peter Madeleka amesema kesi inayomkabili ya tuhuma za kudharau amri ya Mahakama Kuu ni suala ambalo wananchi wanapaswa kulifuatilia kwa karibu, akitaka kubainika iwapo kwa mujibu wa sheria, tuhuma za aina hiyo zinapaswa kuchunguzwa na polisi.
Amesema endapo kesi hiyo itafikishwa...
Duniani kote kwa wenye akili vyombo vya usafiri wa umma vinavyobeba watu wengi ndio huhamasishwa na kupewa kipaumbele kuingia katikati ya miji huku usafiri wa vyombo binafsi na vyenye kubeba watu wachache vikiwekewa vikwaza mbalimbali vya kimkati kama vile tozo maalumu za kuingia CBD (congestion...
Unarogwa na maadui unaofanya nao kazi kwa wivu na chuki zisizofaa kimaendeleo.
Uraiani unarogwa na wananzengo ambao hata ukivaa shati na wakiona wewe una uhakika wa kura ugali dagaa wanachukia.
Bado hawara na mke wako wanakuroga na kukugombania kama mpira wa kona.
Waziri wa Usalama wa Ndani, Kipchumba Murkomen, aliwaonya maafisa wa umma, wakiwemo polisi na machifu, dhidi ya kujihusisha na kauli au misemo ya kisiasa wanapokuwa kazini.
Murkomen alitoa onyo hilo Narok Jumatatu, Agosti 11, 2025, akisema maafisa watakaopatikana wakiimba kauli ya upinzani...
https://www.youtube.com/live/pMhiTp9NL64?si=xROoNvI7LdkavRdN
Mjadala wa PPP na Maendeleo ya Tanzania Waendelea Arusha
==
Mjadala kuhusu nafasi ya Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP) katika kuchochea maendeleo ya Tanzania unaendelea leo, Agosti 14, 2026, katika kongamano la Public...
Wazee kama hawa wanatukosea sana vijana. Tukiwakosoa, wanatuona hatuna adabu wala heshima kitu ambacho sio kweli kwa sbb wao ndio wakekosa kujiheheshimu ili na jamii iwape heshima yao..
Laiti angejua kuwa heshima hapewi mtu kwa sababu tu ya umri wake au cheo chake, basi asingeweza kutoa...
Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana Taifa ya Chama cha ACT-Wazalendo, Abdul Omary Nondo ameeleza hayo wakati akihutubia katika kongamano la ACT Wazalendo la Maadhimisho ya Siku ya Vijana Duniani lililofanyika katika Ukumbi wa Mrina, Dar es Salaam, Agosti 12, 2026.
Kama umeangalia utendfaji wao kwa makini basi ni muda tu unasubiriwa.. Si lazima Yanga afungwe ndo Kocha afukuzwe na ni lazima Simba ishinde ndo stiker abaki..
Mimi ni mkazi wa Kata ya Nyamilangano, Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu, Mkoa wa Shinyanga. Ninaomba kuwasilisha malalamiko kuhusu matumizi ya mabomu ya machozi na Jeshi la Polisi katika maeneo ya wazi yanayotumiwa na wafanyabiashara na wananchi kukusanyika.
Kwa mujibu wa hali tunayoishuhudia...
Hivi inaingia akilini kwamba mwenyekiti wenu yupo mahakamani kwa kesi kubwa kuliko zote nchini na mnapuyanga tu kuujulisha umma maendeleo ya kesi? Nini sasa kipo serious kwenu? Mnajua hisia wanazopata wananchi na wanachama wenu kufuatilia mwenyekiti anavyojitetea mahakamani? Na mnajua...
Ahmed Ally jiridhishe kabla ya kwenda hewani, una viongozi waongo, wanakuponza ili uonekane wewe ndiye uliyekuny pale Jangwani.
Nguvu uliyotumia siku ya Simba day kumtambulisha Selemani mwalimu mchezaji wa Simba tumia nguvu hiyohiyo kuuomba radhi umma, wanachama na mashabiki wa Simba.
Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), amesema Serikali itaendelea kuimarisha mifumo ya bajeti na usimamizi wa fedha za umma kwa kuzingatia usawa wa kijinsia, hatua inayolenga kuhakikisha rasilimali za Serikali zinatumika kwa ufanisi katika kuchochea maendeleo jumuishi.
Mhe...
Waziri Ridhiwani Kikwete alitangaza kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, ametoa vibali vya kupandishwa madaraja na vyeo kwa watumishi wa umma waliokidhi vigezo.
Hata hivyo, baadhi ya taasisi bado hazijatekeleza mchakato huo bila kutoa sababu za msingi, licha ya...
Anonymous
Thread
madaraja
umma
upandishwaji madaraja
vigezo
watumishi wa umma
UCHAMISHAJI WA TAASISI ZA UMMA: TISHIO KWA UTAWALA BORA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Katika mfumo wa taifa la kisasa, kuna tofauti kubwa kati ya chama cha siasa, serikali na taifa. Chama cha siasa ni taasisi inayoundwa na watu wenye mtazamo na itikadi fulani za kisiasa. Vyama kama vile...
Habari wana jf kuna hawa watumishi wa umma kwakweli ilibidi wafutiwe baadhi ya tozo unakuta mtumishi kwenye mshahara wake anakatwa kodi 240000 arafu kuna tozo zingine hizi nje ya ajira kwamfano kama akiwa na usafiri parking alipie ushuru akiingia stand alipie ushuru akinunua bidhaa anakatwa kodi...
Utawala wa sheria maana yake nini?
Kama Watuhumiwa wakipotea chadema hawataki na wakipelekwa chadema mahakamani hawataki pia, Wanataka nini?. Kuchoma mali za umma na za wengine hata ukiwa na madai yako binafsi au ukiwa umekasirika sio demokrasia, tuache ujinga.
Haki za wengine hawana habari...