umewahi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wadau, App Gani Mpya Inahitajika Bongo au ni wazo gani la App umewahi kuwa nalo? Shusha Idea Yako Hapa!

    Ni app gani uliwahi kuwish iundwe hapa Bongo lakini bado haipo au haijafika kiwango cha kimataifa? Au kuna changamoto gani uliwahi kukutana nayo ukaona kabisa, "Duh, hapa app ingesaidia!" Huu uzi ni wa kila mtu kushare ideas iwe ni kwa biashara, elimu, afya, usafiri, au burudani. Pengine idea...
  2. JamiiForums Tanzania UMEWAHI MPAMBANIA MTU HADI AKAPATA KAZI KISHA AKAANZA KUPAMBANA WEWE UONDOLEWE KAZINI!??

    Wakuu Habari! Mungu awe nanyi katika mapambano Yenu. Kisa hiki ni chá ukweli na kimenitokea mimi mwenyewe kabisa toka Kwa ndugu yangu mmoja. Nilikuwa nafanya KAZI taasisi moja Hapa nchini Kuanzia mwaka 2021 Hadi mwaka huu mwanzoni. Ni taasisi kubwa yenye malisho mazuri sana. Mwaka 2023 Kuna...
  3. JamiiForums Tanzania Umewahi kuishi nyumba ambayo kila siku wanakula bufee kama kwenye sherehe

    Aisee watu wanakula maisha sio poa Kuna ndugu angu Fulani balozi wa nchi Fulani na ana biashara ya vituo vya mafuta kwake kila siku chakula yu cost yake ni laki 8 asubuhi watu wanaenda sokoni kununua vitu quality wanavileta jikoni wapishi wapo watano wanapika kuku,maharage, ndizi...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Umewahi kuwa kwenye uhusiano na Mtu Mchoyo? Ilikuwaje?

    Tulikutana kwenye mkutano wa kikazi, na mara moja tukaclick. Alionekana mkarimu, mwenye malengo makubwa, na kila mara alinitia moyo kufuata ndoto zangu. Wiki za mwanzo zilikuwa tamu—zawadi ndogo ndogo, meseji za asubuhi na ahadi zisizoisha za maisha bora ya pamoja. Nilihisi niko na mtu sahihi...
  5. JamiiForums Tanzania Umewahi kununua samaki waliokaangwa na baadaye kukuta wameoza

    Umewahi kununua samaki waliokaangwa wakiwa moto moto halafu ile unafika nyumbani unakuta wameoza wote. Hivi ndio leo nimeshinda njaa.
  6. JamiiForums Tanzania Je, Umewahi Kujiuliza Maisha Yana Maana Gani? Labda Ulimwengu ni Mtihani, Maisha ni Somo; Kila Kitu Unachofanya Kina Maana Kubwa Kuliko Unavyodhani

    Ulikuwa njiani kurudi nyumbani, mawazo yakiwa mbali, labda ukifikiria siku yako ilivyokuwa—halafu ikatokea. Ajali ya gari. Hakukuwa na kitu cha pekee kuhusu ajali hiyo; ilitokea ghafla kama zilivyo ajali nyingi. Haikuwa na ukatili wa sinema au miujiza isiyoelezeka. Ilikuwa tu… mwisho wako...
  7. JamiiForums Tanzania Umewahi au unaweza kukaa muda gani bila kushiriki mapenzi?

    Ni kwa muda mrefu kiasi gani unaweza kukaa bila mpenzi ama kutojihusihsa na mapenzi? Unafanya nini kustahimili muda mrefu?
  8. JamiiForums Tanzania Umewahi kumpokonya mtu mpenzi?

    Kuna watu wanafanya kwa makusudi kukomoa wengine, ila wengine inatokea tu na unajikuta hauna jinsi. Kuna dada kula mtu mtaani alijua ni mpenzi wa jamaa fulani, lakini siku nakutana nae nikamwambia “alipofaidi jamaa panatosha, ni zamu yetu” dada akasema mbona hata siko nae? Eeh nikamwambia basi...
  9. JamiiForums Tanzania Umewahi kusalitiwa na rafiki yako?

    Watu wengi wamekuwa na marafiki wanaowaeleza Siri mbalimbali. Siri hizo huweza kuwa za kimahusiano, kikazi na Mambo kama hayo. Je uliwahi mueleza mtu Siri yako na ukaikuta kwa mtu mwingine kama ilivyo. Ulichukua hatua gani?
  10. JamiiForums Tanzania Umewahi kujiuliza kwanini viwanda havitengenezi bidhaa za kudumu? Yani mfano zitengenezwe tairi za magari zisizoisha.

    Umewahi kujiuliza kwanini viwanda havitengenezi Product za kudumu? Yani mfano zitengenezwe tairi za magari zisizoisha. Dawa ya meno inayozuia kabisa meno yasiharibike. Kiwanda cha nguo zisizochuja kabisa? Huo uwezo wanao ila hawawezi kufanya hivyo...! Kwanini? Mwaka jana nilikutana na jamaa...
  11. JamiiForums Tanzania Umewahi kutapeliwa/umekutana na changamoto gani ya utapeli na ukatapeliwa kirahisi?

    Biashara ya Mtandaoni: Ushuhuda, Mafanikio, na Changamoto za Matapeli Mimi ni mdau mkubwa wa biashara za mtandaoni, na jambo linalonivutia zaidi ni pale tunapoweza kuzungumza na kufanya biashara kwa njia rahisi. Watu wengi wamefaidika na biashara hii, wengine wakitengeneza mtandao mkubwa wa...
  12. JamiiForums Tanzania Umewahi kufukuzia mpenzi ila siku mmepatana ukapoteza mzuka naye nae?

    Wakuu kwema.. Nimekuja kuamini sometimes expectations zetu ndio hupelekea disappointment. Unaweza kuwekeza muda mwingi, hata budget ili kufukuzia mtoto mkali from the head to the toe ukaweza hata kuwin ila dakika za mwisho ukashindwa kuamini ulichokutana nacho ni kweli au unaota.. Binafsi...
  13. JamiiForums Tanzania Umewahi kuwa na msala? ilikuaje?

    ..
  14. W

    JamiiForums Tanzania Taarifa gani umewahi kusikia kuhusu Saratani ikakupa shaka?

    Kila mwaka Februari 04 huwa ni siku ya kuadhimisha saratani duniani kwa lengo la kutoa elimu, takwimu na uelewa kuhusu Saratani. Na kwa takwimu za mwaka 2024 zimeonesha kuwa bara la Asia ndo linaongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya waangaa wa Saratani ya shingo ya kizazi SARATANI NI NINI Miili...
  15. JamiiForums Tanzania Umewahi kukaa sehemu na ukahisi kama hiyo sehemu uliwahi kukaa zamani 'DEJAVU' already seen?

    Leo Nilikuwa nipo katika maktaba yangu ya simu nasoma kitabu kinaitwa "the power of karma" Katika kusoma nimekutama na neno la kifaransa linaitwa Dejevu likimaanisha already seen. Hii nimewahi kuisoma Mara nyingi Ila Leo nilijaribu Ku-trace maisha yangu na kuiona hii Dejavu Dejavu -...
  16. JamiiForums Tanzania Umewahi kusalitiwa kwenye mapenzi, Ilikuaje?

    WanaMMU kwema, natumaini nyote hamjambo, kama hauko poa nakuombea uwe sawa, Amen! Mapenzi Mapenzi Mapenzi Kwenye mahusiano huwa inatokea kusaliti na kusalitiwa kimapenzi wengine hadi wanafikia hatua ya kufumaniwa kabisa. Kucheat na kucheatiwa kupo nje nje kwa sasa, kwa sisi wanaume hii kitu...
  17. JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume hufa mapema kuliko wanawake?

    Habari ya Jumapili waungwana! Nimekuwa nikitafakari saana na ukisoma baadhi ya maandiko ya afya, uchumi na wanasaikolojia wote wanazungumzia LIFE EXPECTANCY YA MWANAUME YAANI kiwango cha muda wa kuishi wanaume ni kidogo duuu!! Ndipo nikarejea katika uhalisia, babu alishakufa bibi yupo, mwalimu...
  18. JamiiForums Tanzania Kama umewahi kufanya kazi Lodge na hujamalizia show (KUFANYA UPONYAJI) huenda huna bahati

    Kipindi nimemaliza kidato cha 6 nilikuwa nasimamia lodge ya ndugu yangu kipindi nasubiri kwenda chuo, sasa leo natoa siri kwa wanaume, ukienda lodge na demu wako kuanzia leo, hakikisha unaondoka naye. Iko hivi, kuna watu wanapiga show kizembe halafu akimaliza anavaa fasta anaondoka anaacha...
  19. JamiiForums Tanzania Njoo utembelee na ujue historia ya Serengeti and Ngorongoro crater safari ya kutwa.

    Hello wana jamii forum! Karibuni sana kwenye majadiliano yetu leo! Leo ningependa kuzungumzia hifadhi mbili maarufu sana hapa Tanzania, ambazo ni Serengeti National Park na Ngorongoro Conservation Area. Serengeti National Park ni moja ya vivutio vikuu vya utalii hapa Tanzania na kimataifa pia...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Umewahi kufanyiwa visa gani na mwanamke wako? Ulivikabili vipi?

    Heshima kwenu waungwana👊, Tushare visa tulivyowahi kufanyiwa na wanawake/mademu zetu na namna tulivyovikabili ili tuongeze maarifa ya kuishi na hawa viumbe waliotusengenya na shetani pale Edeni 😅. Mie naanza vya kwangu: 👉 Miaka iliyopita, nilikuwa nakula demu mmoja hivi wa kinyaturu. Huyu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…