Heri ya sikukuu za mwisho wananchi wa jamhuri ya muungano wa jamiiforums😳😳😳😳😳😳😳😳😳. Povu ruksa..
Je, umewahi kuishi na rafiki au ndugu mcha Mungu hatari…
Wale wa maombi , full package? 😅
Asubuhi anakuamsha kwa maombi,
mchana mnapambanaji na maisha,
Usiku wakati wa kulala anakulaza na sala...