umeme

  1. K

    JamiiForums Tanzania Manunuzi ya umeme wa Ethiopia ni wizi tusiwe wajinga!

    Ni wizi na kutafuta njia za kuiba tu. Umeme wa kusini mwa Tanzania unakuaje mbali kuliko umeme wa Ethiopia? Lakini pili kuna bomba la gas toka mtwara kwanini wasipeleke bomba kaskazini la gas halafu Dar wakatumia umeme wa bwawa!? Ukweli ndugu zangu ni mazingira ya wizi kwa watoto na ndugu wa...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Rais nakushauri tu achana na hii biashara ya kununua umeme Ethiopia

    Tunashuhudia unyanyasaji mwingi katika hizi za kutegemea huduma kutoka nchi zingine hususani pale ambapo mausiano ya kidiplomasia yanapozorota. Lakini pia Tanzania kwa sasa tunazalisha umeme zaidi ya maitaji yetu sasa mtu unapata ukakasi wa kuanza kununua kitu unachokizalisha. Kwa vyovyote...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa Kiufundi naunga mkono nchi yetu kununua umeme kutoka inje nchi kuliko kusafilisha hadi kaskazini

    Nayazungumza haya nikiwa kama fundi mzoefu katika sekita ya umeme! Nimeona mijadala watu wakilalamika kwanini nchi inataka kununua umeme kutoka inje kwa mikoa ya kaskazini wakati ina umeme wa kutosha? Ni kweli nchi ina umeme wa kutosha lakini haina maana kwasababu umeme upo wa kutosha basi...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi kweli suluhisho la miundombinu mibovu inayopelekea kukatika katika ovyo umeme ni kwenda kununua umeme nje ya nchi? Tuweni serious kidogo

    Sote tunataka nchi yetu isonge mbele lakini tunachoka na kuumia mnoo tunapoona suala la umeme hapa Tanzania kwa zaidi ya miaka 30 mfululizo likitumika kama kichaka cha upigaji wa watu fulani fulani na kuchezewa sarakasi za ajabu na wanasiasa. Kwa muda mrefu sababu za kukosekana kwa umeme wa...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia: Serikali itanunua Umeme nje maalum kwa Mikoa ya Kaskazini

    Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ipo kwenye hatua za mwisho za kusaini mikataba ya kununua umeme nje maalum kwa Mikoa ya Kaskazini ili Mikoa hiyo ipate umeme wa uhakika na iondokane na adha ya umeme kukatikakatika. Rais Samia amesema hayo baada ya kufungua mradi wa...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Tunauza au tunanunua umeme?

    Leo rais Samia amesema wapo kwenye mchakato wa kusaini mkataba ili tununue umeme kutoka kenya kwa ajili ya watu wa Kaskazini.. Sasa najiuliza kuna haja gani ya kununua umeme nchi jirani wakati tunatengeneza umeme wa zaida.? Wajuzi wangekuja kutuelezea vzuri hii imekaaje kaaje
  7. JamiiForums Tanzania Utumishi online Interview kwa kada ya umeme

    habari za mchana wanajamii naomba msaada kwa mtu ambae ameshawahi kufanya interview utumishi, interview ambayo ilifanyika online naomba kama itampendeza tuwasiliane pm apate kunielekeza mambo yanakwendaje kwa interview za namna hiyo Pia kwa mwenye uelewa na interview za online usisite kuchangia...
  8. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Kigahe aiagiza kampuni ya Mwenga Hdro powe kupeleka umeme vijiji vyote vya Mufindi

    Naibu Waziri wa Viwanda na biashara na Mbunge wa Jimbo la Mufindi Kaskazini Exaud Kigahe,ameitaka kampuni ya Mwenga Hydro power kuboresha huduma zake ili kufikisha nishati ya umeme kwa Wananchi wa Vijiji vyote vinavyopaswa kuhudumiwa na mkataba wa kampuni hiyo kwa mujibu wa mkataba. Wito huo...
  9. JamiiForums Tanzania KWA MAHITAJI YA SUB-METER KATA UMEME PITIA HAPA

    Habari za Muda wakuu, Natumai mpo Salama. Leo Hii nawaletea Bidhaa mpya kabisa ya Submetter (Kata Umeme), Submetter hizi ni suluhu ya migogoro ya Umeme kwenye nyumba za Kupanga, Maeneo ya Biashara au Majengo Makubwa ambayo kunakuwa na Luku/Mita moja tu kwa watu wengi. Submetter hizi humpa...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tanga: REA inatekeleza miradi minne ya kusambaza umeme kwa thamani ya shilingi bilioni 137.87.

    Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Wakala ya Nishati Vijijini (REA) Mhandisi Advera Mwijage amesema kuwa Mkoa wa Tanga unatekeleza miradi minne ya kusambaza umeme katika vijiji, miji, vituo vya afya, pampu za maji, maeneo ya migodi pamoja na viwanda vidogo ambayo thamani yake ni shilingi bilioni 137.87...
  11. JamiiForums Tanzania DOKEZO Magole Kitunda tuna changamoto ya umeme tunaomba TANESCO tuongezewe Transfoma

    Naomba Meneja wa gongo la Mboto tusaidie kupata transforma kubwa tuna low voltage magole kitunda kwa mpemba mchafu. Tuna mwaka mzima umeme ni mdogo hata friji haziwezi kuwa. Tafadhali, jamii forum naomba mnisaidie kufikisha kilio hiki sehemu husika. Ahsanteni
  12. JamiiForums Tanzania Ujasiri wake wa ovyo unaendelea: Alianza kuwalloby CDU pale Bundestag tusijenge hili bwawa la kufua umeme megawati 2215

    Amerukia kwa Norway inayotupatia wastani wa dola milioni 7.kila mwaka wa fedha. Walianza kuipinga serikali yao isiwekeze ujenzi wa bwawa la kufua umeme megawati 2215. Wakaja kuipinga DP WORLD yenye kutoa TRILIONI 22 kwa mwaka na malengo ya kufikia TRILIONI 60. Leo vibaraka koko wameingia...
  13. JamiiForums Tanzania KERO: Mwananchi Chanika amawangukia Waziri wa Nishati baada ya TANESCO kushindwa.kumuunganishia umeme zaidi ya miez 6 ya kulipa gharama zote 1.9M.

    NAOMBA Risiti hii imfikie Waziri wa Nishati na Madini Popote alipo. MANAGER TANESCO DAR ES SALAAM, MANAGER TANESCO CHANIKA. MIMI ni mteja Ambaye nimelipia kupata huduma ya umeme toka Mwezi wa tano Mwaka Jana 2024. ACCOUNT NO.0150043011126 Niliipia kupitia control Number ya TANESCO, nguzo...
  14. JamiiForums Tanzania KERO: Mwanachi Chanika amawangukia waziri wa nishati Baada ya TANESCO kushindwa kumuunganishia umeme licha ya kulipa gharama zote 1.9M zaidi ya miezi.

    Hi Great Thinkers. NAOMBA Risiti hii imfikie Waziri wa Nishati na Madini Popote alipo. MANAGER TANESCO DAR ES SALAAM, MANAGER TANESCO CHANIKA. MIMI ni mteja Ambaye nimelipia kupata huduma ya umeme toka Mwezi wa tano Mwaka Jana 2024. ACCOUNT NO.0150043011126 Niliipia kupitia control Number ya...
  15. JamiiForums Tanzania Mgao wa umeme ni kitendawili kingine

    Iombee sana Tanganyika. Tanganyika haijawahi kuingia kwenye mgao wa umeme sababu ya "kurekebisha miundombinu". Sababu pekee huko nyuma zilikua ni maji kupungua, Megawatt kuwa chache. Leo hii tuna bwawa la nyerere Megawatt zaidi ya 3000 mpaka zingine zinataka kuuzwa nje, lakini kwa mara ya...
  16. JamiiForums Tanzania Je Kwako kuna generetor!? Umemunua kwa sababu ya tatizo ya umeme yalipo Tanzania

    Sasa Duka Direct inakuletea huduma ya kukuletea mafuta hadi home... Tunaona fursa zilizoko nyumbani kwako... "Power Outage? Fuel for your generator from Assam Oil, delivered to your door with duka.direct! Tap to duka.direct | Food delivery, Shoppers supermarket delivery, Courier Delivery...
  17. JamiiForums Tanzania FUNDI TV NA VIFAA VYA UMEME

    BWANA FUNDI NIPO HAPA.. KAMA TV YAKO INA CHANGAMOTO YOYOTE INATIBIKA BILA SHIDA NA TUNAFANYA MPAKA HOME SERVICE PIA.. KAMA SHIDA NI MOTHERBOARD TCON POWER SUPPLY BACKLIGHT KIO0 SHIDA YOYOTE TV IMEZIMA GHAFLA TUNAWASHA, SAUTI, MWANGA NA MATATIZO YOTE WE PIGA SIM 0744680670 0618199522 TUNAKUFIKIA...
  18. JamiiForums Tanzania Magari yanayotumia mawimbi ya redio yanakwenda kuua biashara ya mafuta, gesi na umeme

    Swala la kuzalisha umeme wa kuendesha gari kwa kutumia mawimbi ya redio sio utani. Nimejaribu kukagua makablasha ya physics nimepata jibu kama ifuatavyo: Formula ya Kuzalisha Umeme Kutoka kwenywe Mawimbi ya Redio Nguvu ya umeme inayozalishwa kutoka kwenye mawimbi ya redio ni sawa na: Nguvu...
  19. JamiiForums Tanzania TANESCO watoa ratiba ya umeme wakati wa maboresho ya mitambo kuanzia Februari 22, 2025

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mkoa wa Temeke limewatangazia wateja wake kuwa kutakuwa na maboresho katika kituo cha kupokea, kupoza, na kusambaza umeme cha msongo wa Kilovolti 220 kilichopo Ubungo, jijini Dar es Salaam. Kutokana na kazi hiyo, huduma ya umeme itakosekana kwa nyakati...
  20. JamiiForums Tanzania TANESCO yatangaza baadhi ya maeneo ya Zanzibar, Dar na Pwani kukosa umeme kwa nyakati tofauti

    TAARIFA KWA UMMA MABORESHO KATIKA KITUO CHA KUPOKEA KUPOZA NA KUSAFIRISHA UMEME WA MSONGO WA KILOVOTI 220 CHA UBUNGO JIJINI DAR ES SALAAM Jumatano, 19 Februari 2025 Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake kuwa kutakuwa na maboresho katika Kituo cha Kupokea, Kupoza na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…