umeme kukatika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Mwaka wa 3 sasa TANESCO hawajaweka Transfoma hapa Msambiazi-Korogwe, tunateseka umeme kukatika

    Mimi ni Mkazi wa Korogwe Msambiazi, huku kuna tatizo la low voltage kwa umeme wetu kila siku ikifika saa moja jioni umeme unakatika katika kila baada ya dakika tano. Hii ni kero, tumejaribu kuwasilisha kero zetu wanasema wanakuja kuongeza transformer Kwa ajili ya kuongeza umeme lakini hakuna...
  2. A

    KERO Kigamboni kuna kero ya umeme kukatika mara kwa mara, tunaunguza vitu kila mara

    Kero yangu ni TANESCO Kigamboni wanatutesa sana, hakuna siku umeme haukatiki na sio mara moja umeme unakatika, kuna muda mpaka mara 10 kwa siku. Vifaa vyetu vinaungua na hakuna anayelipa, tunaomba sana ujumbe huu uwafikie TANESCO wajue wanatutesa. Ujumbe huu uwafikie Waziri Mkuu, Waziri wa...
  3. McLaren

    GE2025 Samia: Mkituchagua tutamaliza tatizo la umeme hafifu

    Kuna muda unasikiliza sera za CCM unaweza kudhani kuwa kwa miaka 60 iliyopita nchi ilikuwa chini ya CHADEMA au chama kingine Sasa suala la umeme ===================== Mgombea wa nafasi ya Urais kupitia CCM Samia Suluhu Hassan ameahidi kuwa ndani ya miaka mitano ijayo ikiwa watanzania watampa...
  4. uran

    Nini kinaendelea na huu Umeme, Kuna mgao wa Kimya Kimya?

    TANESCO Hebu mje mtuambie ni nini kinaendelea kwa kweli, Kila Siku lazima ukatike. Hapa sasa hivi umekatika kuanzia saa Moja jioni, hadi sasa hivi saa 3Usiku bado ni haujarudi. What is going on? Hujuma?
  5. Sigonella Island

    KERO Kata Kivule na Mitaa yake umeme unakatika kila siku bila taarifa

    Wiki nzima shirika la umeme limeendelea na hujuma za kukata umeme bila taarifa na kuathiri maelfu ya wakazi hasa Dar Wilaya Ilala Kata Kivule na Mitaa yake umeme kwa siku unakatika zaidi ya mara 20 na unawaka. Dakika 2 unakwata saa zima mpaka mda huu Mitaa ya Kivule ipo gizani na hakuna...
  6. Mookiesbad98

    Umeme kukatika baada ya Mkutano wa nishati kuisha inamaanisha nini?

    Leo kuna hitilafu kwenye main power supply line na kisababisha maneo ya North of Dsm kukosa umeme hili likitokea baada ya mkutano mkubwa wa nishati linamaana gani hasa kwa watawala na wananchi
  7. live on

    TANESCO wameturudisha nyuma miaka 10 umeme kukatika mara 5 Kwa siku

    Haya mambo tulisha yasahau Baada ya Magufuli kuingia madarakani alikomesha kabisa haya mambo Kama umeme ulikatika basi ni Kwa sababu za msingi na taarifa ilitokewa Lakini hili linaloendelea Kwa Sasa umeme kukatika mara 5 Kila siku bila ya sababu zozote za msingi tulisha yasahau haya Kama ni...
  8. Cute Wife

    TANESCO: Umeme kukatika usiku (Disemba 18, 2024) ni hitilafu katika gridi ya taifa

    Wakuu, Pale ambapo taarifa inakuja zaidi ya saa baada ya umeme kukata! Walikuwa wanasikilizia kwanza kuona muujiza ama? Nyinyi TANESCO na DAWASA Wizara ya Maji siku hizi hamna maana kabisa. Mbu kwa kushirikiana na joto, usiku utakuwa mrefu kweli leo! ====== TANESCO wamesema kuwa kukatika kwa...
  9. Roving Journalist

    TANESCO yaomba radhi umeme kukatika mara kwa mara Lindi na Mtwara, yasema kuna kazi ya kufunga Mifumo Mipya

    Siku chache baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuelezea kuhusu kero ya kukatika kwa umeme mara kwa mara Wilayani Masasi Mkoani Lindi, kusoma zaidi bofya hapa ~ Wakazi wa Masasi tuna kero ya umeme kukatika mara kwa mara, tunapata hasara TANESCO shughulikieni hilo , Shirika la Umeme Tanzania...
  10. K

    KERO Responded Wakazi wa Masasi tuna kero ya umeme kukatika mara kwa mara, tunapata hasara TANESCO shughulikieni hilo

    Mimi ni Mkazi wa Masasi, nilihamia huku miezi kadha iliyopita, moja ya changamoto ambayo niliikuta huku na wenyeji wanadai imekuwepo kwa muda sasa, ni suala la umeme kukatika mara kwa mara. Huku Masasi kwa kweli inafikia hatua unakasirika na mwisho unaanza kucheka, kuna wakati umeme unakatika...
  11. Nyendo

    KERO Dar kuna mgao wa umeme? TANESCO tuwekeni wazi tujue

    Ni wiki sasa tangu nione kukatika kwa umeme maeneo mbali mbali hapa Dar. Hivi navyoandika hapa mtaani nilipo umeme umekatika na jana pia ulikatika najiuliza je, kuna mgao? Kama kuna mgao kwa nini TANESCO mpo kimya hamtoi taarifa, mnatuharibia kazi zetu semeni tujue basi
  12. A

    KERO Wilaya ya Songwe(Mkwajuni) mkoa wa Songwe kuna tatizo la umeme kukatika mara kwa mara bila taarifa kutolewa na wahusika. Je, mgao wa umeme umerudi?

    Wilaya ya Songwe(Mkwajuni) mkoa wa Songwe kuna tatizo la umeme kukatika mara kwa mara bila taarifa kutolewa na wahusika. Je, mgao wa umeme umerudi?
  13. W

    Wakazi wa Goba-DSM hatuna Umeme kuanzia jana Usiku. TANESCO kuna tatizo gani?

    Toka jana mida ya Saa 8 usiku hakuna umeme, ukarudi kwenye saa 11 na kukatika tena hadi sasa Ubaya ni kuwa hakuna taarifa yoyote kutoka TANESCO kuhusu changamoto ya iliyosababisha katizo la Umeme Kwanini TANESCO hamtujali wateja wenu? Unakataje Umeme kwa zaidi ya Saa 6 bila kutoa Taarifa? Na...
  14. lui03152

    Umeme kukatika ifikika jioni

    Nimekuwa nikipata changamoto hii kwa muda sasa kila inapofika jioni taa zinapowashwa umeme umekuwa una kata na kuzima mara kwa mara. Na baadhi ya vifaa kama vile AC kushindwa kufanya kazi kwa sababu ya umeme kukosa nguvu wakati mwengine baadhi ya taa kufifia mwanga. Lakini cha kushangaza...
  15. Nyendo

    Gridi ya Taifa yapata hitilafu na kusababisha baadhi ya maeneo kukosa umeme, TANESCO watoa taarifa

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa taarifa kwa Wateja wake kuwa kumetokea hitilafu kwenye mfumo wa Gridi ya Taifa majira ya 08: 40 usiku May 04 20224 na kusababisha kukosekana kwa huduma ya umeme kwenye baadhi ya maeneo iliyounganishwa na Gridi hiyo. TANESCO wanasema Juhudi za...
  16. A

    KERO Karatu umeme unakatika zaidi ya mara tano (5) kwa siku

    Umeme katika line ya KARATU maeneo ya NMC, Mangafi, Gibbs, Endoro, Marera, Ayalabe, Rhotia, kilima tembo, Mbulumbulu, Manyara kinaoni, Chemchem, Mto wa Mbu, Selela, unakatika sana, yani mara kwa mara kiasi cha wananchi kuwa na hofu ya kuunguliwa na vifaa vyetu vinavyotumia umeme. Manager wa...
  17. Izizimba

    Waliomponda Magufuli ndio hao hao wanaolamika umeme kukatika

    Sisi binadamu ni viumbe wa hovyo kabisa, just imagine kipindi cha JPM wanasiasa na baadhi ya Wananchi walivyokuwa wanamtukana Magufuli lakini saizi hao hao ndio wanaolalamikia ugumu wa maisha na kukatika umeme mara kwa mara. Tulimkosea sana JPM hii dhambi itatutafuna milele. Suluhisho ni kutubu.
  18. Idugunde

    TANESCO: Hatuhusiki na kukatika umeme kwa Mkapa. Alaumiwe waziri wa Utamaduni na Michezo

  19. GENTAMYCINE

    Unadhani ni sababu ipi kati ya zifuatazo inapelekea Umeme Kukatika Mkapa Stadium Mechi zikiendelea?

    1. Meneja wa Uwanja anatafutiwa sababu aondolewe na awekwe anayetakiwa na BMT Mpya 2. Ushirikina / Kutumia muda huo Kupuliza Dawa ( Sumu ) katika Vyumba vya Timu Pinzani ili iwalevye na wakirejea Uwanjani wawe Laini na Wachovu wapigwe Nyingi. 3. Ni hujuma ya kutaka Kuwachonganisha Mawaziri wa...
  20. GENTAMYCINE

    Kwa Marumo Gallants FC niliowaona leo kuna Timu itafungwa kwao umeme kukatika Stadium na South Africa pia

    Kama leo umeshindwa Kuifunga Timu Dhaifu kutoka Nigeria (japo Ulibahatisha) Kumfunga Kwao (huku Wewe leo ukiwa Nyumbani) ndiyo uweze Kupambana na Klabu isiyotaka Masihara katika Hatua hii na Michuano hii ya CAFCC Marumo Gallants FC? Kutokana kuwa na Ndugu na Marafiki zangu kutokea Mji wa...
Back
Top Bottom