umasikini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. matunduizi

    Umuhimu wa kujiwekea kiwango cha chini cha umasikini binafsi usiovumilika

    Hatupaswi kuishi jumlajumla. Ni vizuri ukajitathmini na ujiwekee kiwango chako cha pesa na mali ambacho chini ya hapo utafanya lolote usishuke. Madhara ya kuishi bila kujiwekea kiwango chako cha chini cha umasikini au kuishiwa utajikuta umeingia kwenye levo ya umasikini ambao haitawezekana...
  2. Tlaatlaah

    Ni kwa kiasi gani Serikali ya CCM chini ya Rais Samia Suluhu imefanikiwa kutokomeza umasikini na kuinua hali bora za maisha ya Watanzani?

    kwa kiasi kibuwa Tanzania imepiga hatu za kimaendeleo chini ya serikika sikivu ya CCM ya awamu ya sita kwa kuinua vipato na hali bora sana za maisha ya waTanzania, kwa kuzingatia uhakika wa hali ya ulinzi na usalama wa mipaka ya nchi, watu na makazi yao, kazi na na biashara zao, Lakini pia...
  3. G

    Sababu inayowafanya wengi walioanguka kiuchumi kuendelea kushuka zaidi. Kama upo humu jitathmini upya kabla stress hazijakumaliza

    Ili urudi ulipo toka lazima ukubali kwamba umeshuka na uwe tayari kuishi maisha ya chini ambayo yanaendana na budget yako iLi pesa unazozipata uweze kusave upate mtaji uanze kurudi kwenye mfumo mdogo mdogo. Fact ni kwamba mtu yeyote aliye katika level yoyote ikiwa aliwahi kuwa na pesa za...
  4. B

    ACT Wazalendo Yaeleza Sababu za Umasikini Baadhi ya Mikoa

    24 July 2024 ACT Wazalendo Yaeleza Sababu za Umasikini Mkoa wa Simiyu https://m.youtube.com/watch?v=gfWTg6cmpUc Katibu Mkuu ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu ameyasema haya akiwa Jimbo la Busega Mkoani Simiyu Julai 23, 2024. Akiwa katika ziara ya Mikoa ya Kanda ya Ziwa ikiwa ni siku ya pili tangu...
  5. GoldDhahabu

    Magereza ya Tanzania kuwa katika hali mbaya, ni kwa sababu ya umasikini au kukosa utu?

    Kwa nchi zilizoendelea, mtu kukaa gerezani humaanisha kukosa uhuru tu, lakini mahitaji mengine karibia yote ya muhimu huyapata. Watanzania waliowahi kufungwa gerezani nchini walishasimulia mikasa na mateso waliyokutana nayo gerezani. Ni hali mbaya sana. Wafungwa hawajaliwi kama ipasavyo...
  6. oko majimaji

    Kataa umasikini

    Nawasalimu nyote. Umasikini ni laana, tafiti tofauti zinaonyesha umasikini unarithishwa kwa hiyo unatakiwa kukaa ki machale kijana mwenzangu uliezaliwa kwenye familia masikini ili uondokane na hiyo laana isikukute wewe na vizazi vyako vinavyokuja vunja kabisa hilo daraja unatakiwa upambane...
  7. Scared

    Rafiki maskini ni mikosi

    Yaani katika maisha yangu urafiki na masikini hapana aisee yaani Kwa pesa hizi nilizonazo halafu niwe na urafiki na masikini aniambukize njaa aisee hapana. Hivi nyie masikini kwanini msipambane na nyie muwe kama Mimi. Kila siku mnalialia njaa tu baada ya kupambana mnakaa kulialia Mimi sio...
  8. Nehemia Kilave

    Barcelona na Real Madrid ni Timu za wanachama kunachosumbua Simba na Yanga ni umasikini na ukosefu wa mipango thabiti

    Simba na Yanga ni timu kubwa zisizo na vyanzo vya mapato vinavyoeleweka hii ni kutokana na ukosefu wa mipango ya kueleweka , lakini pia kuwa na viongozi wabovu . Ingawa na siasa inachangia pia , mikataba inatekelezwa kimaneno hakuna vitendo . Hatumuelewi Mzee Magoma sababu ya umasikini wa...
  9. Mr Chromium

    Matajiri 17 wanaotikisa afrika

    1. Aliko Dangote Net worth: $13.9 billion Net worth in 2023: $13.5 billion Origin of wealth: Cement and Sugar Age: 66 Country: Nigeria 2. Johann Rupert and family Net worth: $10.1 billion Rank in 2023: 2 Net worth in 2023: $10.7 billion Origin of wealth: Luxury goods Age: 73 Country: South...
  10. Golden Elimeleck

    SoC04 Eight(8) Secrets of Combating poverty among Tanzania youth's toward New Tanzania

    Poverty among youth's in Tanzania is very serious issues thereby inorder to ensure every youth in Tanzania become financially secure the following are 8 Secrets to concentrate as explaned by six points below 1. Education and Continuous Learning Education forms the foundation for personal...
  11. Mturutumbi255

    Safari ya Maanguko: Jinsi Betting Ilivyomfikisha Alex Kwenye Umasikini na Safari Yake ya Kuinuka Tena

    Hapo zamani za hivi karibuni, kulikuwa na kijana mmoja aitwaye John. John alikuwa na rafiki yake wa karibu sana aitwaye Alex. Alex alikuwa kijana mwerevu, mwenye kipaji, na mwenye ndoto kubwa za kufanikiwa maishani. Alipokuwa shuleni, Alex alikuwa akiota kuwa mfanyabiashara mkubwa na kupata...
  12. Manyanza

    Njia sita (6) wanaume wanaweza kuepuka umaskini

    Na Dada Fridah Nakazwe 1. Pata mwanamke sahihi - Sahau slay queens na wanawake wenye sura lakini akili sifuri. Pata mwanamke ambaye sio tu atasaidia maono yako lakini pia atakusukuma kufikia zaidi. Mwanamke ambaye atakupa msukumo wa kufanya kazi kwa bidii na sio mwanamke anayekufanya uwe mgumu...
  13. Pdidy

    Hivi vifurushi ni dalili za umasikini na kuibiwa

    Nimewiwaaa kuuliza hili Hivi majuzi nilinunua gb 1.4, Ghafla nikashangaaa siku mbili siwezi fungua website wala chat na WHATSUP Nikasema isiwe taabu nikavuta niwezeshe, nikachungulia asubuhi nikawa na MB kadhaa. Asubuhi nikasema nikimonite naona na mb 765 mpaka tar 11 jun na mbs 650 mpaka...
  14. BLACK MOVEMENT

    PreGE2025 Umasikini, Ujinga, Yanga na Simba na kutojali ndio mitaji mikuu ya CCM

    UMASIKINI,huu ndio mtaji mkuu namha 1 kwa CCM na hawa watu hawako tiyali kuona umasikini unaisha Tanzania. Umasikini ni mtaji mkubwa sana hasa wakati wa kampeni, kuna watu huhongwa viberiti ka kule kwa Lukubi, na kuna raia huhonhwa Chumvi, ka kule Shinyanga.ili CVM iendelee kutawaka lazima...
  15. Nyendo

    Asafirisha wahamiaji 20 kwa V8 yenye bendera ya CCM

    Mtanzania Edward Erihard (31) Mkazi wa Dodoma anashikiliwa na Polisi Mkoani Manyara kwa kosa la kusafirisha kinyume na sheria Wahamiaji 20 Raia wa Ethiopia. Akiongea Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoani Manyara ACP Lucas Mwakatundu amesema tukio hilo limetokea March 23 2024 ambapo gari hilo...
  16. Technophilic Pool

    Nimewaza ni namna gani Mindset yangu imenisababishia umasikini sioni kabisa! Majibu ya umasikini yanaangukia poor Government

    Wakuu mi nakataa kusema umasikini nilio nao umesababishwa na mindset yangu. Naona Tu ni poor government imesababisha Mfano: Nimesoma hadi chuo ajira serikalini hamna, zikitoka chache za kujuana (poor government) Nimefungua biashara, biashara ngumu bado TRA wananikadiria kadirio la juu Tax...
  17. M

    Chanzo cha Umasikini kwa Wafanyakazi sio Mishahara midogo bali ni Ukosefu wa Elimu ya Kifedha

    Habari za Harakati za kiuchumi. Napenda kuwashauri Wafanyakazi wenzangu ya kwamba mchawi wa maendeleo yetu ni sisi wenyewe sio kipato kidogo. Mfano unajua kabisa kijana wa ambae hana ajira akipata 10millioni akiwa mtaani anaweza kuikuza na kuwa tajiri kuliko wewe. Ila wewe unaweza kupata mkopo...
  18. Pule

    SoC04 Tanzania Tuitakayo: Kuondoa umasikini kwa Watanzania wengi

    Mmoja ya suala ambalo limekuwa tatizo kubwa ni UMASIKINI ambao umekithiri Kwa kiasi kikubwa Kwa WATANZANIA walio wengi na limekuwa ni tatizo sugu lisiloisha toka enzi hizo. Ili kuweza kupunguza au kuondoa umasikini kabisa ni lazima serikali kupanga na kuweka mikakati iliyothabiti ilikuweza...
  19. MURUSI

    SoC04 Tanzania tuitakayo: Tuwe na 50 kwa 50 kati ya miradi ya Vitu na miradi ya watu, ili kuondoa umasikini Tanzania

    Kuwe na 50 kwa 50 kati ya miradi ya maendeleo ya watu na miradi ya maendeleo ya vitu ili kupunguza umaskini wa vipato. Tanzania ni moja ya nchi zinazo kuja juu sana kwa swala zima la ukuaji wa uchumi, na hii inachochoewa na kasi ya maendeleo hasa hasa miundo mbinu, Tuna miradi mingi sana ya...
  20. Nelson Kileo

    Tundu Lissu: Mbunge kinara wa kudidimiza maendeleo

    Jimbo la Tundu Lissu lina shule 15 tu ambazo zote hazina maabara, na mbunge wa jimbo hilo ''Tundu Lissu " ndie amekuwa mstari wa mbele kuwahimiza wananchi kutotoa michango kwa ajili ya maendelea yao binafsi akidai kua serikali ina pesa za kutosha za kuwajengea maabara. Source: New star tv ...
Back
Top Bottom