umasikini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Kipimo cha umasikini wa wafanyakazi wa serikali ni hiki hapa

    1. Tarehe ya kulipa mshahara angalia msululu wa watu kwenye ATM. Urefu wa mstari kama robo kilomita urefu..... Unaona kabisa kuwa hawa hata mia moja mfukoni hana , hawezi kusubiri kesho au keshokutwa msululu upungue. 2. Vurugu sokoni....kulipa madeni................kununua mahitaji PRELUDE...
  2. JamiiForums Tanzania RECORD: Umasikini wa chakula umepungua kutoka 21.6% hadi 8.0%hii inamaanisha kwenye kila watanzania 100 ni 8 tu ndio wanashida ya mlokamili

    Umasikini wa chakula umepungua kutoka 21.6% hadi 8.0%hii inamaanisha kwenye kila watanzania 100 ni 8 tu ndio wanashida ya mlokamili tunaposema CCM na Rais Samia wanachapa kazi muwe mnatuelewa,Benki ya Dunia sio CCM. Hata kama mnapiga kelele ila mfahamu umasikini wa msosi Tanzania kwa mujibu wa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Lumbesa inatuongezea umasikini Mbeya

    Sasa hivi Mbeya ni kama serikali iko likizo kwa jinsi wafanyabiashara wanavyopora wakulima mchana kweupe. Ukiangalia Lumbesa ya gunia la viazi huwezi kubisha kwamba mkulima hapati chochote. Yaani heka moja ungeweza kupata gunia za viazi 70 kwa sababu ya Lumbesa utaambulia gunia 52! Viongozi...
  4. JamiiForums Tanzania Umewahi kupitia msoto maishani hadi ukajuta kuzaliwa?

    Umasikini ni kitu kibaya sana, -Utadharauliwa -Utasimangwa hata na watu wako wa karibu -Utaaibishwa na kudhihakiwa -Hakuna atakaekujali kwa sababu huna kitu -Kwenye vikao vya ukoo huwezi kuwa na sauti, ukiongea utaonekana unataka kuleta fujo In short ndugu zanguni tutafute pesa kama vile...
  5. O

    JamiiForums Tanzania Ay aliimba yule anampenda jinsi alivyo simple lakini akasema anaweza asimpate kwa umasikini wake

    Ni NYIMBO ya muda mrefu sana nafikiri wakati huo watoto wa 2000 WALIKUWA bado hawaja vunja ungo, so alikuwa anaongelea watu wa miaka ya 90's na 80's. Kumbe bhana UMASIKINI ni Moja ya factor ambayo inaweza kukufanya usipate mke au mpenzi. Hivyo basi huu wimbo inaniambia kwamba endeleeni kutafuta...
  6. JamiiForums Tanzania Umasikini ni Mbaya sana, na unatumiwa na CCM, fikiria watu wanasombwa na Malori kwenda kuwaona watu wanao panda V8

    Ukiachana na mambo ya ujinga, ila pia Umasikini wa Wabongo ni nguzo muhimu sana ya CCM hasa huko kanda ya ziwa.Saaa changabya ujinga na Umasikini ni balaaa au Changanganya kukosa elimu Dunia na Umasikini, huo muunganiko ni balaa. Katika moja ya maeneo ambayo elimu hata ya Uraia ni zero basi ni...
  7. JamiiForums Tanzania Mkomunisti aliyechukia umasikini na kuupenda utajiri aliifufua China toka kuzimu [ Dikteta bora wa Kiasia mzaliwa wa China Deng Xiaoping ]

    Si mwingine bali ni mtu mfupi wa kimo bali mrefu wa maarifa na kuona mbali kuhusu kesho ya taifa lake Deng Xiaoping Mkomunisti na dikteta bora wa kichina aliye iokoa chini yake kutumbukia shimoni mwa umasikini uliotopea na mvurugano mkubwa wa kisiasa. Deng Xiaoping alinusurika kuuwawa na...
  8. JamiiForums Tanzania Umasikini umetengenezwa na CCM

    Huu ndio umasikini walioutengeneza CCM miaka 64 ya Uhuru Angalia hayo mabanda kilombero ambako panasikika kuzalisha Mchele Bora kabisa duniani.
  9. M

    JamiiForums Tanzania UTAFITI: Tukikikuza kilimo kwa 10% tu tutafuta umasikini wa Watanzania kwa 50%- David Kafulila

    Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akihojiwa katika kituo cha ITV kwenye kipindi cha DK 45 amesema yafuatayo namkuu, " Kwanza ni kweli kwamba umasikini Tanzania haujaisha ila ni kweli kwamba Tanzania Umasikini Umepungua sana hasa awamu ya sita hapa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Umasikini wa kipato ni mbaya sana huua ndoa za watu

    Kipato kwenye familia kisipokuwa sawa hupelekea migogoro na hata wapenzi kukasirikiana na kuachana pasipo kukusudia.Hasira za mara kwa mara pasipo sababu na hata ugomvi.Serikali inatowa tu takwimu za ndoa kuvunjika hawajikiti kutafiti kwanini ndoa zinavunjika.
  11. JamiiForums Tanzania David Kafulila: Matumizi ya mbolea yameongezeka kwa 100% bajeti ya kilimo imeongezeka mara tano

    Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akihojiwa katika kituo maarufu cha runinga cha ITV kwenye kipindi Cha DK 45 amekaririwa akisema namnukuu, " Bajeti ya kilimo imeongezeka kutoka TZS400bn mpaka TZS1.9Trilioni sawa karibu na mara tano" alisema Kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Je, Umasikini wa Watanzania ni kwa sababu ya Serikali au mtazamo wa Watanzania wenyewe?

    Watanzania wengi wanaishi katika hali ya umasikini licha ya rasilimali nyingi tulizonazo. Wengine wanaamini serikali haijawawezesha ipasavyo, huku wengine wakiona tatizo ni mtazamo wetu wenyewe: Kutokupenda kubadilika, uvivu, au kutopenda kujifunza. Ni nani wa kulaumiwa zaidi? Serikali au...
  13. JamiiForums Tanzania Kilimanjaro ndio mkoa huwezi kusikia Mbunge anachaingiwa pesa za kuchukua Fomu, Wachaga sio Mafala hata kidogo

    Kwenye maendele bila shaka wote tunajua Kilimanjaro iko juu sana na wale hawajaanza kuwa na maendelo leo ni tangu enzi za ukoloni. Kwenye maendeleo ya watu achana na maendeleo ya vitu basi Wachaga wanapiga fimbo mikoa karibia yow Tanzania hii. Ila kwa Wachaga huwezi sikia wachaga wanakaa...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche: Umasikini wetu ni umasikini wa makusudi, inawezekanaje eneo lenye madini yasiyopatikana kokote duniani halina maji ya kunywa mpaka leo?

    "Umasikini wetu ni umasikini wa makusudi Hivi inawezekanaje eneo linalotoa madini yasiyopatikana kwingine kokote duniani halina maji ya kunywa mpaka leo? Maji yanatoka ziwa Victoria yanakwenda Misri Jangwani watu wote wanapata maji, kutoa maji kutoka Arumeru yafike hapa imeshindikana miaka 63...
  15. JamiiForums Tanzania Umasikini Kwa lugha nyengine ni Ujinga - Maarifa ni Dawa ya Umasikini

    Umaskini hauanzi kwenye mfukoni, unaanzia kichwani. Ni hali ya kifikra kabla haijawa hali ya maisha. Mtu maskini si yule asiye na pesa, bali ni yule anayekataa kujifunza, anayepuuza maarifa, na kuamini kuwa hali yake haiwezi kubadilika. Huu ni ujinga wa hali ya juu. Sehemu ambapo ujinga ni...
  16. JamiiForums Tanzania Je, umasikini ni laana?

    Tunapitia maisha magumu mpaka tunaamini waliokufa wamepumzika. Lau viongoz wetu wangejali watoto wa kimasikin leo ingekua tuna afadhal njaa, maradhi, nguo na viraka na kila aina ya taabu lakin nan anajali na nani alaumiwe
  17. JamiiForums Tanzania Kuzaa mtoto ili akikua akusaidie ni moja ya kichocheo cha umasikini wa mtu mweusi

    Sababu ya kumzaa mtoto ni ili umsaidie ikiwezekana hadi uzee wake. Ni utegevu kutafuta watoto ili waje wakusaidie. Kabla haujapanga kupata mtoto weka na mikakati ya kumsaidia hadi mwisho. Muandalie mifumo, urithi wa kutosha ikiwezekana hadi wa wajukuu wako ( watoto wake). Hivi ndivyo vitabu...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Kwa nini umasikini na kukata tamaa kumeongezeka sana awamu ya sita?

    Tiririka
  19. JamiiForums Tanzania Ni dhambi kupromote umasikini misikitini/makanisani

    Adam na Eva waliumbwa na kuwekwa kwenye mazingira ya utoshelevu. Kama haitoshi Mungu aliwawekea akiba kubwa ya Dhahabu (Dhahabu ya Havira) na vito ili viwasaidie watakapoongezeka. Bustani ya Eden hapakuwa mahala pa kimasikini. Eden maana yake ni protected place of pleaseure (Sehemu ya...
  20. JamiiForums Tanzania Tatizo ni umaskini ila kimsimgi binadamu alipaswa afanye shopping kubwa ya nguo hata mara tatu kwa mwaka

    Kuna mwanafunzi wa chuo aliomba pesa nyumbani kwao akanunue nguo alichojibiwa ni kwamba semester iliyopita alipewa hela ya nguo semester hii hawampi. Nachokiona Mimi tunakosea kununua nguo nyingi halafu za ovyo mfano hizi za mtumba uki zivaa baada ya muda zinapauka unazichoka huzivai Tena na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…