umasikini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tambua haya wakati unaachana na Umasikini

    Badilisha tabia ya umasikini Tabia iliyokusaidia kuishi wakati wa umasikini ndo inayoendelea kukufanya maskini. Maisha yakibadilika ni muhimu na tabia yako ibadilike. Hauwezi kuua umasikini Unachoweza wewe ni kujitoa kwenye umasikini. Hata kama ukitaka kumsaidia mtu. Utambue kwamba huyo mtu...
  2. JamiiForums Tanzania Adui wa Taifa ni nani? Je, ni wapendwa wetu waliokufa au ni Ujinga, Maradhi na Umasikini?

    Utamaduni wa Mtanzania umebomoka nani asimame mahali pale palipobomoka na kupajenga tena,nimeona maridhiano kwa watu fulani lakini maridhiano hayajafika kwenye dhihaka,kashfa na shutuma kwa wapendwa wetu waliokufa,tuliozaliwa mwaka 1980 tulikuta utamaduni mzuri wa Watanzania,tulishirikiana...
  3. JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kupiga vita umasikini wa nguvu kuliko kupiga vita UKIMWI

    Umasikini ni janga kuliko hata UKIMWI, umasikini unahitaji akili kubwa ili ukabiliwe lakini sio ukimwi,umasikini unamizizi lakini sio ukimwi,umasikini ni chanzo cha kusambaa kwa ukimwi lakini ukimwi ni chanzo cha kuongezeka kwa umasikini kwa kiwango kidogo,umasikini unatisha hata zaidi ya...
  4. JamiiForums Tanzania Umasikini, ukosefu wa lishe bora huleta maradhi mengi miongoni mwetu

    Magonjwa yamekuwa mengi sana siku hizi, hospital nyingi zimezidiwa na wagonjwa. Pamoja na mambo mengine ukosefu wa lishe bora nao pia ndio chanzo cha baadhi ya magonjwa mengi. Kutokana na umaskini uliokithiri miongoni mwetu watu hula chochote kilicho mbele yao kutokana na wengi kutoweza kumudu...
  5. JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina: Waziri Mwigulu Nchemba anahusika na ufisadi wa trilioni 1.7 mradi wa SGR

    Waziri wa zamani wa uvuvi Luhaga Mpina ametoa tuhuma kwa Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba kuwa ameiibia Serikali pesa katika miradi wa SGR zaidi ya trilioni1.7 . Hii ni zaidi ya ile kelele ya trilioni 1.5 ya utawala wa hayati Magufuli na ni nusu ya wizi wote alioutaja CAG katika report yake ya...
  6. JamiiForums Tanzania Uhusiano kati ya Umasikini, Utajiri, Uvivu na Werevu

    Kuna baadhi yetu tumekuwa tukihusisha watu masikini kwamba ni wavivu, huenda hii ilikuwa kweli zama za kale za kuhitaji nguvu na jitahada za kulima ili upate mkate wako wa kila siku (sababu hata uwindaji huenda ulihitaji ujuzi zaidi kuliko uchapakazi); Pia huenda kipindi hicho mtu alikuwa na...
  7. JamiiForums Tanzania Kuchagua viongozi wasio na elimu ndicho chanzo cha umasikini Tanzania

    Wabunge Madiwani Wenyeviti serikali za mitaa Hawa ndio watu ambao wanasababisha nchi yetu iende hovyo hovyo. Wabunge ambao hawajasoma hawana tija wala msaada kwa taifa na sababu ni kuwa hawaelewi miswada inayopelekwa bungeni, hivyo wao hukubaliana na kila kitu wanachoambiwa. Madiwani kwenye...
  8. JamiiForums Tanzania Mgodi wa Kigwase Tanga kuna umasikini wa kutisha, hakuna maji wala umeme

    Ni kweli unatoa kalibu madini yote yanayochimbwa duniani; kwanini kule kuna umasikini wa kutisha hakuna maji wala umeme. Kuna mto umba ndo mtetezi wao kwa maji japo yana magadi ukibandika maharage siku mbili hayaivi. Tabu ni nyingi sana kule hakuna mawasiliano mitandao ya simu haikamati mpka...
  9. JamiiForums Tanzania Natamani kujua kinachosababisha umasikini kwa vijana wasomi

    Habari za Muda huu wana JamiiForums. Mimi ni kijana mjasiliamali kwa muda wa mika 10, kuna mambo huwa najiuliza kila siku nikiwa peke yangu sasa leo nimona ni changie na wana JamiiForums wenzangu. Suala la Umasikini na Utajiri. Kwanini vijana wengi hususani Wasomi ndio wanao hangaika sana...
  10. JamiiForums Tanzania Tukiachilia mbali umasikini /ufukara wa wazazi wetu ilishawahi kujiuliza unakwama wapi?

    Umasikini si ukilema ila ni hali ya kukosa mambo muhimu ambayo mtu unayahitaji katika maisha yako ya kila siku ,japo wapo watu wanajaribu kusema masikini ni kilema ila anaekosa hayo mambo muhimu anaitwa fukara,siwezi kubisha ila mtazamo wangu umependa kuamini nivyoamini. Nimeona kwa asilimia...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Umasikini ni Kikwazo cha Ukuaji Demokrasia Afrika

    Kuna mtazamo duniani kuwa wasio na kazi ya kipato ndiyo hutengeneza hadhira kwa wanasiasa majukwaani na pia hufanyika ama wateja au abiria wa difenda na karandinga. Umaskini wa kipato unakwaza ukuaji wa demokrasia barani Afrika: 1. Chaguzi za Afrika zimeghubikwa na rushwa hatarishi kwa...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Tuache unafiki kipato cha tsh 7,000 kwa siku ni umasikini wa kutupa

    Watanzania tutafute suluhisho na sio kuwa wanafiki. Kipato cha tsh 7,000 kwa siku hakitoshi na ni umasikini. Tunaweza kutofautiana kwenye siasa lakini sio ukweli hili. Badala ya kujidanganya tutafute mbinu bora. Vilevile boda boda hazija tengenezwa kwasababu ya usafiri wa abiria na inatakiwa...
  13. JamiiForums Tanzania CHADEMA wasemehewe hawajui walitendalo kwani umasikini wao unawaponza na kufanywa kuwa mavuvuzela

    ELEWA, waathirika wakubwa wa utawala wa Rais Magufuli sio CHADEMA au vyama vya upinzani, bali waathirika wakubwa ni kikundi fulani ndani ya CCM, ambacho kinajulikana kwa sasa kama Walamba asali/WAHUNI. Hayati Magufuli aliwahi kusema kuna kikundi fulani ndani ya CCM ambacho hakipo tayari kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Aina 4 za utajiri na aina 5 za umasikini

    Aina 4 za utajiri na aina 5 za umasikini 1. Utajiri kutoka kwa Mungu. 2. Utajiri kutoka kwa shetani. 3. Utajiri wa kurithi. 4. Utajiri wa bidii yako ya kupambana Aina 5 za umasikini. 1. Umasikini kutoka kwa Mungu. 2. Umasikini kutoka kwa shetani. 3. Umasikini wa kurithi. 4. Umasikini wa...
  15. JamiiForums Tanzania Mpaka sasa mitandao ya kijamii imekusaidiaje katika harakati za kupambana na umasikini?

    Mkuu kwema? Pole na uchovu wa safari ya kuperuzi JF. Boss, ebu tuongee kidogo kuhusu hii mitandao ya kijamii mpaka leo imekusaidia chochote ? Au unaonaga mauzauza tu 😅? Graduate uliyehitimu chuo na hauna Ajira, vipi hii mitandao ya kijamii unaichukuliaje? Ni sehemu ya kupotezea muda na...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Ukosefu wa ajira na umasikini unasababishwa na viongozi wa serikali wasio kuwa na maono

    Bila shaka mu wazima kabisa. Leo katika mizunguko yangu ya kusaka tonge,, nimepita barabara ya g/mboto... Nimeona wameanza Ujenzi wa barabara na vituo vya magari ya mwendo kasi,, wakati gari imesimama kwenye foleni nimetafakari mengi sana... 1. Nimeona wakandarasi wa kichina, hivi kwanini...
  17. JamiiForums Tanzania Mimi nasimama na Bashe, Mpina alikuwa katili na amewapa umasikini wavuvi wengi sana

    Mpina leo hii ndiyo ujifanye mwanaharakati wa kuikosoa serikali? Hivi ninyi wanasiasa acheni unafiki acheni kuwachezesha Shere waTanzania au kisa mnawaona waTanzania mburula? Mpina kipindi ni waziri tunajua madudu yako uliyoyafanya kwa wavuvi wale wa ziwa Victoria mpaka ikafikia hatua...
  18. JamiiForums Tanzania Bashe unaumiza Watanzania kwa faida zako binafsi. Luhaga Mpina alisimamia Sheria, hakutia umasikini wavuvi

    Luhaga mpina alisimamia sheria ya Bunge. Sheria zipo wazi kabisa pamoja na kanuni zake. Sasa kama hairuhusiwi kuvua kwa nyavu haramu kwa nini waziri asisimamie sheria? Ila wewe umejitoa fahamu. Umeshindwa kulinda maslahi ya mlaji nafaka sasa watanzania wanahangaika. Maharage yamekuwa ni anasa...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa wale ambao hamjawahi kupitia umasikini kabisa

    Bei za vyakula zikipanda kama nyakati hizi maskini ndio wanaoteseka zaidi,inabidi wabadili ratiba za milo na kiasi . Ugali ukibaki hautupwi, unaliwa asubuhi na chai. Maskini ndio wanaoteseka na huduma mbovu za Afya, wanasongamana hospitali, wanachelewa kupata huduma au wanaweza wasipate huduma...
  20. JamiiForums Tanzania Miaka 46 ya tukitawaliwa na CCM huku watanzania wakiwa na umasikini wa hali ya juu. Rais Samia akikata keki ikulu na kuchekelea.

    Kila kona kuna shida ya maji. Wanafunzi bado wanatembae umbali mrefu kuta kutafuta elimu Kodi kandamizi na tozo za kibabe Leo hii mkuu wa nchi anakula keki bila huruma kwa wananchi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…